Mai-Ndombe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 542
- 837
Zezeta lakini ana more balls than you fukara uliekaa juani..anamiliki ministry na utajiri wa kutosha..wewe bil shaka haumiliki chochote zaidi ya kinena.Zezeta apewe nafasi hiyo?
Sasa kama aliomba uwaziri mkamnyika,kosa lake ni kunyimwa na kuhoji utekaji, Labda alitaka akiwa waziri atoe Amri ya kusitisha utekaji!
Wanakuja na cheap politics ...Wana HOFU kuu kua ana plan nini huko aliko je anaweza Sasa ku expose uharamia wa watu huko serikalini ama vipi...Hoja ya GWAJIMA hakuna awezaye kuijibu
Sisi tukipost vitu hivi unatuita hatuna akili. Ila sisi tumeona ulichopost Acha tukae kimya.Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Hizo pumba sio za kutupostia humu. Cha msingi ni hoja zake zijibiwe, hayo mengine hayana uzito wowote na ni ya kawaida sana kwenye siasaAisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Unakalia kigogo au?
Badala ya kujibu hoja zake, mmbeki kumshambuliaAisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Kumbe CCM Kuna mazezeta?Zezeta apewe nafasi hiyo?
Huyu ni Muongo sana kada wa ccm unamwaminije?Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Uwaziri siku hizi unaombwa?..Gwajima aliomba Unaibu Waziri, Raisi akamyima.
..sasa Gwajima anamuomba Raisi akomeshe utekaji.
..sioni tatizo lolote kwa aliyofanya Gwajima.
You are full of anger my friend. Mpaka umeshapoteza control ya ubongo wako. Ni ule uzinduzi wa CHAUMMA kule Mwanza limeongeza chumvi kwenye kidonda nini?Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699