Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?

Nilishasema huyu ni mganga njaa. Hana ukweli wowote. Ni opportunist mtafuta uteuzi. Kila anayekuwa madarakani yeye ni wa kumsifia tu! Mnaona bandiko lake hili?
 
Pascal I agree with you,Mama anaupiga mwingi na anajitahidi sana kuweka mambo sawa anahitaji kupewa Moyo na kuungwa mkono,ila katika hii thread mimi nimependa zaidi hicho kipengele kimoja cha Kikosi kazi kuita baadhi ya watu kana kwamba wao tu ndiyo wenye haki hiyo ya kutoa maoni kwa niaba ya wengine.

Hii ni point nzito sana ambayo inahitaji thread huru kabisa kwa maslahi ya Taifa sijui kwanini umeificha humu ndani.

Unarudi vizuri kwenye Mstari kama ninavyokusifu na wewe una madhaifu yako kama mwanadamu hasa kwenye mtazamo hasi dhidi ya Chadema,jipime hapo kidogo.
 
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.

Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.

Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.

Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
 
2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
Kwenye eneo hili la haki za binaadamu, Mama Samia, apewe kongole sana, huyu ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki, mtenda haki.
Ameonyesha kwa kauli na matendo!.
Mifano iko mingi tuu ya kumwaga hapa nakupa mifano mitano tuu!, ukitaka 10, nakupa, ukitaka 20 nakupa
- Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
Kwenye eneo la haki, so far Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendo, is the best of the best... ila sasa kwa kwa kadri siku zinavyokwenda, naona kama na yeye anaanza... itaendelea!, nitamalizia ...

P
 
Wanabodi,

Hitimisho

Naamini kupitia “kikosi kazi”, soon ataruhusu mikutano ya siasa, ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi, pia tunamuomba rais Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, inayoruhusu kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa, haki ya kuchagua bado ipo ila haki ya kuchaguliwa, imechomekewa ubatili fulani wa kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe ni huu
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!

Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Rais Samia: Ni muwaza haki, msema haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?

Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu.

Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
P.
 
Mtu anaweza akawa na sifa zoote mbili.
Anajipendekeza halafu anasifia kiukweli!
 
huyu jamaa wakati watu wanapotea potea aliandika chochote? wakati uchaguzi unavurugwa na mwendazake aliandika chochote? kama aliandika basi atu-pastie hapa tusome.
 
Kufuatia matendo haya, naamini kabisa kupitia “kikosi kazi”, soon Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi, pia atazifumua sheria kandamizi kuzifanyia marekebisho ili kufanya uchaguzi wa haki kwenye uwanja sawa wa ushindani na sio huu uwanja tenge wa uchaguzi wetu.
Naendelea kusisitiza Kauli huumba!.
Tutunamuomba sana, sana, sana, Rais Mama yetu Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, uliochomekewa kiubatili, unao zioa haki ya kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchaguliwa. Haki hiyo imenyofolewa kwa kuchomekewa kiubatili kipengele batili cha kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe nimeuleza hapa na jinsi ulivyochomekewa kiubatili
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!
Mwaka huu twende na hili!
Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Samia: Ni muwaza haki, msema haki , mpenda haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?

Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu!, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu, lituondoshee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025!.

Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Mungu Mbariki Samia ayetende haya kabla ya kumaliza kipindi chake cha kwanza 2025, maana kipindi cha pili 2025 -2030, sauti zimeisha anza anza
P
 
Kwa vile leo ni birthday ya Rais Samia, nawaomba wana jf wote ambao ni well wishers, tuungane kumu wish Happy Birthday this lovely lady Rais wetu mpendwa, Rais wetu mpenzi, Rais wetu kipenzi, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Chifu wa kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, ambayo Kanda ya kabila hilo ndio Kanda determinant ya kura za urais wa JMT, Chifu Hangaya.
IMG-20230127-WA0008.jpg

Happy Birthday.

P
 
Kama ni mtenda kweli na msema kweli,kama nimtenda haki na msema haki sawa lakini swali muhimu ni je vipi watendaji wake kwenye wizara na idara mnalimbali serikalini?

