Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

Rroho na ikuume tu. Nchi imelipuka kwa shangwe.
Sioni kosa la Bagonza ni maoni yake tu.

Tundu hakukutana na Rais kuomba maji, barabra na umeme. Kaongea maswala mtambuka ya watanzania kama Taifa.

Ni mambo yale yale ya siku zote. Siri ya nini?
Passport yake alioiacha Germany ndio masuala mtambuka
 
Binafsi nilishangazwa...

kama alitonywa kifo cha JPM naye akawa roporopo, akapewa tena tango bovu juu ya kifo cha mpambe wa JPM akawa roporopo tena...he is not fit for any sensitive office...
 
Bogaza hamjui lisu nikwamba huyu ndg yetu Hana chembe ya kuficha ficha Mambo na alichosema ndohicho hicho alitaka afiche ili iwaje mbona bimkubwa anafunguka kilakitu
 
Mashabiki wa Chadema ni kama waumini wa mwamposa, nabii shila au gwajima.

Kwao hakunaga kitu inaitwa logic ni mahaba tu kwenda mbele.
Hivyo eti eeeh??? Vipi wale wanaokatikaga viunu hata kama muziki umeshazimwa unawasemeaje???
 
Mashabiki wa Chadema ni kama waumini wa mwamposa, nabii shila au gwajima.

Kwao hakunaga kitu inaitwa logic ni mahaba tu kwenda mbele.
Kwenye hii list mtoe gwajima. (Kama unamaanisha askofu josephat gwajima)
 
Mashabiki wa Chadema ni kama waumini wa mwamposa, nabii shila au gwajima.

Kwao hakunaga kitu inaitwa logic ni mahaba tu kwenda mbele.

Ukifuta hilo neno cdm ukimuuliza mtu yoyote huyo mtu anaongelea chama gani lazima akwambie ni ccm.
 
Maoni ya mhariri Moonlight Media.

Lissu amekengeuka.
Baada ya kikao cha jana cha rais na Kamanda Lissu tumekuwa na mtizamo tofauti kuhusu Lissu.

Huyu jamaa kwa mtizamo wangu amekosa ile Leadership tolerance. Kitendo cha yeye kwenda kwenye media na kuanza kurupoka mazungumzo yake ya faragha na Rais ni kosa kubwa kiungozi.

Yeye ni makamu Mwenyekiti wa Chama alitakiwa suala hilo alipeleke kwenye kamati kuu halafu kamati kuu ndiyo itoke na statement na siyo yeye kwenda club house kuongea.

Chadema ni Chama kinachoamini kiko tayari kupewa madaraka na Lissu aligombea urais Chama kikiamini anafaa kuwa Rais. Sasa kwa tabia hii kweli mtu anaweza kujiuliza maswali mengi sana.

Mbona Ikulu hawajatoa details za mazungumzo? A nadhani hii ni jambo la scoop?Kwa alichokifanya nadhani anaweza kuwa amepoteza fursa adhimu sana.

Suala la yeye kupoteza pasi ya kusafiria hivi kweli hilo ni suala la kumuomba rais kwani alishapeleka maombi katika idara na ofisi husika akaletewa zengwe? Nadhani kulikuwa na mambo mengi muhimu ya taifa zaidi ya hilo.

Lissu a sisahau kuwa kikao kile na rais alikuwa anawakilisha mamilioni ya wana Chadema na watanzania kwa ujumla. Utulivu ni nguzo muhimu ya uongozi

Rais Samia hakika ameidhihirishia dunia kuwa kiongozi ni mwenye imani,Upendo na haiba ya uongozi.

Mama Samia amewaambia kivitendo viongozi wa Afrika kwamba siasa si uadui wala nongwa.

Amewaambia kuwa kiongozi ni yule mwenye kutanguliza kwanza maslahi ya nchi na wananchi na si yeye na uongozi wake.

KWELI TITI LA MAMA LITAMU
C&P
FB_IMG_1645044591043.jpg
 
Do you know Government transparency?

