Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Haiwezekani kumchagua mtu ambaye hawezi kushirikiana na serikali ktk kupanga na kutekeleza kwa pamoja mipango ya serikali ktk kuondoa kero, changamoto, matatizo n.k yanayowakabili wananchi wa Kawe na hatimae kuleta maendeleo jimboni.

Tatizo siyo kwamba ni mpinzani tatizo ni yeye mwenyewe hulka yake ilivyo.

Gwajima hazuiliki
 
Kwa njaa uliyokuwa nayo acha kujidanganya mwenyew
 
Ataropoka yote mwaka huu, walimsomesha akiwa mdogo halafu alivyokuwa mkubwa akawageuka kwa kusema angekuwa na uwezo angebadilisha misikiti yote iwe Sunday School.
Anajichanganya
 
Mtu asiipungukie Neema ya Mungu ili shina la uchungu lisije chipuka na kutia wengi unajisi.
 
Wajuzi na wataalamu wa saikolojia naomba mtuambie kuhusu maana ya Josephat Gwajima mgombea ubunge Jimbo la kawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…