Asikudanganye mtu, vitabu ni chakula muhimu sana cha akili

Aiseh

NAKUMBUKA gifte hands ya Bern carson ilinifanya nikaisoma organic chemistry advance bila tuition aiseh!!

Wakati wengi waliiona ni topic ngumu sana!!

Vitabu vina transform inner self for mutual Benefits,THINK AND GROW RICH cha napoleon Hill kilinifanya nikajenga nyumba tatu KWA space ya muda mfupi sana!!!

Siku hizi kale kautamaduni nimekaacha sana!najikuta nipo jf muda mwingi SANA!!
JF usiondoke, lakini na KALE KAUTAMADUNI USIKATELEKEZE! Kumbuka kalikokutoa. Karudie, katakufikisha mbali zaidi.
 
Ni kweli mkuu mi nilianza kusoma vitabu baada ya kupigwa tukio kwenye mapenzi na kitabu cha kwanza kukisoma kilikuwa kinaitwa MEN ARE FROM MARS AND WOMEN ARE FROM VENUS Pamoja na kimoja kinaitwa UNDERSTAND THE POWER AND PURPOSE OF MAN .

Sasa hivi nisiposoma vitabu naona kabisa kuna kitu hakipo sawa kuna mda nakuwa bize sana ila nimejitahidi mpaka sasa nimeshazoe na nimesoma vitabu kama NEW WORLD ORDER, THE MAGIC OF THINKING BIG, THE POWER OF POSITIVE THINKING kwa siku za karibuni nimevimaliza sasa hivi namalizia (48 Laws of power) naona kabisa nimebadilika mentally
Wazee tusome vitabu vinasaidia hasa wenye changamoto za maisha vinasaidia sana.
Nimekuwa nacho hicho cha 48 LAWS OF POWER kwa muda mrefu lakini sijapata muda wa kukisoma. Unaweza kushea kidogo ulichokipata humo? Yumkini itatuhamasisha kukisoma.
 
Naye NENO akafanyika Mwili akakaa kwetu...........Yohana 1:14a neno analosoma mtu linaweza kumbadilisha na kumfanya afanane na Mawazo ya mwandishi wa kitabu...
Words are things(Maneno ni vitu).
 
Now nasoma hiki
By Monday ntakuwa nimemaliza View attachment 2646397
Nafikiri ni kwenye hicho, if I have not mistaken, Napoleon Hill kasimulia kisa kimoja cha mfungwa aliyekuwa amehukumiwa kifo, wanasaikolojia wakamfanyia jaribio la kumwua kwa maneno na wakafanikiwa. Unaweza ukashea kidogo? Nilikisoma siku nyingi, more than ten years ago.
 
Unaenda kusoma vitabu ukiwa na akili yako vitabu haviongozi akili labda useme vinaongeza ujuzi mpya ,na huo ujuz utaupata ukiwa tayari una akili yako nzur tu.
 
Vipi kwa wasiotaka kuwa viongozi??
Huwezi kukwepa kuwa kiongozi!

Kumwelekeza mtu njia ni uongozi

Kuwa baba au mama ni uongozi

Kuwa kaka au dada ni uongozi

Ukikwepa zote hizo, kuna ambayo hutaweza kukwepa, Uwenyeki wa baraza la Mawaziri wa kichwa chako. Mungu amekupa heshima kubwa sana ya kuwa Rais wa SERIKALI YA JAMHURI YA KICHWA CHAKO.

Usomaji utakusaidia kuwa na ufanisi bora kwenye utekelezaji wa majukumu yako ya kiuongozi.
 
Nikuombe utuwekee orodha ya vitani vichache vya kuanza navyo ili nasi tuvune maarifa. Barikiwa sana
 
Unaenda kusoma vitabu ukiwa na akili yako vitabu haviongozi akili labda useme vinaongeza ujuzi mpya ,na huo ujuz utaupata ukiwa tayari una akili yako nzur tu.
Ukipata wasaha wa kukaa na watu kama marubani au wale madokta specialists utaelewa umuhimu wa vitabu . Mfano rubani kabla ya kuendesha ndege mpya , lazima aisome ndege hiyo from scratch kama mtoto anapoanza kusoma aeiou...
 
Shule kamwe haileti akili unaenda shule tayar ukiw na akili yako timamu.
 
Mkuu, una soft copy yake?

Ninayo kwenye mfumo wa epub tatizo nishakihamishia kwenye application ya iBook huko siwezi share yan hakitoki. Soft ya kuhamishika nimeicheki sijaona may be nilifuta baaa ya kuhamisha. Ila nenda Pirate Bay hiki kitabu kipo kupitia torrents unakipata
 
Shule kamwe haileti akili unaenda shule tayar ukiw na akili yako timamu.

Akili ni nini mkuu na Ina manufaa gani ?

Na je ukishindwa kunipa maana kamili ya akili maana yake huna akili ?
 
Akili ni ile ukitoa yote uliyoyapata toka shule kile kinachobaki ndio akili , hakuna mtu asie na akili duniani ila kiwango tu ndio kinatofautiana.
 
Nikuombe utuwekee orodha ya vitani vichache vya kuanza navyo ili nasi tuvune maarifa. Barikiwa sana
1. Over The Top; by Zig Ziglar

2. The One Minute Millionaire by Mark Hansen

3. How You Can Get Rich Quicker By M. R. Kopmeyer

4. How You Can Get Whatever You Want by M. R. Kopmeyer

5. Thoughts To Build On By M. R. Kopmeyer

6. Here's Help by M. R. Kopmeyer

7. Think Big by Dr. Ben Carson

8. Rich Dad Poor Dad: What The Rich Teach Their Kids That The Poor And Middle Class Do Not; By Robert T. Kiyosaki

9. Tough Times Never Last But Tough People Do; By Robert Schuller

10. The Power Of Positive Thinking; By Dr. Vincent Peale

11. Think And Grow Rich; By Napoleon Hill

12. Success System; By W. Clement Stone

13. If You Want To Be Rich And Happy, Don't Go To School? By Robert T. Kiyosaki

14. The Laws Of Success; By Napoleon Hill

15. The Intelligent Investor; By Benjamin Graham

16. Retire Young, Retire Rich; By Robert T. Kiyosaki

17. How To Get Rich by Donald Trump

18. The Richest Man In Babylon By George S. Classon

19. Within You Is The Power by Henry Thomas Hamblin

20. As You Think by James Allen

21. How Successful People Think by John C. Maxwell

22. How To Sell Your Way Through Life by Napoleon Hill

23. Long Walk To Freedom by Nelson Mandela

24. Life Without Limits by Nick Vujic

25. The Secret By Rhonda Byrne

26. Who Will Cry When You Die by Robin Sharma

27. Secrets of The Millionaire Mind by T. Harv Eker

28. How to Win Friends And influence People by Dale Carnegie

29. Men Are From Mars, Women Are From Venus by John Gray

30. How To Stop Worrying And Start Living by Dale Carnegie

31. Failure Is Never Final, Success Is Never The End by Robert Schuller

32. Rich Kid Smart Kid: Give Your Child A Financial Head Start by Robert T. Kiyosaki

33. Fascinating Womanhood by Helen Andelin

34. Fatherhood Principle by Dr. Myles Munroe

35. The Art Of Public Speaking by Dale Carnegie

36. How To Control Your Brain At Will By Dr.Rogger Vittoz

37. Creative Mind And Success by Ernest Shurtlef Holmes

38. The Purpose And Power Of Love And Marriage by Dr. Myles Munroe

39. The Quick And Easy Way To Effective Speaking by Dale Carnegie

40. Understanding Purpose And power Of Men by Dr. Myles Munroe

41. The Big Picture by Ben Carson

42. Take Risk by Ben Carson

43. The 5 Love Languages by Gary Chapman

44. Advanced Selling Strategies by Brian Tracy

45. Awaken The Giant Within By Anthony Robbins

46. What I Didn't Learn At School But I Wish I Had by Jamie Mcntyre

47. Attract Money Now by Dr. Joe Vitae

48. Parenting With Love & Logic by Foster Cline & Jim Faye

49. Why "A" Students Work For "C"
Students And "B" Students For The Government By Robert T. Kiyosaki

50. 21 Success Secrets Of Self - Made Millionaires By Brian Tracy.

Naamini ukikisoma chochote katika hiyo orodha, hautatoka kapa.

Baadaye, nitaviweka vichache humu, alau visivyopungua vitano na visivyozidi kumi. Kama kuna inachokitamani miongoni mwa hivyo nilivyoviorodheshau, kitanabaishe ili kama nina soft copy yake nijumuishe kwenye hivyo ninavyotarajia kuviweka humu baadaye.

Nakutakia usomaji mwema.
 
Shukurani sana mkuu. Ngoja nianze kupakua kimoja baada ya kingine na kuvisoma. Nitakavyoshindwa kuvipata nitakuomba tena utusaidie namna rahisi ya kuvipata.
 
Back
Top Bottom