Muulize HE. B.W. Mpaka(RIP)
 
C&PView attachment 2122166
Nimeahangaa mimi pia mtu kama lisu kuanza kiropoka
 
Lissu amefanya vile ili kusiwepo na aina yoyote ya kukasalitiana. Ikumbukwe leo Rais alitakiwa kukutana na uongozi wa EU hivyo kikao na Lissu ni turufu kwa serikali ya SSH kuliko kwa Lissu.

Kwa vyovyote, Rais alitaka kujenga hoja ya kuwa na nia njema ya kuanzisha mjadala na upinzani hususani Lissu ambaye yupo ukimbizini alikokwenda kupitisha bakuli.

Kwa Lissu kutoka hadharani na kusema yale, Rais anafungwa na hawezi kumgeuka Lissu kwenye zile hoja, labda atashindwa kutekeleza makubaliano kwa shinikizo la chama chake lakini dunia itajua hakuwa mkweli katika mjadala. Lissu asingetumia ile fursa, hoja zingepitishwa kinyemela katika meza ya mazungumzo na viongozi wa EU alafu rais akirudi nchini anaamua kupotezea, hapo tayari Lissu anakuwa ametumika.
 
Alichofanya Lissu ndio siasa.inawezekana wakati uliopita mazingira yalikuwa hayaruhusu kuongea na Rais lakini wakati hali imebadilika mazingira yanaruhusu kuongea nae halafu hakuna anaejua nani kamuomba mwenzie wakutane.Lissu sio mbumbumbu kumuomba passport Rais Samia inawezekana mamlaka husika zilikuwa zinamkatalia kumpatia passport.ukiwa ughaibuni passport ni muhimu sana.
 
Mkuu haya ndio maoni ya Askofu Bagonza haya yako umetoa wapi?

DAWA IMEPATA UGONJWA au UGONJWA UMEPATA DAWA?

Mh Rais SSH amekutana na kufanya mazungumzo na mkimbizi wa kisiasa TAL huko Ubelgiji. Nchi imejaa matumaini kuliko mashaka. Wapo wanaoona kwamba hatimaye ugonjwa umepata dawa. Na wapo wanaoona kuwa hatimaye dawa imepata ugonjwa wa kutibu. Inategemea umesimama kona gani kuliko nini kimetokea. Mimi nina mashaka yenye matumaini kuliko kuwa na matumaini yenye mashaka. Historia ina mafundisho:

1. Kambarage alipokubali na kuwashawishi wenzake kukubali kura tatu mwaka 1958 njia ya kuelekea kupata uhuru ilianza kuwa nyepesi.

2. De Clerk alipomtorosha Mandela gerezani kwa siri na kukutana naye Ikulu ndogo kwa siku kadhaa akijadiliana naye juu ya hatima ya nchi, ugumu ulipungua.

3. Maalim Seif na Aman Karume walipokutana "kinyume"na matakwa ya vyama vyao, wakazungumza na kutunza siri na kuaminiana, Zanzibar ilibadilika.

4. Uhuru Kenyata na Raila Odinga waliposhikana mkono na kutazamana usoni, Kenya iliyo imara ilizaliwa.

5. Baba Mtakatifu (sasa Mtakatifu) Papa Yohane wa II alipoamua kwenda gerezani kukutana na aliyempiga risasi, Kanisa Katoliki liliimarisha mafundisho yake juu ya msamaha.

6. Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Afrika Kusini ilipowezesha maadui kukutana uso kwa uso na kuombana msamaha, uponyaji wa taifa ulianza..

