GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #101
JF usiondoke, lakini na KALE KAUTAMADUNI USIKATELEKEZE! Kumbuka kalikokutoa. Karudie, katakufikisha mbali zaidi.Aiseh
NAKUMBUKA gifte hands ya Bern carson ilinifanya nikaisoma organic chemistry advance bila tuition aiseh!!
Wakati wengi waliiona ni topic ngumu sana!!
Vitabu vina transform inner self for mutual Benefits,THINK AND GROW RICH cha napoleon Hill kilinifanya nikajenga nyumba tatu KWA space ya muda mfupi sana!!!
Siku hizi kale kautamaduni nimekaacha sana!najikuta nipo jf muda mwingi SANA!!
Nimekuwa nacho hicho cha 48 LAWS OF POWER kwa muda mrefu lakini sijapata muda wa kukisoma. Unaweza kushea kidogo ulichokipata humo? Yumkini itatuhamasisha kukisoma.Ni kweli mkuu mi nilianza kusoma vitabu baada ya kupigwa tukio kwenye mapenzi na kitabu cha kwanza kukisoma kilikuwa kinaitwa MEN ARE FROM MARS AND WOMEN ARE FROM VENUS Pamoja na kimoja kinaitwa UNDERSTAND THE POWER AND PURPOSE OF MAN .
Sasa hivi nisiposoma vitabu naona kabisa kuna kitu hakipo sawa kuna mda nakuwa bize sana ila nimejitahidi mpaka sasa nimeshazoe na nimesoma vitabu kama NEW WORLD ORDER, THE MAGIC OF THINKING BIG, THE POWER OF POSITIVE THINKING kwa siku za karibuni nimevimaliza sasa hivi namalizia (48 Laws of power) naona kabisa nimebadilika mentally
Wazee tusome vitabu vinasaidia hasa wenye changamoto za maisha vinasaidia sana.
Utakipata leo.Naomba soft ya hiki kitabu kk
[emoji120][emoji120][emoji120]Utakipata leo.
Mkuu, una soft copy yake?View attachment 2646392
Now on to this one “Economics in one Lesson” … Mwandishi wa hiki kitabu aende direct mbinguni. Ideas kibao jamaa kazifanya simple sana
Au sio.....Sijasoma vitabu vingi sana, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne.
Words are things(Maneno ni vitu).Naye NENO akafanyika Mwili akakaa kwetu...........Yohana 1:14a neno analosoma mtu linaweza kumbadilisha na kumfanya afanane na Mawazo ya mwandishi wa kitabu...
Vipi kwa wasiotaka kuwa viongozi??Wanasema, LEADERS ARE READERS!!!
Nafikiri ni kwenye hicho, if I have not mistaken, Napoleon Hill kasimulia kisa kimoja cha mfungwa aliyekuwa amehukumiwa kifo, wanasaikolojia wakamfanyia jaribio la kumwua kwa maneno na wakafanikiwa. Unaweza ukashea kidogo? Nilikisoma siku nyingi, more than ten years ago.Now nasoma hiki
By Monday ntakuwa nimemaliza View attachment 2646397
Huwezi kukwepa kuwa kiongozi!Vipi kwa wasiotaka kuwa viongozi??
Nikuombe utuwekee orodha ya vitani vichache vya kuanza navyo ili nasi tuvune maarifa. Barikiwa sanaHuwezi kukwepa kuwa kiongozi!
Kumwelekeza mtu njia ni uongozi
Kuwa baba au mama ni uongozi
Kuwa kaka au dada ni uongozi
Ukikwepa zote hizo, kuna ambayo hutaweza kukwepa, Uwenyeki wa baraza la Mawaziri wa kichwa chako. Mungu amekupa heshima kubwa sana ya kuwa Rais wa SERIKALI YA JAMHURI YA KICHWA CHAKO.
Usomaji utakusaidia kuwa na ufanisi bora kwenye utekelezaji wa majukumu yako ya kiuongozi.
Ukipata wasaha wa kukaa na watu kama marubani au wale madokta specialists utaelewa umuhimu wa vitabu . Mfano rubani kabla ya kuendesha ndege mpya , lazima aisome ndege hiyo from scratch kama mtoto anapoanza kusoma aeiou...Unaenda kusoma vitabu ukiwa na akili yako vitabu haviongozi akili labda useme vinaongeza ujuzi mpya ,na huo ujuz utaupata ukiwa tayari una akili yako nzur tu.
Shule kamwe haileti akili unaenda shule tayar ukiw na akili yako timamu.Ukipata wasaha wa kukaa na watu kama marubani au wale madokta specialists utaelewa umuhimu wa vitabu . Mfano rubani kabla ya kuendesha ndege mpya , lazima aisome ndege hiyo from scratch kama mtoto anapoanza kusoma aeiou...
