Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

Sasa kama aliomba uwaziri mkamnyika,kosa lake ni kunyimwa na kuhoji utekaji, Labda alitaka akiwa waziri atoe Amri ya kusitisha utekaji!

..isijekuwa aliomba ateuliwe Naibu Waziri Mambo ya Ndani, au Ulinzi, ili akapambane na genge la watekaji.

..sioni kosa lolote kwa mwanasiasa kuomba cheo, au kuomba kero fulani katika jamii ikomeshwe.
 
Alimnyima unaibu waziri Kwa sababu aliogopa kufunikwa na mzalendo gwajima.Maana anajua uwezo wa gwajima Huwa amenyooka ndiyo maana kamwambia bila kupeoesa macho aache kuua watanzania na angejisikiaje kama abduli wake angetolewa macho?
 
Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!

Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!

Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!

View attachment 3355699
Hizo pumba sio za kutupostia humu. Cha msingi ni hoja zake zijibiwe, hayo mengine hayana uzito wowote na ni ya kawaida sana kwenye siasa
 
Heee!
Screenshot_20250603-205437.jpg
 
Watanzania tunataka majibu ya hoja za watu kupotea sio ngonjera.

Mdude kachukuliwa usiku nyumbani kwake polisi hawana majibu japo wamepewa majina ya askari ambao waliokuwa wanaulizia anaishi wapi.

Kwa Sasa ‘character assassination’ ya Gwajima ni serikali na CCM kujitekenya wenyewe. Wananchi tumechoka hii tabia ya kutekana.
 
Tuachane na hayo yoooote, tuongelee hoja ya utekaji.

  1. Je watu wanatekwa au hawatekwi ?
  2. Ushauri alioutoa Gwajima wa kuhusu mfumo wa uteuzi na utenguzi wa wakuu wa vyombo vya usalama una mashiko au la ?
 
..Gwajima aliomba Unaibu Waziri, Raisi akamyima.

..sasa Gwajima anamuomba Raisi akomeshe utekaji.

..sioni tatizo lolote kwa aliyofanya Gwajima.
Uwaziri siku hizi unaombwa?
 
Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!

Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!

Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!

View attachment 3355699
You are full of anger my friend. Mpaka umeshapoteza control ya ubongo wako. Ni ule uzinduzi wa CHAUMMA kule Mwanza limeongeza chumvi kwenye kidonda nini?
 
Back
Top Bottom