Hilo nalo naomba mkaliangalie
 
Wanabodi,
Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest

  1. View attachment 2250700View attachment 2250701Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, yeye ni mtu wa haki, sio tuu ni muwaza haki, na msema haki bali ni mpenda haki na mtenda haki kukifanya kile anacho kihubiri, yaani by practicing what she is preaching
  2. Kwa haya anayoyasema sasa, na haya anayoyatenda sasa, tunaamini soon Rais Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifanyia marekebisho Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuifanya kuwa tume huru zaidi na shirikishi, na atazifanyia marekebisho sheria kandamizi zinazonyima haki ambazo licha ya kuwa ni sheria batili, kwasababu zinakwenda kinyumbe cha Katiba ya JMT, ubatili huo, bado umechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!.
  3. Katiba yetu ya 1977 ilitoa uhuru kwa kila Mtanzania mwenye sifa na vigezo, kuwa huru kushiriki kwenye kuunda serikali toka serikali za mitaa hadi serikali kuu kwa sherti moja tuu la Utanzania wake. Hivyo kila Mtanzania ana haki na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa!.
  4. Katiba hiyo imetoa uhuru wa kila Mtanzania kuwa huru kushiriki uchaguzi kwa kugombea nafasi yoyote na kushiriki kuwachagua viongozi wetu, bila vikwazo vyovyote. Hili ndilo lilikuwa lengo la mtunga katiba.
  5. Baadae kukajitokeza wataalamu fulani wa kufanya "mambo", wakafanya mambo!. Ile haki ya kila Mtanzania kuchagua viongozi Kwa kupiga kura kuwachagua viongozi, kwa uhuru, yenyewe bado ipo na inaendelea kuwepo, lakini haki na uhuru wa Mtanzania yoyote kushiriki kwenye kuunda serikali, yaani haki ya kugombea na kuchaguliwa, haki hii imeondolewa kwa ubatili fulani!.
  6. Japo Rais Samia ameunda timu ya "kikosi kazi" cha kumshauri, kikosi kazi hicho kinaita baadhi tuu ya watu, sijasikia kama sisi wananchi wa kawaida ambao ndio wamiliki wa katiba, pia tuko huru kufika mbele ya kikosi kazi, kuwasilisha mawazo yetu, ila mimi na haya mawazo yangu, nitayaandika na kuyawasilisha,
  7. Kwa vile tayari Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendio, yeye sio tuu ni muwaza haki na msema haki, bali mpenda haki na mtenda haki kwa kauli na matendo ya haki kuonekana, tunamuomba atutendee haki Watanzania, kwa kutuondolea ubatili huu wa ajabu kabisa, ndani ya Katiba Yetu!.
  8. Angalizo Bandiko hili, linauzungumzia ubatili fulani kwenye katiba yetu, kwa vile Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitu vikubwa, virefu, vigumu, wanapenda vitu rahisi rahisi, na mabandiko mafupi mafupi, wale wa type hii, mnaweza kuishia hapa, halafu mkarukia moja Kwa moja kwenye hitimisho. Wale mastory mastory tuendeleeni na Mastori ya Pasco Mayalla.

Hitimisho
Jana kwenye mitandao ya kijamii, zimesikika habari, Tundu Lissu amelipwa haki zake zote alizo dhulumiwa, hivyo hapa ni uthibitisho tuu wa matendo ya haki na sio tuu kauli za haki.

Kufuatia matendo haya, naamini kabisa kupitia “kikosi kazi”, soon Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi, pia atazifumua sheria kandamizi kuzifanyia marekebisho ili kufanya uchaguzi wa haki kwenye uwanja sawa wa ushindani na sio huu uwanja tenge wa uchaguzi wetu.

Tutunamuomba sana, sana, sana, Rais Mama yetu Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, uliochomekewa kiubatili, unao zioa haki ya kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchaguliwa. Haki hiyo imenyofolewa kwa kuchomekewa kiubatili kipengele batili cha kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe nimeuleza hapa na jinsi ulivyochomekewa kiubatili
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!

Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Samia: Ni muwaza haki, msema haki , mpenda haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?

Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu!, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu, lituondoshee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025!.

Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.

Tunapoelekea mwisho wa mwaka, huku tukielekea mwaka wa uchaguzi, nafanya tathmini ndogo ya expectations zangu na awamu hii ya Rais Samia, nili expect nini, nini kimefanyika, nini bado hakijafanyika, na nini kinaweza kufanyika kabla ya 2025 ili Watanzania tufanye Uchaguzi Mkuu huru na wa haki unaosimamiwa na Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi.

Katika bandiko hili, nilikuwa na the following expectations
Kufuatia matendo haya, naamini kabisa kupitia “kikosi kazi”,
1. soon Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa,
2. ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi,
3. pia atazifumua sheria kandamizi kuzifanyia marekebisho ili kufanya uchaguzi wa haki kwenye uwanja sawa wa ushindani na sio huu uwanja tenge wa uchaguzi wetu.
4. Ombi la kufanya mabadiliko ya katiba kuondoa ubatili uliochomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu.
Expectation number 1, imetekelezwa.
Expectation number 2 na number 3, imo on a pipeline mwezi February 2014.
Expectation number 4, ya kutuondolea ubatili kwenye katiba yetu, bado halijashughulikiwa, ila sasa tumuombe Rais Samia, hata kama muda uliobakia hauwezi kutupatia katiba mpya, muda huu unatosha kufanya mabadiliko madogo ya katiba, kuuondoa huo ubatili kwa jinsi ile ile ulivyochomekewa, na kutuwezesha tukafanya uchaguzi Mkuu huru na wa haki.
Mungu ibariki Tanzania
Paskali
 
Wanabodi,
Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest

  1. View attachment 2250700View attachment 2250701Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha kwa kauli na matendo, yeye ni mtu wa haki, sio tuu ni muwaza haki, na msema haki bali ni mpenda haki na mtenda haki kukifanya kile anacho kihubiri, yaani by practicing what she is preaching
Namfanyia Rais Samia kitu kinachoitwa MTR (Mid Term Review) ya hoja za bandiko hili
  1. Kwa haya anayoyasema sasa, na haya anayoyatenda sasa, tunaamini soon Rais Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa, ataifanyia marekebisho Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuifanya kuwa tume huru zaidi na shirikishi, na atazifanyia marekebisho sheria kandamizi zinazonyima haki ambazo licha ya kuwa ni sheria batili, kwasababu zinakwenda kinyumbe cha Katiba ya JMT, ubatili huo, bado umechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu!.
Hili linakwenda kufanyika Bunge la February, ila it's very unfortunately ule ubatili bado upo!.
  1. Katiba yetu ya 1977 ilitoa uhuru kwa kila Mtanzania mwenye sifa na vigezo, kuwa huru kushiriki kwenye kuunda serikali toka serikali za mitaa hadi serikali kuu kwa sherti moja tuu la Utanzania wake. Hivyo kila Mtanzania ana haki na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa!.
Uhuru huu haupo!.
  1. Katiba hiyo imetoa uhuru wa kila Mtanzania kuwa huru kushiriki uchaguzi kwa kugombea nafasi yoyote na kushiriki kuwachagua viongozi wetu, bila vikwazo vyovyote. Hili ndilo lilikuwa lengo la mtunga katiba.
Haki hii haipo!
  1. Baadae kukajitokeza wataalamu fulani wa kufanya "mambo", wakafanya mambo!. Ile haki ya kila Mtanzania kuchagua viongozi Kwa kupiga kura kuwachagua viongozi, kwa uhuru, yenyewe bado ipo na inaendelea kuwepo, lakini haki na uhuru wa Mtanzania yoyote kushiriki kwenye kuunda serikali, yaani haki ya kugombea na kuchaguliwa, haki hii imeondolewa kwa ubatili fulani!.
Ubatili Huu bado upo!.
  1. Japo Rais Samia ameunda timu ya "kikosi kazi" cha kumshauri, kikosi kazi hicho kinaita baadhi tuu ya watu, sijasikia kama sisi wananchi wa kawaida ambao ndio wamiliki wa katiba, pia tuko huru kufika mbele ya kikosi kazi, kuwasilisha mawazo yetu, ila mimi na haya mawazo yangu, nitayaandika na kuyawasilisha,
Niliyawasilisha in person
View: https://youtu.be/f5YJTJjG9rw?si=0iLEWvMHsvgSS0gY mimi ni huyo mzungumzaji wa mwisho hapo kwenye hiyo video
  1. Kwa vile tayari Rais Samia ameisha onyesha kwa kauli na matendio, yeye sio tuu ni muwaza haki na msema haki, bali mpenda haki na mtenda haki kwa kauli na matendo ya haki kuonekana, tunamuomba atutendee haki Watanzania, kwa kutuondolea ubatili huu wa ajabu kabisa, ndani ya Katiba Yetu!.
Ombi hili bado halijajjibiwa ila muda bado upo
  1. Angalizo Bandiko hili, linauzungumzia ubatili fulani kwenye katiba yetu, kwa vile Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitu vikubwa, virefu, vigumu, wanapenda vitu rahisi rahisi, na mabandiko mafupi mafupi, wale wa type hii, mnaweza kuishia hapa, halafu mkarukia moja Kwa moja kwenye hitimisho. Wale mastory mastory tuendeleeni na Mastori ya Pasco Mayalla.
Ili kuwasaidia Watanzania kuijua katiba yao,sheria zao na haki zao, nimejitolea kusaidia
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=dldJIno9G2jIxKQp
Hitimisho
Jana kwenye mitandao ya kijamii, zimesikika habari, Tundu Lissu amelipwa haki zake zote alizo dhulumiwa, hivyo hapa ni uthibitisho tuu wa matendo ya haki na sio tuu kauli za haki.
Lissu anasema aliahidiwa lakini bado hajalipwa!.
Kufuatia matendo haya, naamini kabisa kupitia “kikosi kazi”, soon Samia ataruhusu mikutano ya vyama vya siasa,
Ameruhusu!
ataifumua na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuifanya iwe shirikishi,
hili litafanyika
pia atazifumua sheria kandamizi kuzifanyia marekebisho ili kufanya uchaguzi wa haki kwenye uwanja sawa wa ushindani na sio huu uwanja tenge wa uchaguzi wetu.
hili litafanyika.
Tutunamuomba sana, sana, sana, Rais Mama yetu Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, uliochomekewa kiubatili, unao zitoa haki ya kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchaguliwa. Haki hiyo imenyofolewa kwa kuchomekewa kiubatili kipengele batili cha kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe nimeuleza hapa na jinsi ulivyochomekewa kiubatili
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!
Hii mpaka sasa bado,
Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kama atamaliza na hili la katiba
Nimalizie kumshukuru Mungu kwa kutuletea Samia: Ni muwaza haki, msema haki , mpenda haki na mtenda haki!. Soon ataruhusu mikutano ya siasa na kuiunda NEC Shirikishi, jee vipi kuhusu ubatili huu ndani ya Katiba yetu?
Tuendelee kumshukuru Mungu kwa kutuletea Samia
Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu!, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu, lituondoshee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025!.
Jicho lione
Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Mungu Mbariki Rais Samia,

