Nilitaka niandike hivyo hivyo nikakuta umesha andika.Humu sio mahali pa vilaza kama wewe
Kumbe maneno tu hakuna uhalisia wa jambo lenyewe. Endelea kusubiri CDM wakishinda uchaguzi baada ya 100 ijayo.Unauliza kwamba uko serious, au umeweka bunndle leo hivyo unataka kuhakikisha bundle haliishi bure? Sasa kukusaidia vizuri ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi uone kama kama matokeo ya uchaguzi ule, kama yapo nijulishe kisha nikupe matokeo ya kweli ya majimbo wangalau mawili. Yaani utaingia aibu ambayo hujawahi kuiona.
Ngoja mpewe visenti.....mapovu yote hayo mkipewa mninofu mnaanza ngonjera...shida sio wizi shida ni wizi usiowahusisha na nyieUjinga umeandika. Kama upinzani bado unaiba kwa nini? Wezi na vibaka nyie!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kumbe maneno tu hakuna uhalisia wa jambo lenyewe. Endelea kusubiri CDM wakishinda uchaguzi baada ya 100 ijayo.
Wanasiasa ni walewale tu mtajuana wenyeweKama upinzani hakuna wizi wa kura wa nini?
Kitima na Bugando wapi na wapi?Huyu siyo Askofu acha uongo huyo ni Padre anaitwa Kitima mwanachama kidakida wa Chadema. Serikali ya awamu ya 5 ikiongozwa na Rais mpendwa wa watz Magufuli ilimuthibiti kwenye wizi waliokuwa wanafanya kupitia Hospitali ya Bugando ambayo inaongozwa na RC kwa ruzuku ya serikali kama ilivyo KCMC. Hivyo hawezi kuingolea vizuri serikali ya Magufuli hata siku moja.
Tena umesema vizuri sana jimbo langu ni Kawe Mbunge wa sasa Gwajima alishinda kihalali kabisa hakuna ubishi hapo.Nimekuambia ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo yapo, hapo ndio tunaweza kupima ninachosema. Kama hakuna ww sasa utajuaje mimi ninachosema ni kweli ama la? Mimi nitakupa sign results za majimbo mawili ya hapa Dar kisha tufananishe kilichopo tume ya uchaguzi. Ukipata matokeo kwenye tovuti ya tume ndio tunaweza kuweka ushahidi vyema. Nitakupa jimbo la ubungo na Kawe.
Wanasiasa wote baba na mama mmoja...kikubwa maslahi mnakwaruzana huko kisa maslahi yenu halafu wote mnakuja kusaka huruma za wananchi wasiokuja kuambulia lolote, wote mnatumia shida za wananchi kwa manufaa yenu sio tawala wala upinzaniIngekuwa kurushiwa tu mchele mtu anakwenda sawa, watu walitekwa na kuhatarishiwa usalama wao, watu walihujumiwa shughuli zao za kuwaingizia vipato ulitegemea nini?
Hujui kitu tulia. Yeye na Ruwichi wanajua sana tu wizi huo uliomsababisha Sister wa kihaya apoteze maisha yake hapo Bugando. Kitima ni mwanachama wa CDM kama hutaki kaa hivyo hivyo!Kitima na Bugando wapi na wapi?
Mnaishi na majungu na vijineno vya vijiweni kwa kuendekeza upuuzi. Kitima alikuwa SAUT na kwa akili zenu za kimaimuna yeyote anayetoa hoja za akili kuielekeza serikali mnamuona Chadema kindakindaki kwa vile huko CCM wote ni bongolala
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
HujitambuiWizi wa kura umemkasirisha Mungu ameamua kuiadhibu nchi kwa kuinyima mvua. Are we together now?
Tena umesema vizuri sana jimbo langu ni Kawe Mbunge wa sasa Gwajima alishinda kihalali kabisa hakuna ubishi hapo.
Mawakala wenu hawakuwa na pesa za kujikimu waliona ujinga wakajiondokea kwenda kutafuta kipato kingine ndio maana nakuona wewe unachukua udaku wa mitandaoni na kufikiri ni uhalisia.Narudia tena, tovuti ya tume ndio reference ya ukweli wa hayo matokeo ya uchaguzi Hili halijalishi ww ni mkazi wa jimbo gani. Kama unasema CCM ilishinda kihalali utawezaje kusema kuwa Kawe haikushinda kihalali? Hapa sitaongolea chochote kuhusu vikwazo kwa mawakala wa upinzani kuingia vituoni. Ingia tu kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi, kama matokeo yapo nikuwekee uhalali uone. Kinyume na hapo itakuwa ni ubishani usio na msingi.
ingekuwa hatariAmefanya jambo zuri kukemea, ila ingependeza zaidi kama angekemea wakati wa muhusika mkuu akiwepo, japo pia, naamini waliokuwa wasaidizi wake wameupata ujumbe.
"Rasimu irudi Ili kukomesha wizi huo"
Leo utalipwa pesa nyingi na kiongozi wenu huko Lumumba kwa kutupia post nyingi. Endlea kutupia uongeze kipato chako mkuu; kuishi mjini kunahitaji kujituma.Kumbe maneno tu hakuna uhalisia wa jambo lenyewe. Endelea kusubiri CDM wakishinda uchaguzi baada ya 100 ijayo.
Mkuu mbona hapa tunaongelea wizi wa kura ambao vyama vyote viliibiwa kura na kupewa wagombea wa CCM. Kwanini sasa unaongelea CDM tu? Unajitambua kweli wewe????? 😳 🙄 😱Kumbe maneno tu hakuna uhalisia wa jambo lenyewe. Endelea kusubiri CDM wakishinda uchaguzi baada ya 100 ijayo.
Nini kifanyike sasa mkuu? Nchi iendeshwe kwa utawala wa kichifu?Wanasiasa wote baba na mama mmoja...kikubwa maslahi mnakwaruzana huko kisa maslahi yenu halafu wote mnakuja kusaka huruma za wananchi wasiokuja kuambulia lolote, wote mnatumia shida za wananchi kwa manufaa yenu sio tawala wala upinzani
Bora....au kama china tu na urusi tujue moja kuliko haya machanga ya macho tunayopigana kisa demokrasiaNini kifanyike sasa mkuu? Nchi iendeshwe kwa utawala wa kichifu?
Dah, ndio maana hii nchi kupata maendeleo ya ukweli ni ndoto, baada ya miaka 60 ya uhuru bado tunapambana kujenga vyoo vya shuleHumu sio mahali pa vilaza kama wewe
Silly mentalityAfanye kazi aliyoitiwa ,
Kama hawezi , Ni vema akavua Hilo vazi na kufanya siasa
Utawala wa Dunia na Utawala wa Mbingu ni vitu viwili tofauti