Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pascal NjaaImefikia mahali adi mnatumia jina la MUNGU kwa uongo,
Pascal Mayalla wewe ni mkristu?
Amri ya 3 inasema " Usilitaje bure jina la MUNGU wako "
Usifikiie mahali ukamkwaza MUNGU kisa Ugali
Kwenye eneo hili la haki za binaadamu, Mama Samia, apewe kongole sana, huyu ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki, mtenda haki.2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
P.Wanabodi,
Hitimisho
Naamini kupitia “kikosi kazi”, soon ataruhusu mikutano ya siasa, ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi, pia tunamuomba rais Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, inayoruhusu kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa, haki ya kuchagua bado ipo ila haki ya kuchaguliwa, imechomekewa ubatili fulani wa kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe ni huu
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!
Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Rais Samia: Ni muwaza haki, msema haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?
Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu.
Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Naendelea kusisitiza Kauli huumba!.Kufuatia matendo haya, naamini kabisa kupitia “kikosi kazi”, soon Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi, pia atazifumua sheria kandamizi kuzifanyia marekebisho ili kufanya uchaguzi wa haki kwenye uwanja sawa wa ushindani na sio huu uwanja tenge wa uchaguzi wetu.
Mwaka huu twende na hili!Tutunamuomba sana, sana, sana, Rais Mama yetu Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, uliochomekewa kiubatili, unao zioa haki ya kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchaguliwa. Haki hiyo imenyofolewa kwa kuchomekewa kiubatili kipengele batili cha kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe nimeuleza hapa na jinsi ulivyochomekewa kiubatili
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!
Mungu Mbariki Samia ayetende haya kabla ya kumaliza kipindi chake cha kwanza 2025, maana kipindi cha pili 2025 -2030, sauti zimeisha anza anzaHivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Samia: Ni muwaza haki, msema haki , mpenda haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?
Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu!, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu, lituondoshee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025!.
Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Ulimshabikia dictator JPM akakunyima japo uDC sasa kwa unafiki wako umemgeukia mama wa watu, najua 2025 utaamia kwa TAL wkt akiapishwaumeandika mambo mengi lakini sijaona pointi......
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.Wanabodi,
Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest
- View attachment 2250700View attachment 2250701Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, yeye ni mtu wa haki, sio tuu ni muwaza haki, na msema haki bali ni mpenda haki na mtenda haki kukifanya kile anacho kihubiri, yaani by practicing what she is preaching
- Kwa haya anayoyasema sasa, na haya anayoyatenda sasa, tunaamini soon Rais Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifanyia marekebisho Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuifanya kuwa tume huru zaidi na shirikishi, na atazifanyia marekebisho sheria kandamizi zinazonyima haki ambazo licha ya kuwa ni sheria batili, kwasababu zinakwenda kinyumbe cha Katiba ya JMT, ubatili huo, bado umechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!.
- Katiba yetu ya 1977 ilitoa uhuru kwa kila Mtanzania mwenye sifa na vigezo, kuwa huru kushiriki kwenye kuunda serikali toka serikali za mitaa hadi serikali kuu kwa sherti moja tuu la Utanzania wake. Hivyo kila Mtanzania ana haki na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa!.
- Katiba hiyo imetoa uhuru wa kila Mtanzania kuwa huru kushiriki uchaguzi kwa kugombea nafasi yoyote na kushiriki kuwachagua viongozi wetu, bila vikwazo vyovyote. Hili ndilo lilikuwa lengo la mtunga katiba.
- Baadae kukajitokeza wataalamu fulani wa kufanya "mambo", wakafanya mambo!. Ile haki ya kila Mtanzania kuchagua viongozi Kwa kupiga kura kuwachagua viongozi, kwa uhuru, yenyewe bado ipo na inaendelea kuwepo, lakini haki na uhuru wa Mtanzania yoyote kushiriki kwenye kuunda serikali, yaani haki ya kugombea na kuchaguliwa, haki hii imeondolewa kwa ubatili fulani!.
