#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

Nchi gani imelazimisha chanjo zake zinunuliwe? Mbona Russia na China wametengeneza za kwao na WHO imewapa endorsement?

Okay unasema vifo laki 5 kwa miaka 70 ni halali ila vifo 50 kati ya watu million zaidi ya 30 waliochanjwa kwa Astra Zeneca ndio sample nzuri ya kudiscredit chanjo?

Kingine chanjo sio tiba na hapa ndio mnakosea.... Chanjo ni kama condom tu inazuia maambukizi ila yakipenya haiwezi kukuokoa tena!! Hata ARVs kuna watu wanatumia na bado wanakufa kwa maradhi ya VVU so its not a big deal to be honest
Samahani ndugu lakini ARV ni BIG DEAL kabisa! Angalia namba. Nisamehe nikiwa na umri mkubwa, siku za miaka ya 1990 walikufa kama inzi kutokana na UKIMWI!. Watoto yatima tele... Uliza wachungaji au mashehe waliokuwa na kazi ya kuzika siku zile!
Vilevile CHANJO si tiba, kweli, Ila ukiwa na chanjo huhitaji tiba. Nahisi umepata chanjo ya sijui mafua kikuu, magonjwa yale yanayopigwa chanjo nchini. Je umeshawahi kuhitaji tiba????
Basi tutumie mantiki ya wastani.
Tafadhali!
 
Acheni ujinga wajameni chanjo ni muhimu sana,
Hizi siasa tupa kule
Chanjo ni muhimu na kama hamutaki ije kama serikali basi muruhusu private walete
Ili wanaohitaji wachanje
Sio kila mtu muoga
 
Sichanjwi na familia yangu haitachanjwa na nna kushauri usichanjwe kwasababu ya sababu sensible Kama hizi na nyingine nyingi
1.the manufacturing time less than a year hii ni jokes kabisa na Ni crime against humanity with no any sensible and serious trials kujua UFANISI wake matokeo yake sisi ndiyo tuwe testing kits or guinea pigs
2.hakuna Wala haijawekwa wazi long time effects za hizo vaccines after 5-20 to 30 years to come na vizazi vijavyo no one knows tumeona tu short time effects ambazo kila mtu Ni shahidi kuganda damu au kufa nanyinginezo
3.ukipata chanjo still unaweza UKAPATA covid hivyo itakubidi uvae barakoa Kama kawaida observe social distance n.k
4.zimekaa kibiashara Zaidi Kama lengo kuu badala yakusaidia na kuokoa afya za watu.
5.Denials around the world from scientist themselves wanasayansi duniani kote kwaidad kubwa wanapinga.nasababu nyingine nyingi
Sitachanjwa
6.Mutations,,,,hii kirusi inasemekana in mutations nyingi Sana Mara TANZANIa Mara India sijui south Africa kwahyo hata ukichanjwa inaweza isi fit baadh ya mutations Alafu unaambiwa ukichanjwa Mara moja haujaliza itakubidi baada ya muda uchanjwe Tena so guys I am not scientist lakini At least I can reason hear see what is going on.
 
Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Na si kila kitokacho Ulaya hakifai. Hivi kwani hauna wataalam wetu? Hawa ma-Prof na wenye ma Phd ni nini, siyo wataalam? Hao tunao ambjwa ni wabobezi siyo wataalamu?
 
Nilisema Jana haya mabarakoa wanayovaa kuna kitu kama si kukopa mkopo wa covid bhasi chanjo huyu mama huyu bhasi tu
Mama hana imani, alikuwa anaigiza tu wakati wa mwendazake. Bado Mungu anaweza kila kitu, hata uoge sanitizer, uvae mabarakoa 1000 hakuna anayeweza kuidhibiti covid. Ni Mungu pekee.
 
