Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hapana , uchunguzi zaidi ufanyike.
Kwamba saa Tisa Mlinzi alikuta kaanguka Damu zinatoka akaenda Polisi muda huohuo.
Alafu Polisi waende kwenye tukio Asubuhi wakute mwili uko palepale, vilevile.