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
 
.

Tutunamuomba sana, sana, sana, Rais Mama yetu Samia, atuondolee na huu ubatili fulani ndani ya katiba yetu, uliochomekewa kiubatili, unao zuia haki ya kila Mtanzania kuwa na haki ya kuchaguliwa. Haki hiyo imenyofolewa kwa kuchomekewa kiubatili kipengele batili cha kudhaminiwa na chama na siasa!. Ubatili wenyewe nimeuleza hapa na jinsi ulivyochomekewa kiubatili
KATIBA YETU INA UBATILI, SHERIA YA UCHAGUZI INA UBATILI!. na SHURTI HILI KWENYE KATIBA YETU NI BATILI!

Hivyo mpaka sasa, Rais Samia, ameishathibitisha kwa kauli na matendo, kuwa yeye ni mpenda haki na mtenda haki. Analiponya taifa, hivyo kwa matendo haya ya haki, Rais Samia anayoyafanya, atabarikiwa sana, na taifa litabarikiwa na kupata ustawi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Asante Mungu kwa Rais Samia, ni Baraka kwa nchi yetu!, naomba lile jicho, liuone na ubatili huu ndani ya katiba yetu, lituondoshee kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025!.

Mungu Mbariki Rais Samia,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.

Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
 
Pascal I agree with you,Mama anaupiga mwingi na anajitahidi sana kuweka mambo sawa anahitaji kupewa Moyo na kuungwa mkono,ila katika hii thread mimi nimependa zaidi hicho kipengele kimoja cha Kikosi kazi kuita baadhi ya watu kana kwamba wao tu ndiyo wenye haki hiyo ya kutoa maoni kwa niaba ya wengine.

Hii ni point nzito sana ambayo inahitaji thread huru kabisa kwa maslahi ya Taifa sijui kwanini umeificha humu ndani.

Unarudi vizuri kwenye Mstari kama ninavyokusifu na wewe una madhaifu yako kama mwanadamu hasa kwenye mtazamo hasi dhidi ya Chadema,jipime hapo kidogo.
Kuna muda Pascal Mayalla anarudi na kujiteka mwenyewe. Niseme pia maisha ni bahati unaweza ukasifia sana na usibahatike kamweee

Unaweza ukatumia akili mno na usipate kitu, unaweza kuwa mropokaji na ukapata kila kitu mpaka usivyokua ukihitaji.

Kuwa huru ukihitajika utatafutwa, mkuu Pascal Mayalla angeendelea kuwa machachari au huru leo hii angekuwa mbali sana, teuzi angepata kwa kuwa ni mtu huru kama walivyopata wakina Hussein Bashe, Makonda, Sulemani Jafo, PolePole, Msigwa, Msando, Jokate.......

Fungu alilochagua jamaa ni fungu la wote, ata asiye na akili anaweza kusifu na watu wanaosifu hawana adhari sasa kwa nini tuwape teuzi ili kuwafunga midomo wakati walishaamua kuifunga wenyewe.
Pascal Mayalla hapendwi na upinzani wala chama tawala, kwa sasa siyo karata yenye mashiko tena! Sio mtii, sio muoga tatizo hana misimamo. Muda aliopigwa vita na awamu ya tano ndio ulikuwa wakati wake sahihi wa kuchanua kwa kutunisha misuli ya kichwa na kumwaga sumu zaidi ikiwezekana kukimbia nchi leo hii angekuwa nguli kwenye medani za siasa za Tanzania na angetafutwa akapewa majukumu.

Kwenye ulimwengu wa bahati sioni kesho yake iliyobora zaidi naona balaa na ajali za kisiasa zikimsogelea kwa kificho. Naomba Mola amuepushe kwa hilo.
 
Back
Top Bottom