- Japo Rais Samia ameunda timu ya "kikosi kazi" cha kumshauri, kikosi kazi hicho kinaita baadhi tuu ya watu, sijasikia kama sisi wananchi wa kawaida ambao ndio wamiliki wa katiba, pia tuko huru kufika mbele ya kikosi kazi, kuwasilisha mawazo yetu, ila mimi na haya mawazo yangu, nitayaandika na kuyawasilisha,
- Kwa vile tayari Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendio, yeye sio tuu ni muwaza haki na msema haki, bali mpenda haki na mtenda haki kwa kauli na matendo ya haki kuonekana, tunamuomba atutendee haki Watanzania, kwa kutuondolea ubatili huu wa ajabu kabisa, ndani ya Katiba Yetu!.
- Angalizo Bandiko hili, linauzungumzia ubatili fulani kwenye katiba yetu, kwa vile Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitu vikubwa, virefu, vigumu, wanapenda vitu rahisi rahisi, na mabandiko mafupi mafupi, wale wa type hii, mnaweza kuishia hapa, halafu mkarukia moja Kwa moja kwenye hitimisho. Wale mastory mastory tuendeleeni na Mastori ya Pasco Mayalla.
Hitimisho
Jana kwenye mitandao ya kijamii, zimesikika habari, Tundu Lissu amelipwa haki zake zote alizo dhulumiwa, hivyo hapa ni uthibitisho tuu wa matendo ya haki na sio tuu kauli za haki.
Kufuatia matendo haya, naamini kabisa kupitia “kikosi kazi”, soon Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi, pia atazifumua sheria kandamizi kuzifanyia marekebisho ili kufanya uchaguzi wa haki kwenye uwanja sawa wa ushindani na sio huu uwanja tenge wa uchaguzi wetu.
Tutunamuomba sana, sana, sana, Rais Mama yetu Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, uliochomekewa kiubatili, unao zioa haki ya kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchaguliwa. Haki hiyo imenyofolewa kwa kuchomekewa kiubatili kipengele batili cha kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe nimeuleza hapa na jinsi ulivyochomekewa kiubatili
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!
Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Samia: Ni muwaza haki, msema haki , mpenda haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?
Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu!, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu, lituondoshee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025!.
Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Wanabodi,

Namfanyia Rais Samia kitu kinachoitwa MTR (Mid Term Review) ya hoja za bandiko hiliWanabodi,
Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest
- View attachment 2250700View attachment 2250701Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, yeye ni mtu wa haki, sio tuu ni muwaza haki, na msema haki bali ni mpenda haki na mtenda haki kukifanya kile anacho kihubiri, yaani by practicing what she is preaching
Hili linakwenda kufanyika Bunge la February, ila it's very unfortunately ule ubatili bado upo!.
- Kwa haya anayoyasema sasa, na haya anayoyatenda sasa, tunaamini soon Rais Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifanyia marekebisho Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuifanya kuwa tume huru zaidi na shirikishi, na atazifanyia marekebisho sheria kandamizi zinazonyima haki ambazo licha ya kuwa ni sheria batili, kwasababu zinakwenda kinyumbe cha Katiba ya JMT, ubatili huo, bado umechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!.
Uhuru huu haupo!.
- Katiba yetu ya 1977 ilitoa uhuru kwa kila Mtanzania mwenye sifa na vigezo, kuwa huru kushiriki kwenye kuunda serikali toka serikali za mitaa hadi serikali kuu kwa sherti moja tuu la Utanzania wake. Hivyo kila Mtanzania ana haki na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa!.
Haki hii haipo!
- Katiba hiyo imetoa uhuru wa kila Mtanzania kuwa huru kushiriki uchaguzi kwa kugombea nafasi yoyote na kushiriki kuwachagua viongozi wetu, bila vikwazo vyovyote. Hili ndilo lilikuwa lengo la mtunga katiba.
Ubatili Huu bado upo!.
- Baadae kukajitokeza wataalamu fulani wa kufanya "mambo", wakafanya mambo!. Ile haki ya kila Mtanzania kuchagua viongozi Kwa kupiga kura kuwachagua viongozi, kwa uhuru, yenyewe bado ipo na inaendelea kuwepo, lakini haki na uhuru wa Mtanzania yoyote kushiriki kwenye kuunda serikali, yaani haki ya kugombea na kuchaguliwa, haki hii imeondolewa kwa ubatili fulani!.