Uponyaji wa taifa au Mwanzo Mpya huanza pale yafuatayo yanapotokea:

i) Viongozi wa pande zinazovutana wanapoamua kuasi sehemu ya misimamo ya pande zao. Rais SSH na TAL ni mateka wa vyama vyao. Hili linahitaji ufafanuzi na hapa si mahali pake.

ii) Kila upande kukubali kupoteza kitu ili kupata kingine. Nimemsikia TAL ameweka orodha yake. Tunasubiri orodha ya upande wa pili.

iii) Kila upande kukubali kulitanguliza taifa kuliko vyama au maslahi ya muda ya viongozi.

iv) Dhamira imara (commitment) ya pamoja juu ya ukuu wa katiba na utawala wa sheria.

v) Msimamo wa pamoja wa kukiri kuwa kuna hakikikwenda sawa na hali iliyopo haikubaliki. Haja ya mwanzo mpya huzaliwa hapa.

Kwa nini nina mashaka yenye matumaini?

- Mashabiki/Wakereketwa bado wana nguvu kuliko viongozi waliohusika.

- Viongozi "wanamiliki" vyama vyao kwa ndani.

- Pande zote zina hofu na "vyombo" vyetu visivyo vyetu. Tulifuga chatu sasa anatamani damu zetu.

Hata hivyo, Maridhiano ni mchakato siyo tukio. Nawapongeza sana rais SSH na TAL.
 
Maoni ya mhariri Moonlight Media.

Lissu amekengeuka.
Baada ya kikao cha jana cha rais na Kamanda Lissu tumekuwa na mtizamo tofauti kuhusu Lissu.

Huyu jamaa kwa mtizamo wangu amekosa ile Leadership tolerance. Kitendo cha yeye kwenda kwenye media na kuanza kurupoka mazungumzo yake ya faragha na Rais ni kosa kubwa kiungozi.

Yeye ni makamu Mwenyekiti wa Chama alitakiwa suala hilo alipeleke kwenye kamati kuu halafu kamati kuu ndiyo itoke na statement na siyo yeye kwenda club house kuongea.

Chadema ni Chama kinachoamini kiko tayari kupewa madaraka na Lissu aligombea urais Chama kikiamini anafaa kuwa Rais. Sasa kwa tabia hii kweli mtu anaweza kujiuliza maswali mengi sana.

Mbona Ikulu hawajatoa details za mazungumzo? A nadhani hii ni jambo la scoop?Kwa alichokifanya nadhani anaweza kuwa amepoteza fursa adhimu sana.

Suala la yeye kupoteza pasi ya kusafiria hivi kweli hilo ni suala la kumuomba rais kwani alishapeleka maombi katika idara na ofisi husika akaletewa zengwe? Nadhani kulikuwa na mambo mengi muhimu ya taifa zaidi ya hilo.

Lissu a sisahau kuwa kikao kile na rais alikuwa anawakilisha mamilioni ya wana Chadema na watanzania kwa ujumla. Utulivu ni nguzo muhimu ya uongozi

Rais Samia hakika ameidhihirishia dunia kuwa kiongozi ni mwenye imani,Upendo na haiba ya uongozi.

Mama Samia amewaambia kivitendo viongozi wa Afrika kwamba siasa si uadui wala nongwa.

Amewaambia kuwa kiongozi ni yule mwenye kutanguliza kwanza maslahi ya nchi na wananchi na si yeye na uongozi wake.

KWELI TITI LA MAMA LITAMU
C&PView attachment 2122166
Hilo lijamaa limezoea kuropoka ropoka. Sijui linaogopa nini kurudi ilhali liligombea urais na kupoteza viti kibao vya wabunge na hakuna mtu aliligusa.
 
Nimeahangaa mimi pia mtu kama lisu kuanza kiropoka
Huyo Abubakary liongo anashangaa nini Lissu kuropoka mbona hajawahi kushangaa bosi wake Lowassa kurudi CCM sikuoni bandiko lake lolote kumshangaa bosi wake kutoka chadema kurudi CCM.
 
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.

Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza nani kaomba kukutana, usuluhishi unahitaji restraint, Rais anapotoshwa, Lissu akiendeshwa na mashabiki"

Pia soma
- BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi
- Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji

Back
Top Bottom