Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Wengi tunachangia Mada kwa kukurupuka bila kuangalia /kuona yaliyosemwa Bishop Gwajima.
Binafsi nimefuatulia mwanzo mwisho kupitia Utube hakuna mahala penye kosa au utovu wa nidhani kwa Bishop zaidi ya maombi kuondoa hofu, kuombea viongozi wote, Wananchi wote nchi nzima, kusisitiza baadhi ya vitu kwa mifano na mwisho kuwataka waumini wake kumtolea Bwana sadaka.
Tuwe wakweli alichosema zaidi ni msisitizo wake kuwa hotochanja/njwa na namna yeyote ile ni arudi Nyumbani kuliko kuchanjwa.