Usiwe na ushkaji na polizei!Nina mshkaji ni njagu tena ana nyota moja aisee anahangaika kusaka kazi aachane na unjagu yani anajilaumu balaa in fact akimaliza law school akipata mhuri anasepa maana huko ni stress sana na maslahi sio rafiki.
Kama hvyo wangeenda kituon kumuandk ripot , huwez askar polis ukamjeruhi raia asie na slaa na ukaacha kutoa taarfaIla tukumbushane tu..askari anapokuwa na silaha usijibizane nae hadi kufika kitendo cha kumgusa au kugusa silaha inaweza kutafsiriwa Kwake unataka kumpora silaha.....
Inawezekana yametokea 12:03 amNdugu kwani leo ni saa ngapi na tarehe gani
Kwahiyo sifa zimemuua?Sema hao mabodi gani wa bar wanajikutaga makomando sana.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo wengi wa hivyo, waliovumilia ni hawa coplo ukute Form Four failures hana oa kutokea!
Pole ndugu,huenda hata mwamba kaachwa na mwewe🤣Inawezekana yametokea 12:03 am
Nimewahi achwa na ndege iliandikwa kuondoka 12:45am tarehe 13 October......
Ni kweli.ila hao jamaa wa milangoni misifa sana.kuna siku nimeingia sehemu.nimesimama tu mule ndani,akaja mmoja akaniuliza unafanya nini?nikamwambia nimesimama naangalia shoo.akaniambia today nje haturuhusu watu kukaa bure.Tutaongea humu lakini mtu aliyeshika silaha na unajua kabisa afya yake ya akili sio nzuri, kuwa nae makini sana. Usisukumane nae!
Nikikwambia HAUNA AKILI UTAKUBALI?Mungu angekuwepo, kusingekuwa na bunduki.
Uwepo wa bunduki ni ushahidi Mungu hayupo.
Pole kwa wafiwa.
Hapo lazma aseeePole ndugu,huenda hata mwamba kaachwa na mwewe🤣
Sema walikuwa kwenye msako wa hela.Msako wa malaya unaingia bar na AK47, hawa walikuwa kwenye msako wa majambazi malaya ni kisingizio tu.
Akili ni nini na unathibitishaje hapa akili ipo na hapa haipo?
Ni kweli Mungu angekuwepo isingekuwa na haja ya kuwa na bundukiMungu angekuwepo, kusingekuwa na bunduki.
Uwepo wa bunduki ni ushahidi Mungu hayupo.
Pole kwa wafiwa.
Nasubiria na miye majibuAkili ni nini na unathibitishaje hapa akili ipo na hapa haipo?
Anahisi unafaidi?Sema walikuwa kwenye msako wa hela.
Wakikaaga kwenye magari yao ya doria yale usiku wa manane wanaboreka wanaamua kutafuta hela kijinga.
Ujue polisi akiwa kwenye gari la doria usiku wa manane alafu wewe uko bar unakunywa unacheza kamziki naturally huwa wanakuwa na chuki.
Kuna baadhi ya Askari wanapenda ubabe na kujivimbisha kwa raia au walinzi wengine ambao aidha wapo kwenye makampuni ya ulinzi au ni walinzi binafsi hususani usiku wakiwa wamevaa kiraia hajavaa uniformSema hao mabodi gani wa bar wanajikutaga makomando sana.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
AahaaaaKuna baadhi ya Askari wanapenda ubabe na kujivimbisha kwa raia au walinzi wengine ambao aidha wapo kwenye makampuni ya ulinzi au ni walinzi binafsi hususani usiku wakiwa wamevaa kiraia hajavaa uniform
Nb: Usisahau askari polisi ni mlinzi alieajiriwa na Serekali