Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!

Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!

Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!

View attachment 3355699
Ndio mjue watu wanamadude kuliko alionayo Gwajima lkn tofaut yake wenzie wanavifua vyakuyatunza matatizo yake !!!

yeye akipata jambo ataki kulala nalo !!

nimuombe Askofu Gwajima pamoja ya kuwa ww Ktk Ma Askofu Vijana sana bahati nzuri Pesa unayo unamiliki Chopa !!!

na una walinzi wakutosha nikuombe tu!!

Maisha yako uliyachagua yasikutoe kwenye nizam yako na Utiii wa Asili wa Kisukuma !!!

pesa Chopa Ulinzi wako usikufanya kutamani makuu zaid ambayo bado ayajakufikia !!!

Baki ktk utiifu wako kwa Rais wetu

Rais akuwa na Shida na Kanisa lako !

Rais akukuchokoza wala kuoji Maisha yako ya juuu kuliko viongozi wengi wa Dini ndani ya TZ!!

tunajua niww ndio Umechokaza Mambo . GWAJIMA ww bado mwa CCM tafuta njia zote zakujishusha !!

nenda kwa Waziri usika tumia nafasi iyo kumuomba kuonana Rais ili ukamuombe msamahaa !!

fanya aya kwa speed ya Umeme kama Kweli ww nimzalendo!!

ukweli Gwajima umemiliki pesa kupitia Kanisa sio kuwa Mbunge !!!

Ubunge uwezi kupata kwasasa lkn Japo Kanisa lako liendelee Gwajima ulikosea chutama mambo yaishe !!

Tuliona kina January na Nape Walichutama wewe sio wa kwanza kuchutama !!!

kabila la Wasukuma ni Wazalendo number 1 TZ unachokifanya akipendezi kwa jamiii yote Wakiwemo Wasukuma wenzio !!!

umewai kutengeneza ugomvi na wengi lkn Sasa umekosea kutengeneza ugomvi na RAIS SAMIA

tunakuombe kachutame alaka !!

Kaka Pascal alikusiii kabla ya mambo kuwa ivi yalivo !!!

Namm nakusii fanya Alaka kwenda kuchutama mambo yako yasidhidi kuzama mtoni ,,,
 
Ushauri mzuri sana huu
 
Back
Top Bottom