Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

Nimependa hicho ulichoandika, hoja yenye mfano.
 
Lenatus Nkwande anajielewa sana sio kama wale waliochukua hela za escrow kwenye sandarusi.
Chawa wa mama na ufipa watapita kimya kimya.
Chawa wa Mwendakuzimu mnahaha, na bado lile Hutu hukohuko kaburini litaendelea kuvuna lilichopanda.
 
Sawa
 
Shida ni CCM yenyewe! Haijawahi kutokea waziri ambaye ni active kumkebehi Rais aliyepita hadharani na hata haonywi! Chama hakina tena nguvu ya kuisimamia serikali.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mbona Jiwe mwenyewe alikuwa akiwaambia marais wastaafu kwamba wanawashwawashwa, acha aendelee kuvuna alichopanda huku Sukuma gang wakizidi kahangaika namna ya kuficha mauchafu yake aliyoyafanya.
 
Viongozi wengi wa dini ni corrupt!! Washanunuliwa na system na ushabiki!!!
Kila mtu na akili zake but hatutoretea roho za uhasama, ubaguzi ba kiburi kisichotaka maridhiano....
 
Chawa wa Mwendakuzimu mnahaha, na bado lile Hutu hukohuko kaburini litaendelea kuvuna lilichopanda.
Hakuna chawa anaye kaa kwa mfu kama hujui, chawa wanakaa kwa watu walio hai kwa sababu wana kitu cha kubenefit.
Mimi silipwi kuongea hichi ninachoongea wala sifaidiki na chochote material zaidi ya kujaribu kutoa maoni yangu kwa kile ninacho kifikiria na kukiamini.
 
Wanyonge wangapi wanaweza kupanda SRG na ndege na wangapi wanaumeme na maji masafi ndani ??Hili kanisa limejisahau kuwa hao wanyonge ndio wanatoa sadaka .Bila kuwahadaa wanyonge kama Magufuli wasinge pata pesa ya kuchezea
 
Nitaungana na Askofu kwa haya aliyoeleza hapa bila ya kinyongo chochote, kama kuna kumbukumbu zozote katika mahubiri yake wakati wa uhai wa Magufuli kuhusu wanyonge au wengine wote waliokuwa si wanyonge lakini wakaguswa na aliyoyafanya Magufuli katika kazi zake angali hai.
 
Huyo askofu ana maoni gani kuhusu:
-Kupotea kwa Ben Saanane.
-Kupotea kwa Azory Gwanda.
-Kushambuliwa kwa Tundu Antipas Lissu.
-Kuporwa kwa maduka ya kubadili fedha huko Arusha.
-Kauli chafu za Jiwe kwamba hajaleta tetemeko.
-Fedha za plea bargain zilizohufadhiwa China.

Je hayo hayana maana kwake?
 
Askofu ndio alisema zimehifadhiwa china!?
Nyie vichaa fedha za plea bargain zilizohifadhiwa china muulizeni aliyewaambia na ile report ya pale BOT.
Askofu anaongelea fact sio vitu vya kusadikika bila ushahidi.
Sgr, mv hapa kazi tu, kupungua kwa rushwa, uwajibikaji, kuingia middle economy hayo mengine muulzeni mama yenu na DJ
 
Team ya fisadi la msoga inabidi iongeze vibarua/vijana wa kumtukana Rais JPM mitandaoni maana soon nguvu ya wananchi inaenda kuwameza hawa wapuuzi wachache waliyopewa hiyo kazi
 
Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Naona yeye anamuwaza Marehemu tu, itakuwa alifaidika kwenye utawala wake.


 
Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Heshimu viongozi wa dini hata kama wewe ni dini nyingine
 
Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
yuko sahihi kabisa hatuwezi kufikirishwa na watu wachache humu ndani kwa maslahi yao tuyaunge mambo yao.tunajua hakuna aliyemkamilifu hata hao wanaotukana si wakamilifu pia hivyo hakuna sababu ya kutukana watu ambao hatunao kwa sasa lkn wakati wako hai hao watukanaji hatukuwaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…