Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Passport yake alioiacha Germany ndio masuala mtambukaRroho na ikuume tu. Nchi imelipuka kwa shangwe.
Sioni kosa la Bagonza ni maoni yake tu.
Tundu hakukutana na Rais kuomba maji, barabra na umeme. Kaongea maswala mtambuka ya watanzania kama Taifa.
Ni mambo yale yale ya siku zote. Siri ya nini?
Hivyo eti eeeh??? Vipi wale wanaokatikaga viunu hata kama muziki umeshazimwa unawasemeaje???Mashabiki wa Chadema ni kama waumini wa mwamposa, nabii shila au gwajima.
Kwao hakunaga kitu inaitwa logic ni mahaba tu kwenda mbele.
Kwenye hii list mtoe gwajima. (Kama unamaanisha askofu josephat gwajima)Mashabiki wa Chadema ni kama waumini wa mwamposa, nabii shila au gwajima.
Kwao hakunaga kitu inaitwa logic ni mahaba tu kwenda mbele.
Mashabiki wa Chadema ni kama waumini wa mwamposa, nabii shila au gwajima.
Kwao hakunaga kitu inaitwa logic ni mahaba tu kwenda mbele.
Nimeahangaa mimi pia mtu kama lisu kuanza kiropokaMaoni ya mhariri Moonlight Media.
Lissu amekengeuka.
Baada ya kikao cha jana cha rais na Kamanda Lissu tumekuwa na mtizamo tofauti kuhusu Lissu.
Huyu jamaa kwa mtizamo wangu amekosa ile Leadership tolerance. Kitendo cha yeye kwenda kwenye media na kuanza kurupoka mazungumzo yake ya faragha na Rais ni kosa kubwa kiungozi.
Yeye ni makamu Mwenyekiti wa Chama alitakiwa suala hilo alipeleke kwenye kamati kuu halafu kamati kuu ndiyo itoke na statement na siyo yeye kwenda club house kuongea.
Chadema ni Chama kinachoamini kiko tayari kupewa madaraka na Lissu aligombea urais Chama kikiamini anafaa kuwa Rais. Sasa kwa tabia hii kweli mtu anaweza kujiuliza maswali mengi sana.
Mbona Ikulu hawajatoa details za mazungumzo? A nadhani hii ni jambo la scoop?Kwa alichokifanya nadhani anaweza kuwa amepoteza fursa adhimu sana.
Suala la yeye kupoteza pasi ya kusafiria hivi kweli hilo ni suala la kumuomba rais kwani alishapeleka maombi katika idara na ofisi husika akaletewa zengwe? Nadhani kulikuwa na mambo mengi muhimu ya taifa zaidi ya hilo.
Lissu a sisahau kuwa kikao kile na rais alikuwa anawakilisha mamilioni ya wana Chadema na watanzania kwa ujumla. Utulivu ni nguzo muhimu ya uongozi
Rais Samia hakika ameidhihirishia dunia kuwa kiongozi ni mwenye imani,Upendo na haiba ya uongozi.
Mama Samia amewaambia kivitendo viongozi wa Afrika kwamba siasa si uadui wala nongwa.
Amewaambia kuwa kiongozi ni yule mwenye kutanguliza kwanza maslahi ya nchi na wananchi na si yeye na uongozi wake.
KWELI TITI LA MAMA LITAMU
C&PView attachment 2122166
Maoni ya mhariri Moonlight Media.

Alichofanya Lissu ndio siasa.inawezekana wakati uliopita mazingira yalikuwa hayaruhusu kuongea na Rais lakini wakati hali imebadilika mazingira yanaruhusu kuongea nae halafu hakuna anaejua nani kamuomba mwenzie wakutane.Lissu sio mbumbumbu kumuomba passport Rais Samia inawezekana mamlaka husika zilikuwa zinamkatalia kumpatia passport.ukiwa ughaibuni passport ni muhimu sana.Maoni ya mhariri Moonlight Media.
Lissu amekengeuka.
Baada ya kikao cha jana cha rais na Kamanda Lissu tumekuwa na mtizamo tofauti kuhusu Lissu.
Huyu jamaa kwa mtizamo wangu amekosa ile Leadership tolerance. Kitendo cha yeye kwenda kwenye media na kuanza kurupoka mazungumzo yake ya faragha na Rais ni kosa kubwa kiungozi.
