Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

Hii radi itakua imetumwa na Mungu mwenyewe
Ni wilaya gani mkuu maana nipo hapa mjini tuna karibia mwezi mzima hamna radi labda mvuamvua za utulivu tu
 
Sasa Mimi Nina mdogo wangu wa mwisho ni askari,

Kwamba unanishauri nivunje undugu naye?

Hiyo sikubali.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama.
 
Wameacha mke na watoto wawili kama mdude
 
Innalillah wainnalillah rajiun.
Pole Ziwafikie Ndugu jamaa na Marafiki.
Waliofikwa na msiba Huo.
Wao wametangulia Nasisi twaja
 
Mwezi wa 5 hakunaga radio. Hizo ni radio za uchawi. Sasa kwanini wasiwapige na hao wanaoteka watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…