Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ili tujue kuwa yeye alijuaje kuwa Gwajima aliomba awe naibu Waziri!Huyo anayeongea kwenye simu ni nani na ana cheo gani??

Chochote wasemacho CCM huwa siaminiAisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Huyu kabla ya kurusha hii taarifa aliibalance? Alimhoji Gwajima? Uwanja wa Gwajima Kujibu uko wapi?Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Nilidhani umeleta kithibitisho ,kumbe ni umbea tu wa machawa?Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Kwa hiyo huyo rais wenu ndio kawaambieni kwamba Gwajima alienda kwake kuomba unaibu waziri?Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Wewe utakufa kifo kibaya sana maana unamttea mtu ambaye wananchi hawamtaki kabisa na kumponda mtu anayeweka mambo yenye changamoto kwa uwazi ili kushirikisha ufumbuzi upatikane.Zezeta apewe nafasi hiyo?
Wewe matako unadhani kuna wa kumfunika RaisAlimnyima unaibu waziri Kwa sababu aliogopa kufunikwa na mzalendo gwajima.Maana anajua uwezo wa gwajima Huwa amenyooka ndiyo maana kamwambia bila kupeoesa macho aache kuua watanzania na angejisikiaje kama abduli wake angetolewa macho?
Uwaziri siku hizi unaombwa?
Hizi ni hasira tu za kunyimwa cheo na kihoro cha kupoteza ubunge!! UHUNI!!
UwiiiiiAisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Hizi spinning hazitazuia hukumu ya adhabu juu ya huyo mama yenu na CCM yakeAisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Mkuu,..watu wengi wanakwenda kumuona Raisi kwa maombi mbalimbali.
..kama mtu anataka kumsaidia Raisi ktk nafasi au jambo fulani na ana uwezo wa kumfikia Raisi na kumueleza sioni tatizo akifanya hivyo.