Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

5312513203_448ae28866_b.jpg

Sisi tumeridhika na Bao
 
Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na alichaguliwa na nani?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama, kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo?

TUMESTUKA!

View attachment 2773641
Kumbe hujui? Huyo ni moja wa wale punda wanaobeba Hela za mafisadi wa Serikali hii akijifanya ni za kwake. Awamu ya sita ni sawa na Ile ya baba RIZ7 ambayo ilikuwa inatumia mfumo wa namna hii....
 
Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na alichaguliwa na nani?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama, kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo?

TUMESTUKA!

View attachment 2773641
Bavicha uzee wenu utakuwa ama wachawi mliokubuhu au wanafiki mliopitiliza
 
Acha ushamba hapo ni Kitonga na Asas ni mbunge wa Iringa na mkazi na mwekezaji pia acheni chuki za kijinga
 
Huyu akiifadhili CHADEMA ataambiwa ni Mshihiri aliyehamia kwa njia za haramu.

Kwahiyo siwashangai Watanzania wenye asili za nje wanaogopa kuwa Black Mailed na Chama cha Majambazi.
Ni kawaida
Tena ukiwa na hela aidha usijihusishe kabisa na Chama tawala lakini wakija kuomba wape usiwanyime hapo utapewa heshima zote za kinafiki

Na kama ukijifanya kimbelembele kwenye sina na una hela basi we fuata upepo tu na ukitaka weka bendera ya Chama nyumbani na kwenye gari na mchango kila wakati

Ila ukitaka kuulizwa babu yake na babu tunataka kuliona kaburi lake basi uwe tajiri halafu mpinzani utaona rangi zao

Hata Putin na Slim huwa wapinzani wakikimbia wanafuatwa huko huko walipo na kumalizwa bora sisi unaulizwa uraia 😄 🤣
 
Kwahiyo unataka kusema hakuna tofauti kati ya CCM na Mafioso?
 
Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na alichaguliwa na nani?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama, kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo?

TUMESTUKA!

View attachment 2773641
Huyu jamaa ni mmoja wa mafisadi wakubwa wanaoifilisi nchi waliojificha kwenye kijani cha CCM kama ilivyo kawaida yao ya kuficha waovu ndani ya chama na kuwapaka mafuta kila kukicha ili waonekane wasafi. He is a green snake in green grass.

Hawa wahindi wanajua kuitumia fursa ya kula na vipofu. Ukimuona mhindi akijikomba kwa CCM ujue kuna uhalifu mkubwa sana anaojaribu kuuficha chini ya kapeti. Uchafu alioficha ni mwingi kuliko wema anaouonyesha hadharani. It like the tip of an iceberg. The tip you see outside water is just a very small fraction of what is under water.
 
Awamu ya 6 Hata Rostam naye yuko na Maza kila kona. Kuna wanaume hawanaga wivu wa mapenzi kama akina baba ABDUL
View attachment 2773645
Hii ni awamu ya wapigaji ngoja wakae karibu na mpigaji mwenzao waifilisi nchi vizuri ili yeye akimaliza kipindi chake akarudi Zanzibar aiache Tanganyika ikiwa mifupa mitupu. Minofu yote atakuwa kasepa nayo.
 
Back
Top Bottom