#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

Wengi tunachangia Mada kwa kukurupuka bila kuangalia /kuona yaliyosemwa Bishop Gwajima.
Binafsi nimefuatulia mwanzo mwisho kupitia Utube hakuna mahala penye kosa au utovu wa nidhani kwa Bishop zaidi ya maombi kuondoa hofu, kuombea viongozi wote, Wananchi wote nchi nzima, kusisitiza baadhi ya vitu kwa mifano na mwisho kuwataka waumini wake kumtolea Bwana sadaka.
Tuwe wakweli alichosema zaidi ni msisitizo wake kuwa hotochanja/njwa na namna yeyote ile ni arudi Nyumbani kuliko kuchanjwa.
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Wewe unataka kupotosha. Raisi Samia katukanwa vip hapa sasa?jaribu kumjibu mtu kwa hoja siyo tafisiri has kwa kitu chanya.

Ningekuelewa zaidi Kama unge hoji kwa swali kwamba hao baadhi ya vipngoz ni wapi? Gwajima toa ushahidi n.k.

Lakin mtu kasema baadhi ya viongozi, .... Wewe tayari umeona raisi katukanwa waz waz!!!

Raisi Samia ni Kiongozi aliyesoma uongoz vizuri. Kiongozi yeyote anayejielewa, hawezi kuwa na watu wote wanao sema ndio ndio ndio mwalim. Kiongozi mzur anajua kila Jambo lazma liwe na watu wa mitazamo tofauti.

Usifikiri raisi ana mtazamo wa kila kitu kuwaza negative Kama wewe. Nadhan mm na wewe tuungane kwa kumwambia Gwajima tunaomba ushahidi wa hao viongoz kuchanjwa feki
 
Unakuja na ujinga wako eti ooh mimi ni ccm,kwahiyo!
Ukiangalia wewe ni mtu wa 6 au 7 kuchangia,na juu yako hakuna mahali Rais ametukanwa. So kama mwanaCCM siwezi kumtetea kwa kisingizio kuwa mwanaCCM na mwenyekiti anatukanwa.
Ndo maana nimekuuliza,wapi Rais katukanwa kwenye wachangiaji wote 5 walioko juu yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinadhamu A.S.A.P .... Hawa sio wakuvumiliwa wakati huu kabisa . Watu tunapoteza ndugu zetu kila siku yeye anafanya utani aiseee....Mpumbavu mwili mzima .

Ndugu zako wote umewapoteza na covid[emoji3][emoji28][emoji1787] khaa watu wanakufa kila kukicha tena wengi na magonjwa tofauti tofauti leo ukalalamike ndugu zako kufa na covid !
 
Kuna teknoloji inaitwa CRISPR inahusika na mambo ya gene editing nimesikiliza mahali kwenye U-tube, who knows inaweza kutumika kwa binadamu kwenye maswala ya genetic modification of behavior au ikatumika tu kwenye mambo ya matibabu (gene therapy) kutibu baadhi ya magonjwa, mfano magonjwa ya kurithi........all in all CRISPR technology may lead to a new human evolution and probably revolutionize the entire field of medicine....
 
Wewe unataka kupotosha. Raisi Samia katukanwa vip hapa sasa?jaribu kumjibu mtu kwa hoja siyo tafisiri has kwa kitu chanya.

Ningekuelewa zaidi Kama unge hoji kwa swali kwamba hao baadhi ya vipngoz ni wapi? Gwajima toa ushahidi n.k.

Lakin mtu kasema baadhi ya viongozi, .... Wewe tayari umeona raisi katukanwa waz waz!!!

Raisi Samia ni Kiongozi aliyesoma uongoz vizuri. Kiongozi yeyote anayejielewa, hawezi kuwa na watu wote wanao sema ndio ndio ndio mwalim. Kiongozi mzur anajua kila Jambo lazma liwe na watu wa mitazamo tofauti.

Usifikiri raisi ana mtazamo wa kila kitu kuwaza negative Kama wewe. Nadhan mm na wewe tuungane kwa kumwambia Gwajima tunaomba ushahidi wa hao viongoz kuchanjwa feki
Wengi ni stress tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Ahahahahahahaha kwahiyo Rais anamuogopa Askofu?

Mbona yuleeee alichunguzwa na Magu juu ya uraia wake? Namaanisha askofu wa Ngara kama sjakosea!!

Waislam sisi ndo huwa tunawaogopa hawa Maaskofu tena Kikwete Muislam mwenzetu aliwafunga Mashekh na kuwafungulia kesi ya Ugaidi-period!!

Magu alikuwa hawaogopi kabisa maaskofu hawa nakumbuka siku Gwajiboy amepiga pambio pale kituo kikuu cha Kati aisee alipewa onyo kali hakurudia tena ahahahah!

Sema inaonekana mama ashaonwa mweupe peee ndomaana Ka Gwajiboy hakamuogopi katu!
 
Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
kashifa ipi we pimbi
 
Acha kulalamika sana lakini! Bado Waislam tuna mentality ya kuonewa? Huyu Rais wa tatu muislam sa ndonini tunalalama?

Tusiwaze kidini ndomaana wenzetu wanaonekana wako smart sisi shagalabagala tushikapo nchi!
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
 
Dharau ya wazi kabisa kwa Mwenyekiti wa maccm na maccm wanamuhofia Gwajiboy hakuna wakumgusa. Yule chongo looo alidai wako kwenye mchakato wa kuwashughulikia wanaosema hovyo hovyo Gwajiboy na Polepole lakini hakuna mchakato wala bibi yake mchakato 😂😂😂
Chongolo mla kondoo yule hana lolote! Alikapiga kademu kamoja ka itifaki pale Ofisni kwake aisee! Dah kale katoto kanasoma hapo chuo cha Diplomasia.. Kana mwilimwili hivi na macho mazuri! Ahaha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na kimiss sana kile Chuma cha 'Mjeremani' kilikuwa hatar jiddah!

Mabalozi leo hii wanaenda Mahakamani kisutu, Amnest International inaipa maelekezo Serikali huru?

Kweli Tulipoteza Hariri March, 17
Hicho chuma cha kijerumani kilishindwa kumchomoa Lissu balozi ya mabeberu!Akasindikizwa mpaka airport kupanda ndege huku Chuma kikimfuata kwa nyuma kama fisi anayesubiri mkono wa mtu udondoke!
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Mashehe wa uamusho wa kesi ya ugaidi ambao Marais wawili waliotoka waliona halali wabaki mahabusu mbona huoni Hilo kuwa wamependelewa?

Gwajima katukana wapi?
Je. Afisa elimu aliyesimamishwa kazi haku fake?
 
Gwajima anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinadhamu A.S.A.P .... Hawa sio wakuvumiliwa wakati huu kabisa . Watu tunapoteza ndugu zetu kila siku yeye anafanya utani aiseee....Mpumbavu mwili mzima .
Mawazo kama haya ni zao la kuzoea kukandamizwa na kuzuiwa haki ya kuongea kwa muda mrefu.

Gwajima ana haki ya kuongea (sio kulazimisha) anachokiamini kama ambavyo serikali inaongea wanachokiamini.
Wewe kama hukubaliani naye sio sababu ya kutaka akamatwe...nenda zako ukachanjwe, hujanyimwa.
 
Back
Top Bottom