GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ushauri mzuri sana ila maccm yatashupaza shingo, ila kwa akili zao bora yalipeleke taifa kwenye machafuko kuliko kuupokea ushairi huu.

Ila sasa yakiukubali ushauri huu kwishnei, siku ya uchaguzi saa sita mchana tu taifa litakuwa huru kwa furaha, vifijo na nderemo.
 
nimependa aliposema hahami, anataka kufanya mashambulizi kutokea ndani. shetani lazima ashindwe maka huu.
Sio kwamba anajua kuwa nje ya mfumo mdo unaingia kwenye hatari ya kupotea?😁👀
 
Mwamba kumbe ile speech ni recorded from Mafichoni. The Chanzo walikua wanaonesha wakakatisha! Iliyoonesha hadi mwisho ni akaunti yake pale youtube pekee
 
Mwamba kumbe ile speech ni recorded from Mafichoni. The Chanzo walikua wanaonesha wakakatisha! Iliyoonesha hadi mwisho ni akaunti yake pale youtube pekee
Lazima atumie akili, ulitaka aende kama nyumbu?
 
Wasiojulikana huu ndiyo wakati mzuri wa kumdaka gwajiboy sasa. Maana anaeneza uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…