Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!

Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!

Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!

View attachment 3355699
Hivi Polepole alisema hii ni fitina ya ngapi ktk zile fitina zetu wana CCM? Yaani wanakuzushia ZENGWE hahahaha
 
Mkuu,

Unashauri chadema tukichukua nchi tuuendeleze huo utamaduni?

..Madaraka ya Raisi yanapaswa kupunguzwa.

..Chadema wakichukua nashauri Raisi aondolewe mamlaka ya kuteua utitiri wa watumishi wa serikali na taasisi za umma.

..pia katika nafasi kama za Uwaziri nashauri uwepo utaratibu wa Bunge kuwathibitisha.

..Rais abakiwe na nafasi chache ambazo anaweza kuteuwa moja kwa moja, haswa nafasi kama washauri na wasaidizi ktk ofisi yake.

..Tukifanya hayo tutapunguza kwa kiwango kikubwa teuzi za hisani.
 
PROPAGANDA ZA KITOTO WALA KWA SASA HAZINA MASHIKO.
Gwajima ni muhuni na tapeli wa muda mrefu!! Alichofanya alikua anajaribu kumtisha Samia amuite mezani ampe chochote!! Shwaini sana Yule jamaa.
 
Alikupa ujauzito akaukataa? Propaganda zenu za kitoto. Jibuni hoja zake
 
Sisi tukipost vitu hivi unatuita hatuna akili. Ila sisi tumeona ulichopost Acha tukae kimya.
Hivi na akili zako unaweza tekwa au vutiwa na uhuni wa Gwajima? Seriously? Nakumbuka vyema hata kipindi Nipo CCM tukiwa na JK kwenye kikao fulani jamaa aliitwa kupoeahwa!! Akaja Magufuli akapoeshwa akanyamaza!! Alifikiri kwa Samia angepoeshwa Ndo maana akaanza Kiki za kishenzi!!

Maji na mafutavinajitenga taratibu Gwajima ni shwaini tu
 
Inawezekana Gwajima aliomba unaibu waziri, wala si ajabu, ikiwa alijua anaweza kuwa mchango mzuri kwa serikali.

Lakini kama alifanya hili in confidence, basi kuna mtu mwenye uraibu wa pombe kali alienda kuliropoka kwa watu wengine katika hali yake ya ulevi huko kwao Zanzibar, maana tunalisikia hili toka Zanzibar.
Dhamana haiombwi wewe!
 
Huyu anayesema ana video ya ushahidi maana kuna record.

Atuletee video siku mkataba wa bandari na DP World unasainishwa waliongea nini na kina Makhtoum.
 
CCM ni janga
Hiki chama kimebeba Mashoga na Malaya. Ndo wanakuwa viongozi pia wanaanza kukitembea kipapiro ndani na nje ya nchi. Hawa mashoga wanagawa kifinyio ndo unaona hata uwezo wa kujenga hoja hawana. Huyu alinyimwa pesa na Gwajima.
 
Hoja ya GWAJIMA hakuna awezaye kuijibu
Ghwajima alikua chadema enzi za JPM,,ulipofika mwaka wa uchaguzi ajawa machachari Sana kuchokonoa serikali ya JPM,sijui akajikoki wapi wakaweka ndani😂,wakahangaishana akatoka,,then ikafuuata video yake ya x kuvunja,akaikana,,baada wakaongea kisukuma na jiwe,wakaelewana,akahamia ccm na kugombea ubunge,,akapata ubunge wa kawe,akawa mpole kwerikweri,,nadhani aliahidia cheo kikubwa😂.
Jiwe akafariki,akaongia ssh,,
Sasa uchaguzi huu maachale yakamcheza mbona Kama mdee anaelekea kumpokonya cheo Cha ubunge?.
Akapiga mahesabu akaona,mgombea wa urais chadema Yuko lokapu,,akaona akichanga karata vizuri chadema watamfanya yeye awe mgombea wa urais😅
Kilichofuata ndo hicho tulichokishuhudia,,yeye alikua Ili chadema wampokee,lazima aanze kumtukana mamlaka na kuchochea vurugu
 
Inawezekana Gwajima aliomba unaibu waziri, wala si ajabu, ikiwa alijua anaweza kuwa mchango mzuri kwa serikali.

