Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

WaTz tuache ulimbukeni wa madaraka, hali nzuri tulizonazo. Vyote hivyo ni kwa huduma kwa WaTz wenzetu. Tufuate sheria, tufuate katiba!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Chadema fanyeni yenu
Msisubiri tuwaambie
JF ukiandika maandam…. Wana Futa
Golden opportunity itumieni
Wamejilenga wenye mitutu
 
Upolisi ni kazi ya laana.
Mimi ndio maana hata waniombe vipi lift siwapi kenge hao. Akisimamisha namwambia nishafika, nakunja pale. Imeisha hiyo.
 
Hizi nguruwe hazikomi na matukio ya kipumbavu? Niliwahi kushuhudia ajali ya Polisi wakiwa na defender sikutoa msaada kabisa walikua wanalia kama watoto. Niliona ni kama natazama swala yanavyohangaika kukatika roho.
Mbwa hawa aisee. Polisi nikikuta analambwa risasi na jambazi na mwingine kajificha ntamuonesha mwingine huyu huku.
Kutoka moyoni kabisa, nawachukia polisi na jeshi lote la polisi.
 
This is tol Much sasa.

Walishazoea kutumika kufanya matukio hayo. Sasa hawaogopi
 
Tayari wameshapoteza uhai wa mtu.
Afrcans poor
 
Askari polisi wanatajwa kuwa ndiyo kada yenye akili ndogo kuliko hata mgambo
 
Chalamila unaona madhara ya zoezi lako kufanyika bila kutumia akili? Huyo mwananke anasema wanakamatwa kwakuwa wanajiuza, je wanajiuza bar au guest house?
 
Sijui dunia inaenda wapi? Hao Sheria ifate mkondo wake mapema maana hakuna aliye na haki ya kumunyang'anya mwenzake haki ya kuishi.
Mizengwe imeanza mapema huoni wamemtaja marehemu kwa jina Razak lakini wao hawajatajwa majina inakwenda kufichwafichwa kwa maslahi ya wauaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…