TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

Mungu aiweke roho ya marehem mahali salama. Amen
 
R.I.P mwamba

#Nje ya mada ule msiba wa jamaa wa UDOM aliyekunywa sumu walishazika wakuu?
 
Poleni sana wanaRusha, Mungu mwenyezi aifariji familia yake na marafiki zake pia! Kumbe PakaJimmy bado yupo JF?
 
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu.

Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri.

Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa msiba huu.

Member mwenzetu PakaJimmy atakuja kutupa habari kamili kama alivyozipokea.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Apumzike kwa amani......Amen
Prishaz Lily Flower MwanajamiiOne SaHaRa Voice Ncha Derimto Maxence Melo Geoff Asprin Kaizer Filipo Blaki Womani Cantalisia IGWE LiverpoolFC marejesho Mzee wa Rula sweetlady
Poleni sana Arusha wing, ampumzike kwa amani member mwenzetu
 
Poleni sana Preta...
 
Back
Top Bottom