Definition ya GWAJIMANIZATION ni nzuri sana, excel-lent,ni ya moto sana🔥🔥🔥🔥.Nimeipenda.Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Mi nadhani aliyetengeneza protokali ndiye aliyeleta uchawa.Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Anakukojolea kinywani, bado unalilia 'protokali! Watu wengine sijui wameumbwa vipi?Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Wewe hunyandui Mkuu!?? As long as Gwajiboy anasimamia ukweli arecord tena nyingine wala hatuna shida naeni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
Unaona wivu ulitaka akuzagamue wewe?ni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
shida ni kichwa chako kujaa maviUnaona wivu ulitaka akuzagamue wewe?
Wanaume wanaojitambua, ambao bado wanajua kazi Mungu aliyompa mwanaume ni nini, watasimama na kuhesabiwa hata wakiuwawa, wakifilisiwa, wakitupwa magerezani kwa maslahi mapana ya Taifa.Ngoja waamshe yale ya money laundering and the likes
Gwajiboy is not doing himself any favors
Bi hangaya anatuma ujumbe kwa vichambo, sasa gwaji boy afanyeje? Afu hao wanajibishana kama wanasiasa sio mamlaka na mtu bakiKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Unajivimbisha hapa ili iweje? Kwani huyo Samia ndio atakuwa wa mwanzo na mwisho> Huyo Magufuli yuko wapi?Umeandika vizuri, kweli Rais wetu anajirahisi sana, huyo kibwengo alitakiwa ameshashughulikiwa. Huyu IGP naye ni goigoi au anamhujumu Rais. We ujibizane na mtu km Magu? Au mamlaka ya Rais yamepunguzwa? Kwa mtindo huo atamaliza miaka 5 kweli? Sipendi Rais dhaifu anayeweza kuchezewa km wanavyotaka kwa tiketi ya ustaarabu.
Gwajima is a puppet miaka yoteWanaume wanaojitambua, ambao bado wanajua kazi Mungu aliyompa mwanaume ni nini, watasimama na kuhesabiwa hata wakiuwawa, wakifilisiwa, wakitupwa magerezani kwa maslahi mapana ya Taifa.
Nyerere, Nkuruma, Mandela, Malcolm,X, Martin Luther King, Mtikila, Warioba, Mpina, Gwajima walijua wanaweza, watauwawa, kufanyiwa figisu, walikuwa tayari kulipa gharama.
Ndio Kizazi chetu tumepata uhuru, elimu, afya, kujitambua, kutokana na misimamo yao.
Sasa hivi hii nchi inafanywa wote kuwa kama wanawake, mashoga, role model ni Mwijaku, Dotto, Levo, na wahuni kama hao. Sio watu kama Nyerere., Kambona, Bibi Titi.
Unafikiri wangesemaje wakiangalia utawala wa Samia?
What is puppet?Gwajima is a puppet miaka yote
We saw it during magu
Are you puppet? Wewe na Gwajima nani ni puppet, sellout for money, cheo, mamlaka?Kuna kitu Inaitwa gugo
Use it
It helps
Kama raisi mwenyewe mtu wa pwani jeKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Wewe ni mavi kabisashida ni kichwa chako kujaa mavi
Sasa kiprotokali yeye alishindwa nini kukaa kimya?hoja za msingi kama za gwajima ambazo kila mwenye akili timamu anazielewa unakuja kuzijibu kwa mihemko unategemea nini kama sio kuaibika?Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
You don’t know meAre you puppet? Wewe na Gwajima nani ni puppet, sellout for money, cheo, mamlaka?
Yupi anatetea haki za ndugu zako, mali zao, Tanzania? Nyerere angesemaje kuhusu hili, angesimama upande gani?
Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Kwahiyo siku zote mlishindwa kuamsha na kumpeleka mahakamani?Ngoja waamshe yale ya money laundering and the likes
Gwajiboy is not doing himself any favors