Yeye ni makamu Mwenyekiti wa Chama alitakiwa suala hilo alipeleke kwenye kamati kuu halafu kamati kuu ndiyo itoke na statement na siyo yeye kwenda club house kuongea.
Chadema ni Chama kinachoamini kiko tayari kupewa madaraka na Lissu aligombea urais Chama kikiamini anafaa kuwa Rais. Sasa kwa tabia hii kweli mtu anaweza kujiuliza maswali mengi sana.
Mbona Ikulu hawajatoa details za mazungumzo? A nadhani hii ni jambo la scoop?Kwa alichokifanya nadhani anaweza kuwa amepoteza fursa adhimu sana.
Suala la yeye kupoteza pasi ya kusafiria hivi kweli hilo ni suala la kumuomba rais kwani alishapeleka maombi katika idara na ofisi husika akaletewa zengwe? Nadhani kulikuwa na mambo mengi muhimu ya taifa zaidi ya hilo.
Lissu a sisahau kuwa kikao kile na rais alikuwa anawakilisha mamilioni ya wana Chadema na watanzania kwa ujumla. Utulivu ni nguzo muhimu ya uongozi
Rais Samia hakika ameidhihirishia dunia kuwa kiongozi ni mwenye imani,Upendo na haiba ya uongozi.
Mama Samia amewaambia kivitendo viongozi wa Afrika kwamba siasa si uadui wala nongwa.
Amewaambia kuwa kiongozi ni yule mwenye kutanguliza kwanza maslahi ya nchi na wananchi na si yeye na uongozi wake.
KWELI TITI LA MAMA LITAMU
C&PView attachment 2122166
Hilo lijamaa limezoea kuropoka ropoka. Sijui linaogopa nini kurudi ilhali liligombea urais na kupoteza viti kibao vya wabunge na hakuna mtu aliligusa.Maoni ya mhariri Moonlight Media.
Lissu amekengeuka.
Baada ya kikao cha jana cha rais na Kamanda Lissu tumekuwa na mtizamo tofauti kuhusu Lissu.
Huyu jamaa kwa mtizamo wangu amekosa ile Leadership tolerance. Kitendo cha yeye kwenda kwenye media na kuanza kurupoka mazungumzo yake ya faragha na Rais ni kosa kubwa kiungozi.
Yeye ni makamu Mwenyekiti wa Chama alitakiwa suala hilo alipeleke kwenye kamati kuu halafu kamati kuu ndiyo itoke na statement na siyo yeye kwenda club house kuongea.
Chadema ni Chama kinachoamini kiko tayari kupewa madaraka na Lissu aligombea urais Chama kikiamini anafaa kuwa Rais. Sasa kwa tabia hii kweli mtu anaweza kujiuliza maswali mengi sana.
Mbona Ikulu hawajatoa details za mazungumzo? A nadhani hii ni jambo la scoop?Kwa alichokifanya nadhani anaweza kuwa amepoteza fursa adhimu sana.
Suala la yeye kupoteza pasi ya kusafiria hivi kweli hilo ni suala la kumuomba rais kwani alishapeleka maombi katika idara na ofisi husika akaletewa zengwe? Nadhani kulikuwa na mambo mengi muhimu ya taifa zaidi ya hilo.
Lissu a sisahau kuwa kikao kile na rais alikuwa anawakilisha mamilioni ya wana Chadema na watanzania kwa ujumla. Utulivu ni nguzo muhimu ya uongozi
Rais Samia hakika ameidhihirishia dunia kuwa kiongozi ni mwenye imani,Upendo na haiba ya uongozi.
Mama Samia amewaambia kivitendo viongozi wa Afrika kwamba siasa si uadui wala nongwa.
Amewaambia kuwa kiongozi ni yule mwenye kutanguliza kwanza maslahi ya nchi na wananchi na si yeye na uongozi wake.
KWELI TITI LA MAMA LITAMU
C&PView attachment 2122166
Huyo Abubakary liongo anashangaa nini Lissu kuropoka mbona hajawahi kushangaa bosi wake Lowassa kurudi CCM sikuoni bandiko lake lolote kumshangaa bosi wake kutoka chadema kurudi CCM.Nimeahangaa mimi pia mtu kama lisu kuanza kiropoka
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.
Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"
Pia soma
- BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi
- Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji