Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Aiseee askari halafu kibaka ....apumzike anapostahili
 
WITO kwa jeshi la polisi, tunawasihi wawe wanatoa taarifa kwa wananchi ili tuwabaini na tuwaepuke wezi na waasherati ndani ya jeshi la polisi maana wao wanaishi nao makambini na makazini na wanawafahamu, sisi wananchi hatuwafahamu. Ulinzi shirikishi una pande mbili.
 
Hapa doubts ni mingi sàna kuna giza kubwa sn ukifuatilia kwa jicho la ndani, upo uwezekano mkubwa hili tukio limepikwa.

Ndg zangu Tunaambiwa Askari alitoròka, Akaenda kuruka, akaangukia kitu chenye kali kikamchoma kichwani, utata unaanzia hapa:
Hicho kitu chenye ncha kali kimekutwa eneo hilo?

Je wakati anatoka mlangoni mlinzi alikuwa ndani au alikuwa nje?

Hii ya kuruka umetanguliza kichwa nyie mnaielewa, unarukaje kichwa kimetangulia chini?

Kwenye bag inakutwa simu ya malaya, sio kwamba simu imewekwa ktk 1,2 za kutengeneza tukio?

Maswali ni mengi kuliko majibu, by the way asilimia 90 ya Malaya ni wezi na wana magenge ya uhalifu. Hapa Uchunguzi zaidi unahitajika. Ninavyowafahamu mapoti kwa hawa walinzi wetu asingeweza kumzuia kupita mlangoni, halafu ana radio call ha h
 
Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa...
Tanzania unaweza ukapata ajali bahati mbaya ila ukafa kwa uzembe wa uokoaji ,, yani mtu ameanguka toka alfajili mnamuacha mpka asubuhi ,, afu mnategemea mmkute mzima..
 
Back
Top Bottom