Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa...
Kuna namna yani mtu aruke ukuta, aangukie kichwa ?Kuna Askari nilikuwa nae juzi akanambia hi lodge kafa mtu Jana katika maongezi akanambia amekutwa ndani kafa mwanamke Yuko lockup
Ndio tabia zao hizo sana tu.Alichukua demu, kapiga mashine, kawaza hana cha kumlipa kampiga na simu akawa anamtoroka ndio mauti yakamkuta,
Ehee wanajifanyaga spider man...Kng Kong...Ndio aruke geti
Jamaa yangu alikuwaga njaguanasema kama wakati ule wanakwe da kukamata bitchies pale kona bar unaambiwa wanawapitisha sehemu ya giza afu wanaanza kuwapiga mashine vibaya sana baadae ndo wanwapeleka Selo!!Ndio tabia zao hizo sana tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaahhhR.I.P askari na harakati za ukibaka
AmiynMungu atujalie mwisho mwema.
DahPoti ana maisha duni sana[emoji23] kukimbia na chips kweli
DhulmaaaaahAwa mapimbi wanakufaga vibaya sana
Hakuna utata huyo ni mhalifu kama wahalifu wengine kwanini aruke ukuta wakati Kuna mlango wa kutokea afu alivyo boya na njaa yake akaamua atoroke na kiazi yaiUtata mwingi sana
Daah kafariki huku anatoroka na simu ya demu na zege la kupunguzia njaa baada ya show kali.Askari mzima hovyo. Anatoroka hadi na Kiepe
Tanzania unaweza ukapata ajali bahati mbaya ila ukafa kwa uzembe wa uokoaji ,, yani mtu ameanguka toka alfajili mnamuacha mpka asubuhi ,, afu mnategemea mmkute mzima..Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa...