Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
What he knows, how much, who is behind him, how far has his information gone, amewaambia wangapi, kuna ule msemo, mkiona wamenidaka, achilieni kimoja baada ya kingine.Wakiamua wanamdaka lakini hawataki kuchafua zaidi
Ni kiongozi mkuu wa Sabato kama Gwajima? Ambaye ndie Askofu mkuu wa Kanisa la ufufuo na uzima na msemaji mkuu wa hilo kanisa?Mbona SDA hawajafungiwa wakati Juzi hapa mchungaji wao alikua anaongelea utekaji madhabahuni.
Ni mfano ilikuwa natoa KWA Yule ALIYEKUWA ameniuliza SWALI, hauna UHUSIANO NA KaweKwaiyo wapi!! Kawe au.!?
Mnalipwa bei gani kutetea upumbavu.!? Kweli mwafrika ni nyani aliyechangamka..Huyo hajasajiliwa na msajili ila kanisa lake ndilo lililosajiliwa hakuna mwenye mpango naye
Msajili anashughulika tu na kanisa alilosajil lililokiuka masharti ya usajili kumpa Gwajima platform alitumie kwa siasa
Gwajima watajuana naye wenyewe waliompa madhabahu atumie kisiasa
Msajili kafuta taasisi huyo Gwajima warajuana naye wenyewe hayamhusu msajili
Wewe ni CHAWA Kwa sasa akili yako imejazwa damu za kina Mzee Kibao huwezi kuelewaTUKIO LA FR KITIMA HALINA UHUSIANO NA SERIKALI, ILA LA ASKOFU LINAO. TUKIO LA FR KITIMA NI SAWA NA LILE LILILOWAHI KUMPATA TL. MATUKIO MAWILI YOTE HAYA YAMERATIBIWA NA WATU MAADUI WA SERIKALI
Ila usikute unaamini hawajui walipo wasiojulikana.Ivi kwa akili za kawaida kabisa watanzania wanaamini system haijui Gwajima alipo🤣🤣🤣
Anaandaa MIPASHOKhadija koppa wa ikulu anaumwa akiona hii picha
Album kabisaaAnaandaa MIPASHO
Shida ni nani kaongea au issue ni platform imetumikaje? Umesema kanisa la ufufuo limefungiwa kwa sababu lilitoa platform kwa Gwajima kukemea utekaji na kwamba Serikali haina muda na Gwajima, Sasa na Kanisa la SDA lilitoa platform kwa Mchungaji wao kuongelea utekaji kanisani, Its the same situation, why is the reaction different?Ni kiongozi mkuu wa Sabato kama Gwajima? Ambaye ndie Askofu mkuu wa Kanisa la ufufuo na uzima na msemaji mkuu wa hilo kanisa?
Wakatoliki walivyo na dharau anawaangalia kama mbuziLeo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
Ni mfano ilikuwa natoa KWA Yule ALIYEKUWA ameniuliza SWALI, hauna UHUSIANO NA
Mi naishi bichi nikajua nianzie hapa nilipo, OK okNi mfano ilikuwa natoa KWA Yule ALIYEKUWA ameniuliza SWALI, hauna UHUSIANO NA Kawe
Kumbe Jasusi la Mbinguni lipo DunianiLeo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
GeniusWhat he knows, how much, who is behind him, how far has his information gone, amewaambia wangapi, kuna ule msemo, mkiona wamenidaka, achilieni kimoja baada ya kingine.
Itakua alikua kwenye mfungoAlikua kwenye handaki nini, kapungua na ndevu zimestawi.....
Ana mpango wa kufuga rasta kabisaAlikua kwenye handaki nini, kapungua na ndevu zimestawi.....