ChaiZezeta apewe nafasi hiyo?
Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Chawa wa Samia mnahangaika kama kuku aliyekatwa kichwaAisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699