Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

walipekua begi la marehemu na kukuta chupa ya bia moja,chips ,radio ya mawasiliano simu mbili ikiwemo ya huyo mwanamke pamoja na vitu vingine.
Aibu sana kwa jeshi la polisi Tanzania 🇹🇿

Hivi huyu marehemu Askari kibaka mlevi alikua kichwa maji nini?

Pamoja na upoti ameshindwa kujongeza na kutumia wadhifa kweli hadi kuparamia fance za gest house 🤭😂😂😂
 
Najiuliza wamejuaje kwamba alikuwa anamtoroka mwanamke!??

Je huyu marehemu alimwambia mtu kuwa nipo na demu nakula show, ila nikimalizana nae nitamtoroka!?...
Alionekana anaingia na mwanamke ila wakati wa kutoka anatoka mwenyewe kwa kuruka ukuta ,huko nikutoroka, tena na simu ya malayer
 
Kama alinunua chips kwann hawakuila mpaka anarudi nayo?

Kama bia aliingia nayo kwann hakuinywa au kumpa mwenzie mpaka anaamua kurudi nayo?

Kama mchezo umepewa mpaka mtu kalala fofo na wakati umeingia wahudumu walijua lazima utakuwa n Askari sababu ya rediokol sasa kulikuwa na ulazima gani aruke ukuta?

Kwa mazingira yale Kama alifanikiwa kumwacha Mwanamke akiwa amelala fofofo na kumchukulia simu yake huku chakula na bia akiwa navyo mkononi pamona na kutambulika kuwa n Askari sidhan Kama alishindwa kupitia njia ya mlangoni.

Hapa kuna shida nyingine zaidi ya hili mnalojadili humu.

Nataka hilo faili litoke polisi walikete ofisini kwangu kwa uchunguzi zaid
 
Yaani taarifa itolewe saa 9 usiku halafu Polisi wamekuja alfajiri?
 
Askarii mwizii na malayaaa wee..
Askariii we pita hukuuuu.mbwaaa wee
 
Sasa si angepita getini?

Unamuambia tu mlinzi, mimi askari. Unatoa kitambulisho na Radio call, over.

Umepata taarifa ya tukio fulani kutokea. Unatokomea unakojua wewe.
akili iyo anaitoa wap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…