Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Wewe unataka kupotosha. Raisi Samia katukanwa vip hapa sasa?jaribu kumjibu mtu kwa hoja siyo tafisiri has kwa kitu chanya.Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Ukiangalia wewe ni mtu wa 6 au 7 kuchangia,na juu yako hakuna mahali Rais ametukanwa. So kama mwanaCCM siwezi kumtetea kwa kisingizio kuwa mwanaCCM na mwenyekiti anatukanwa.Unakuja na ujinga wako eti ooh mimi ni ccm,kwahiyo!
Gwajima anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinadhamu A.S.A.P .... Hawa sio wakuvumiliwa wakati huu kabisa . Watu tunapoteza ndugu zetu kila siku yeye anafanya utani aiseee....Mpumbavu mwili mzima .
Wengi ni stress tu mkuu.Wewe unataka kupotosha. Raisi Samia katukanwa vip hapa sasa?jaribu kumjibu mtu kwa hoja siyo tafisiri has kwa kitu chanya.
Ningekuelewa zaidi Kama unge hoji kwa swali kwamba hao baadhi ya vipngoz ni wapi? Gwajima toa ushahidi n.k.
Lakin mtu kasema baadhi ya viongozi, .... Wewe tayari umeona raisi katukanwa waz waz!!!
Raisi Samia ni Kiongozi aliyesoma uongoz vizuri. Kiongozi yeyote anayejielewa, hawezi kuwa na watu wote wanao sema ndio ndio ndio mwalim. Kiongozi mzur anajua kila Jambo lazma liwe na watu wa mitazamo tofauti.
Usifikiri raisi ana mtazamo wa kila kitu kuwaza negative Kama wewe. Nadhan mm na wewe tuungane kwa kumwambia Gwajima tunaomba ushahidi wa hao viongoz kuchanjwa feki
Hii ni Kama hatuna watu wenye mawazo chanya tu jaman. Yaan kila kitu mtu anawaza raisi katukanwa!!hii nchi ni kama hatuna amir jesh mkuu tuna sanamu tu
dharau zimezidi sasa
Watanzania tunashida kubwa sana, badala ya kufanya vitu vyenye manufaa eti tupo hapa tunamjadili Gwajima.
Ahahahahahahaha kwahiyo Rais anamuogopa Askofu?Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
kashifa ipi we pimbiKitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Nadhani stress anazo yule askofu uchwara kwani tokea afe yule aliyekuwa akimuona kama mungu mtu amebaki kuropoka tu,hasira na chuki ndio zimemjaa.
Chongolo mla kondoo yule hana lolote! Alikapiga kademu kamoja ka itifaki pale Ofisni kwake aisee! Dah kale katoto kanasoma hapo chuo cha Diplomasia.. Kana mwilimwili hivi na macho mazuri! AhahaDharau ya wazi kabisa kwa Mwenyekiti wa maccm na maccm wanamuhofia Gwajiboy hakuna wakumgusa. Yule chongo looo alidai wako kwenye mchakato wa kuwashughulikia wanaosema hovyo hovyo Gwajiboy na Polepole lakini hakuna mchakato wala bibi yake mchakato πππ
Pimbi keshaoza chato huko.kashifa ipi we pimbi
Hicho chuma cha kijerumani kilishindwa kumchomoa Lissu balozi ya mabeberu!Akasindikizwa mpaka airport kupanda ndege huku Chuma kikimfuata kwa nyuma kama fisi anayesubiri mkono wa mtu udondoke!Na kimiss sana kile Chuma cha 'Mjeremani' kilikuwa hatar jiddah!
Mabalozi leo hii wanaenda Mahakamani kisutu, Amnest International inaipa maelekezo Serikali huru?
Kweli Tulipoteza Hariri March, 17
Tuliza makalio mimi sijamtaja huyo mbowe wako,bwege we.
Mashehe wa uamusho wa kesi ya ugaidi ambao Marais wawili waliotoka waliona halali wabaki mahabusu mbona huoni Hilo kuwa wamependelewa?Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Mawazo kama haya ni zao la kuzoea kukandamizwa na kuzuiwa haki ya kuongea kwa muda mrefu.Gwajima anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinadhamu A.S.A.P .... Hawa sio wakuvumiliwa wakati huu kabisa . Watu tunapoteza ndugu zetu kila siku yeye anafanya utani aiseee....Mpumbavu mwili mzima .
Hakuna pepo mnapigwa na kina Kibwetere.Afu utoke hapa uende kuswali! Una pepo mkuu!
Sasa yale matusi ulitukana ya jini? Ulishindwa kutumia busara wewe unayejiita Muislam-peace?Hakuna pepo mnapigwa na kina Kibwetere.