Msubiri ya Kagame labda itasaidia maana wanasema wanatengeneza nao
Huku tumechanja ya pili ila wanasema hizi virus mpya huenda chanjo ikawa haina nguvu

Huenda tukarungwa ya tatu
Bora msubiri itakayo kinga zote au kuacha kabisa the choice is yours
 
Watu mnamsifia Ngwaji mbona kaboronga tu.Wabongo inabidi mjifunze kufuatilia mambo nyie wenyewe 'most of you are too lazy to learn' toeni uvivu wasikilizeni wataalamu walosomea haya mambo ndipo mjue ukweli upi na uongo upi.
- Hakuna chanjo ya covid 19 inayobadili DNA,scientifically impossible.
-Amesema Astrazenical side effects yake ya kwanza ni blood clot & death, upuuzi! Blood clot ni rare sasa yeye sijui kapata wapi maelezo yake.nenda website ys NHS uk ndio wana jukumu la kutoa chanjo jisomee mwenyewe.
Uk zaid ya watu million 42 wamepata chanjo,hii ni karibu ya nusu ya watu wote nchini na bado wanaendelea kutoa chanjo mpaka wote wapate.nchi zote ulimwenguni zimewapa wananchi wake chanjo lakini wabongo mnafikiri mnawindwa nyie.Wakati nyie mnajadiri ubaya wa chanjo wao wanajitayarisha kurudisha maisha kama zamani,msipotumia akili vizuri "corona will be a desease of the poor".
 
Kwanini kila siku kutolea makosa Vaccine za nchi zingine?
Kwanini mtu kama una wasiwasi usitengeneze Vaccine yako? Iran katengeneza Vaccine yake,Russia pia katengeneza Vaccine yake,hiyo ndio solution kama huamini vya wenzako.
 
Kwanini kila siku kutolea makosa Vaccine za nchi zingine?
Kwanini mtu kama una wasiwasi usitengeneze Vaccine yako? Iran katengeneza Vaccine yake,Russia pia katengeneza Vaccine yake,hiyo ndio solution kama huamini vya wenzako.
Muasilishaji mwenyewe Kilaza wa Tiba na Chanjo. Taaluuma siyo yake anadandia Kazi za watu ili aambiwe anajua kuwasilisha. Eti RNA, DNA, MrA na Genes🤣🤣🤣Amfifiro
 
Hivi huyu mbulula anasoma conspiracy theories anapeleka Bungeni. Hakuna kanuni inayozuia kuongea mambo yasiyo ya kiutafuti bungeni? Hivi hizi akili kumbe huwa ni za Kisukuma maana Hayati nae yalikuwa mawazo yake

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Huyu Kwa kulisha Watz Matango pori hajambo. Hivi anaijua CDC na FDA au anaropoka tuu kama Ufufuo na Uzima?
 
Hahahah, Hilo jamaa mi nalionaga kama taahira, mtu katoa hoja, yeye anamquote mtaalam alisema nini sijui, sasa sijui inahusiana nini, hahaha 😂😂😂

Chekaji ya kibwabwa hii typical ya ki Mr delicious delicious. Fani yako hiyo unaimudu kweri kweri.
 
Kwanza tukubaliane homa ya manjano pia chanjo yake ina side effects nyingi na nimekueleza kwa takwimu za WHO watu zaidi ya laki 5 wamekufa kwa chanjo-related cases!! Kwahyo nachohoji kwanini hampigi marufuku na ile? Au ni double standard

2. China wametengeneza chanjo yao na juzi tu hapa WHO wameipa endorsement kuwa ipo effective. Kwanini sisi hatutengenezi yetu tumekalia kulaumu wazungu na chanjo zao? Mbona Russia au China hawalii lii juu ya mabeberu conceding chanjo?

3. Side effects zipo kwa dawa na cjanjo zote duniani hakuna dawa hata moja haina side effects kutokana na variation kwa hali za miili ya watu. So sio chanjo ya covid tu ndio yenye madhara..... Ndio maana nimetoa mfano wa Radiotherapy pale ocean road ile tiba ukiitumia inakumaliza kabisa baadhi ya viungo lakini haipigwi marufuku coz hakuna namna nyingine ila humu huwezi sikia mkijadili mnaaminishwa ni chanjo tu yenye side effects ila ARVs cjui Yellow fever vaccine na Radiotherapy aaah ni sawa tu!!
You're very smart upstairs ! That's all i can say ! Wachana na hao wajinga wanatumia BCG ,Rubella Vaccine,Polio Vaccine,TT na ARV huku wakijisahaulisha madhara yaletwayo na Anticancers na hizo Radiopharmaceuticals
 
Back
Top Bottom