Lakini kama alifanya hili in confidence, basi kuna mtu mwenye uraibu wa pombe kali alienda kuliropoka kwa watu wengine katika hali yake ya ulevi huko kwao Zanzibar, maana tunalisikia hili toka Zanzibar.
. Mkuu kama unaweza kuongea/kuteta jambo na Rais, mkiwa wawili ofisini kwake halafu ukakutana nalo njiani huja fika nyumbani basi kuna shiiida!!! Tena shida kubwa!!
 
Ghwajima alikua chadema enzi za JPM,,ulipofika mwaka wa uchaguzi ajawa machachari Sana kuchokonoa serikali ya JPM,sijui akajikoki wapi wakaweka ndani😂,wakahangaishana akatoka,,then ikafuuata video yake ya x kuvunja,akaikana,,baada wakaongea kisukuma na jiwe,wakaelewana,akahamia ccm na kugombea ubunge,,akapata ubunge wa kawe,akawa mpole kwerikweri,,nadhani aliahidia cheo kikubwa😂.
Jiwe akafariki,akaongia ssh,,
Sasa uchaguzi huu maachale yakamcheza mbona Kama mdee anaelekea kumpokonya cheo Cha ubunge?.
Akapiga mahesabu akaona,mgombea wa urais chadema Yuko lokapu,,akaona akichanga karata vizuri chadema watamfanya yeye awe mgombea wa urais😅
Kilichofuata ndo hicho tulichokishuhudia,,yeye alikua Ili chadema wampokee,lazima aanze kumtukana mamlaka na kuchochea vurugu
Mkuu pamoja na rundo la maneno yako mengi, je alichohoji kuhusu utekaji sio kweli???
 
Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!

Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!

Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!

View attachment 3355699
Taifa hili limejaa maponjoro wengi sana. Ni kwa nini hawajibu hoja za Gwajima.
Kujipendekeza na ubinafsi uliopindukia plus umasikini wa kifikra unaliangamiza Taifa hili.

Nilitegemea mwandishi angemwuliza kuwa wakati Gwajima anaenda kuomba cheo na yeye alikuwepo Ikulu). Nilitegemea mwandishi ambane atoe huo ushahidi wa video.

Nilitegemea mwandishi amwulize maswali magumu ikiwemo hoja ya watekaji, mauaji na kupotezwa watu.

Hakika tuna waandishi ambao nao ni maponjoro.
 
Ghwajima alikua chadema enzi za JPM,,ulipofika mwaka wa uchaguzi ajawa machachari Sana kuchokonoa serikali ya JPM,sijui akajikoki wapi wakaweka ndani😂,wakahangaishana akatoka,,then ikafuuata video yake ya x kuvunja,akaikana,,baada wakaongea kisukuma na jiwe,wakaelewana,akahamia ccm na kugombea ubunge,,akapata ubunge wa kawe,akawa mpole kwerikweri,,nadhani aliahidia cheo kikubwa😂.
Jiwe akafariki,akaongia ssh,,
Sasa uchaguzi huu maachale yakamcheza mbona Kama mdee anaelekea kumpokonya cheo Cha ubunge?.
Akapiga mahesabu akaona,mgombea wa urais chadema Yuko lokapu,,akaona akichanga karata vizuri chadema watamfanya yeye awe mgombea wa urais😅
Kilichofuata ndo hicho tulichokishuhudia,,yeye alikua Ili chadema wampokee,lazima aanze kumtukana mamlaka na kuchochea vurugu
Kwahiyo hapa umeshajibu tayari?
 
Back
Top Bottom