Ni upepo tu huu unapita..Tuliyataka wenyewr kwa mihemuko yetu. Hivi kama kichaa Lisu tungemuacha aropoke tu halafu Gwajiboy tungemjibu kwa kumfukuza kwenye nafasi ya IGP na Waziri wa mambo ya ndani tukala kichwa na kuanzisha uchunguzi haya mambo yangekuwepo???????????
Naam kasema ni namba moja kisiasa lakini kltukija kiuhalisia namba moja ni mwanajeshiNdiyo kasema hivyo?
Sio mbaya unamsaidia kwenye mitikasi yakeAskofu Josephat Gwajima ana doctorate ya Divinity/Theology ya kuingia na kusoma darasani kabisa...
Udaktari wa Theology ni rahisi mno, hauna complications kama doctorate
I rest my caseAskofu wa RC ni mteule wa Papa na Papa anaongoza Serikali yake. Sasa mtumishi wa Serikali ya Papa anawezaje kutaka kuwa kwenye Serikali ya Tanzania?
Kwahiyo Gwajima alinunua jimbo la CHADEMAJimbo aliuza
Tulia kilaza weweHuyo Askofu wa mchongo atulie tu, ata wakimpitisha kawe tutachagua tofali
Siyo mzalendo kabisa.Rais siyo mzalendo namba moja.
MitandaoSijui watafunga kipi kwasasa
Pale Lissu kule Mpina safu inakamikika TartiiibuKule Polepole huku Gwajima mtu kati