Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

Kumbe kashfa tu tena kwa wenye chuki nalo.Ila huwezi kuta askofu wa kanisa katoliki akafanya au kuongea mambo ya hovyo au kujibizana na kupelekana polisi
Yule wa Kagera humtambui? mpuuzi wewe kila siku Papa anafukuza mapadre kwa kashifa za ngono wewe upo upo tu
 
Kumbe kashfa tu tena kwa wenye chuki nalo.Ila huwezi kuta askofu wa kanisa katoliki akafanya au kuongea mambo ya hovyo au kujibizana na kupelekana polisi
Sasahivi Hai kuna Padre yupo mahakama kwa kashifa ya kubaka mwanafunzi, tulia wewe acha kuongea ongea ujinga, hakuna msafi hata mmoja
 
Kumkamata ni sawa na kuyatangaza hayo maandamano nchi nzima.

Wangemuacha kwanza waone kama angepata wafuasi wa kuandamana. Pengine angejikuta anaandamana pekeyake.
 
Kumkamata ni sawa na kuyatangaza hayo maandamano nchi nzima.

Wangemuacha kwanza waone kama angepata wafuasi wa kuandamana. Pengine angejikuta anaandamana pekeyake.
Mwanakondoo ameshinda , Tumfuate
 
Sasahivi Hai kuna Padre yupo mahakama kwa kashifa ya kubaka mwanafunzi, tulia wewe acha kuongea ongea ujinga, hakuna msafi hata mmoja
Kamwe huwezi kusikia viongozi wa serikali au serikali yenyewe ikiwadhalilisha au kupambana na viongozi wa kanisa au na kanisa katoliki hata ikitokea mambo humalizika mezani.Hayo ya padre huko kwenu Hai unayajua mwenyewe!
 
Yule wa Kagera humtambui? mpuuzi wewe kila siku Papa anafukuza mapadre kwa kashifa za ngono wewe upo upo tu
Mpuuzi mmoja wewe kumbe tunazungumzia kashfa na zisizochukuliwa hatua na serikali Bali na kanisa lenyewe!
 
Huyu Askofu ndiyo ali organize matembezi ya hiyari kudai Katiba mpya?

Nadhani angejikita kwenye kuchunga kondoo wa bwana tu, utawala uliopo huwa haupendi kufosiwa kufanya mambo. Mambo yanafanyika pale mwenye nyumba atakapoamua.

Hata kama aliwahaidi Katiba mpya -mpaka apende mwenyewe.

Milioni 50 kila Kijiji - mpaka apende

Nyongeza ya mishahara - mpaka apende

You mention...
Hata hiyo katiba mpya nadhani si wakati wake huu kudai kwani hata ikitengenezwa itakuwa haina tofauti na ya zamani sana sana wataongezea ya utawala wa kifalme.

Tutapoteza hela for nothing.
 
Wewe unamwambia hana wewe hata ushemasi haujawahi kuupata mwenzio askofu.
upako hauhusiani na cheo cha kanisa.

na kama anao angeuchia tu uende kwa jiwe abadili mawazo kuhusu hiyo katiba mpya.

badala yake haamini katika anachosimamia anatumia mwili wake dhaifu.
 
Tatizo unaleta hadithi.
Umekasirika? Ungekuwa wewe ndiye mzee mwenyewe wa ziwani hata kumkamata usingemkata. Ungelipua kwa kutumia remote. Lakini wewe ni mshirikina tu. Mpambe tu.
 
Hata hiyo katiba mpya nadhani si wakati wake huu kudai kwani hata ikitengenezwa itakuwa haina tofauti na ya zamani sana sana wataongezea ya utawala wa kifalme.

Tutapoteza hela for nothing.
Wasije kuongeza kipengele cha kumi tena, manake wapambe wake wameshajipanga kuanzia kusini,pwani, nyanda za juu kusini, kaskazini na kanda ya ziwa 🙆🙆🙆
 
Wasije kuongeza kipengele cha kumi tena, manake wapambe wake wameshajipanga kuanzia kusini,pwani, nyanda za juu kusini, kaskazini na kanda ya ziwa [emoji134][emoji134][emoji134]
Hicho ndicho watakiona cha maana kwenye hiyo katiba mpya na kisha kurudisha mambo yote ya hovyo.

Siyo mpaka mtu awe nabii kutabiri hili.
Lipo wazi vichwani mwa wale ma mp
 
Hicho ndicho watakiona cha maana kwenye hiyo katiba mpya na kisha kurudisha mambo yote ya hovyo.

Siyo mpaka mtu awe nabii kutabiri hili.
Lipo wazi vichwani mwa wale ma mp
Si ulimsikia Deo Sanga wa Njombe, Dr Tulia and the likes hao wametumwa kuja kupima upepo
 
Umekasirika? Ungekuwa wewe ndiye mzee mwenyewe wa ziwani hata kumkamata usingemkata. Ungelipua kwa kutumia remote. Lakini wewe ni mshirikina tu. Mpambe tu.
Hahaha sawa bwana
 
Kwa akili zako ulitaka polisi wamvike Nishani?,au ulitaka wampigie vinanda na vinubi?, lini watanzani tumekaa tukamtuma mwamakula kuwa tunahitaji katiba mpya?
Wewe unataka nini? Kwanini poliCCM wamemkamata kabla ya maandamano? Si walisema hawafanyii kazi habari za mtandaoni au kwa kuwa askofu alimuunga mkono Tundu Lissu ndio maana madikteta wamewatuma mbwa wao kumkamata?
 
Back
Top Bottom