Mkuu, una soft copy yake?
Shule kamwe haileti akili unaenda shule tayar ukiw na akili yako timamu.
Akili ni ile ukitoa yote uliyoyapata toka shule kile kinachobaki ndio akili , hakuna mtu asie na akili duniani ila kiwango tu ndio kinatofautiana.Akili ni nini mkuu na Ina manufaa gani ?
Na je ukishindwa kunipa maana kamili ya akili maana yake huna akili ?
1. Over The Top; by Zig ZiglarNikuombe utuwekee orodha ya vitani vichache vya kuanza navyo ili nasi tuvune maarifa. Barikiwa sana
Shukurani sana mkuu. Ngoja nianze kupakua kimoja baada ya kingine na kuvisoma. Nitakavyoshindwa kuvipata nitakuomba tena utusaidie namna rahisi ya kuvipata.1. Over The Top; by Zig Ziglar
2. The One Minute Millionaire by Mark Hansen
3. How You Can Get Rich Quicker By M. R. Kopmeyer
4. How You Can Get Whatever You Want by M. R. Kopmeyer
5. Thoughts To Build On By M. R. Kopmeyer
6. Here's Help by M. R. Kopmeyer
7. Think Big by Dr. Ben Carson
8. Rich Dad Poor Dad: What The Rich Teach Their Kids That The Poor And Middle Class Do Not; By Robert T. Kiyosaki
9. Tough Times Never Last But Tough People Do; By Robert Schuller
10. The Power Of Positive Thinking; By Dr. Vincent Peale
11. Think And Grow Rich; By Napoleon Hill
12. Success System; By W. Clement Stone
13. If You Want To Be Rich And Happy, Don't Go To School? By Robert T. Kiyosaki
14. The Laws Of Success; By Napoleon Hill
15. The Intelligent Investor; By Benjamin Graham
16. Retire Young, Retire Rich; By Robert T. Kiyosaki
17. How To Get Rich by Donald Trump
18. The Richest Man In Babylon By George S. Classon
19. Within You Is The Power by Henry Thomas Hamblin
20. As You Think by James Allen
21. How Successful People Think by John C. Maxwell
22. How To Sell Your Way Through Life by Napoleon Hill
23. Long Walk To Freedom by Nelson Mandela
24. Life Without Limits by Nick Vujic
25. The Secret By Rhonda Byrne
26. Who Will Cry When You Die by Robin Sharma
27. Secrets of The Millionaire Mind by T. Harv Eker
28. How to Win Friends And influence People by Dale Carnegie
29. Men Are From Mars, Women Are From Venus by John Gray
30. How To Stop Worrying And Start Living by Dale Carnegie
31. Failure Is Never Final, Success Is Never The End by Robert Schuller
32. Rich Kid Smart Kid: Give Your Child A Financial Head Start by Robert T. Kiyosaki
33. Fascinating Womanhood by Helen Andelin
34. Fatherhood Principle by Dr. Myles Munroe
35. The Art Of Public Speaking by Dale Carnegie
36. How To Control Your Brain At Will By Dr.Rogger Vittoz
37. Creative Mind And Success by Ernest Shurtlef Holmes
38. The Purpose And Power Of Love And Marriage by Dr. Myles Munroe
39. The Quick And Easy Way To Effective Speaking by Dale Carnegie
40. Understanding Purpose And power Of Men by Dr. Myles Munroe
41. The Big Picture by Ben Carson
42. Take Risk by Ben Carson
43. The 5 Love Languages by Gary Chapman
44. Advanced Selling Strategies by Brian Tracy
45. Awaken The Giant Within By Anthony Robbins
46. What I Didn't Learn At School But I Wish I Had by Jamie Mcntyre
47. Attract Money Now by Dr. Joe Vitae
48. Parenting With Love & Logic by Foster Cline & Jim Faye
49. Why "A" Students Work For "C"
Students And "B" Students For The Government By Robert T. Kiyosaki
50. 21 Success Secrets Of Self - Made Millionaires By Brian Tracy.
Naamini ukikisoma chochote katika hiyo orodha, hautatoka kapa.
Baadaye, nitaviweka vichache humu, alau visivyopungua vitano na visivyozidi kumi. Kama kuna inachokitamani miongoni mwa hivyo nilivyoviorodheshau, kitanabaishe ili kama nina soft copy yake nijumuishe kwenye hivyo ninavyotarajia kuviweka humu baadaye.
Nakutakia usomaji mwema.