Hivi Polepole alisema hii ni fitina ya ngapi ktk zile fitina zetu wana CCM? Yaani wanakuzushia ZENGWE hahahahaAisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Mkuu,
Unashauri chadema tukichukua nchi tuuendeleze huo utamaduni?
CCM ni jangaAisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Gwajima ni muhuni na tapeli wa muda mrefu!! Alichofanya alikua anajaribu kumtisha Samia amuite mezani ampe chochote!! Shwaini sana Yule jamaa.
Hivi na akili zako unaweza tekwa au vutiwa na uhuni wa Gwajima? Seriously? Nakumbuka vyema hata kipindi Nipo CCM tukiwa na JK kwenye kikao fulani jamaa aliitwa kupoeahwa!! Akaja Magufuli akapoeshwa akanyamaza!! Alifikiri kwa Samia angepoeshwa Ndo maana akaanza Kiki za kishenzi!!Sisi tukipost vitu hivi unatuita hatuna akili. Ila sisi tumeona ulichopost Acha tukae kimya.
Dhamana haiombwi wewe!Inawezekana Gwajima aliomba unaibu waziri, wala si ajabu, ikiwa alijua anaweza kuwa mchango mzuri kwa serikali.
Lakini kama alifanya hili in confidence, basi kuna mtu mwenye uraibu wa pombe kali alienda kuliropoka kwa watu wengine katika hali yake ya ulevi huko kwao Zanzibar, maana tunalisikia hili toka Zanzibar.
Jibu wewe itapendeza!! Gwajima ni tapeli tu!
Hiki chama kimebeba Mashoga na Malaya. Ndo wanakuwa viongozi pia wanaanza kukitembea kipapiro ndani na nje ya nchi. Hawa mashoga wanagawa kifinyio ndo unaona hata uwezo wa kujenga hoja hawana. Huyu alinyimwa pesa na Gwajima.CCM ni janga
Ghwajima alikua chadema enzi za JPM,,ulipofika mwaka wa uchaguzi ajawa machachari Sana kuchokonoa serikali ya JPM,sijui akajikoki wapi wakaweka ndani😂,wakahangaishana akatoka,,then ikafuuata video yake ya x kuvunja,akaikana,,baada wakaongea kisukuma na jiwe,wakaelewana,akahamia ccm na kugombea ubunge,,akapata ubunge wa kawe,akawa mpole kwerikweri,,nadhani aliahidia cheo kikubwa😂.Hoja ya GWAJIMA hakuna awezaye kuijibu
. Mkuu kama unaweza kuongea/kuteta jambo na Rais, mkiwa wawili ofisini kwake halafu ukakutana nalo njiani huja fika nyumbani basi kuna shiiida!!! Tena shida kubwa!!Inawezekana Gwajima aliomba unaibu waziri, wala si ajabu, ikiwa alijua anaweza kuwa mchango mzuri kwa serikali.
Lakini kama alifanya hili in confidence, basi kuna mtu mwenye uraibu wa pombe kali alienda kuliropoka kwa watu wengine katika hali yake ya ulevi huko kwao Zanzibar, maana tunalisikia hili toka Zanzibar.
Mkuu pamoja na rundo la maneno yako mengi, je alichohoji kuhusu utekaji sio kweli???Ghwajima alikua chadema enzi za JPM,,ulipofika mwaka wa uchaguzi ajawa machachari Sana kuchokonoa serikali ya JPM,sijui akajikoki wapi wakaweka ndani😂,wakahangaishana akatoka,,then ikafuuata video yake ya x kuvunja,akaikana,,baada wakaongea kisukuma na jiwe,wakaelewana,akahamia ccm na kugombea ubunge,,akapata ubunge wa kawe,akawa mpole kwerikweri,,nadhani aliahidia cheo kikubwa😂.
Jiwe akafariki,akaongia ssh,,
Sasa uchaguzi huu maachale yakamcheza mbona Kama mdee anaelekea kumpokonya cheo Cha ubunge?.
Akapiga mahesabu akaona,mgombea wa urais chadema Yuko lokapu,,akaona akichanga karata vizuri chadema watamfanya yeye awe mgombea wa urais😅
Kilichofuata ndo hicho tulichokishuhudia,,yeye alikua Ili chadema wampokee,lazima aanze kumtukana mamlaka na kuchochea vurugu
Taifa hili limejaa maponjoro wengi sana. Ni kwa nini hawajibu hoja za Gwajima.Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!!
Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!!
Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
View attachment 3355699
Kwahiyo hapa umeshajibu tayari?Ghwajima alikua chadema enzi za JPM,,ulipofika mwaka wa uchaguzi ajawa machachari Sana kuchokonoa serikali ya JPM,sijui akajikoki wapi wakaweka ndani😂,wakahangaishana akatoka,,then ikafuuata video yake ya x kuvunja,akaikana,,baada wakaongea kisukuma na jiwe,wakaelewana,akahamia ccm na kugombea ubunge,,akapata ubunge wa kawe,akawa mpole kwerikweri,,nadhani aliahidia cheo kikubwa😂.