Niliyawasilisha in person
- Japo Rais Samia ameunda timu ya "kikosi kazi" cha kumshauri, kikosi kazi hicho kinaita baadhi tuu ya watu, sijasikia kama sisi wananchi wa kawaida ambao ndio wamiliki wa katiba, pia tuko huru kufika mbele ya kikosi kazi, kuwasilisha mawazo yetu, ila mimi na haya mawazo yangu, nitayaandika na kuyawasilisha,
Ombi hili bado halijajjibiwa ila muda bado upo
- Kwa vile tayari Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendio, yeye sio tuu ni muwaza haki na msema haki, bali mpenda haki na mtenda haki kwa kauli na matendo ya haki kuonekana, tunamuomba atutendee haki Watanzania, kwa kutuondolea ubatili huu wa ajabu kabisa, ndani ya Katiba Yetu!.
Ili kuwasaidia Watanzania kuijua katiba yao,sheria zao na haki zao, nimejitolea kusaidia
- Angalizo Bandiko hili, linauzungumzia ubatili fulani kwenye katiba yetu, kwa vile Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitu vikubwa, virefu, vigumu, wanapenda vitu rahisi rahisi, na mabandiko mafupi mafupi, wale wa type hii, mnaweza kuishia hapa, halafu mkarukia moja Kwa moja kwenye hitimisho. Wale mastory mastory tuendeleeni na Mastori ya Pasco Mayalla.
Lissu anasema aliahidiwa lakini bado hajalipwa!.Hitimisho
Jana kwenye mitandao ya kijamii, zimesikika habari, Tundu Lissu amelipwa haki zake zote alizo dhulumiwa, hivyo hapa ni uthibitisho tuu wa matendo ya haki na sio tuu kauli za haki.
Ameruhusu!Kufuatia matendo haya, naamini kabisa kupitia “kikosi kazi”, soon Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa,
hili litafanyikaataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi,
hili litafanyika.pia atazifumua sheria kandamizi kuzifanyia marekebisho ili kufanya uchaguzi wa haki kwenye uwanja sawa wa ushindani na sio huu uwanja tenge wa uchaguzi wetu.
Hii mpaka sasa bado,Tutunamuomba sana, sana, sana, Rais Mama yetu Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, uliochomekewa kiubatili, unao zitoa haki ya kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchaguliwa. Haki hiyo imenyofolewa kwa kuchomekewa kiubatili kipengele batili cha kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe nimeuleza hapa na jinsi ulivyochomekewa kiubatili
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!
Kama atamaliza na hili la katibaHivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Tuendelee kumshukuru Mungu kwa kutuletea SamiaNimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Samia: Ni muwaza haki, msema haki , mpenda haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?
Jicho lioneAsante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu!, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu, lituondoshee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025!.
Mungu Mbariki Rais Samia,Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
.
Tutunamuomba sana, sana, sana, Rais Mama yetu Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, uliochomekewa kiubatili, unao zuia haki ya kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchaguliwa. Haki hiyo imenyofolewa kwa kuchomekewa kiubatili kipengele batili cha kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe nimeuleza hapa na jinsi ulivyochomekewa kiubatili
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!
Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu!, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu, lituondoshee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025!.
Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Kuna muda Pascal Mayalla anarudi na kujiteka mwenyewe. Niseme pia maisha ni bahati unaweza ukasifia sana na usibahatike kamweeePascal I agree with you,Mama anaupiga mwingi na anajitahidi sana kuweka mambo sawa anahitaji kupewa Moyo na kuungwa mkono,ila katika hii thread mimi nimependa zaidi hicho kipengele kimoja cha Kikosi kazi kuita baadhi ya watu kana kwamba wao tu ndiyo wenye haki hiyo ya kutoa maoni kwa niaba ya wengine.
Hii ni point nzito sana ambayo inahitaji thread huru kabisa kwa maslahi ya Taifa sijui kwanini umeificha humu ndani.
Unarudi vizuri kwenye Mstari kama ninavyokusifu na wewe una madhaifu yako kama mwanadamu hasa kwenye mtazamo hasi dhidi ya Chadema,jipime hapo kidogo.