Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

Tunasoma Neno lake na kujua nini Mungu anataka. Mungu anakataza ushoga ambao huyo askofu wenu mwamakula ni wakala, ndio maana hata Sodoma na Goroma aliwateketeza, kwasababu ya ufirauni anaouwakilisha huyo kimbaumbau.
 
Dua maalum ya kumuombea mlevi mzinzi na mkwapuaji mkubwa wa pesa za taasisi.
 
Badala ya kuomba Mungu atuokoe na janga la Corona unataka tumuombee Mbowe? Acha mahakama itaamua,maana hao nao ni watumishi wa Mungu.
Maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu.
Mamlaka ya Nduli, inaweza kutoka kwa Mungu wa kweli?
 
Sasa wewe sema anamuomba Mungu!! Kama maombi yake mwaka jana yalijibiwa unafikiri saivi hayatajibiwa???
 
Kama ni kweli kwamba hasikilizwi na Mungu, basi sawa! Bali ikiwa Mungu aliye hai humsikikiza huyo bishop, na upigwe na corona, ufe umfuate Baba ako, huku umalaikani, au motoni, kufa hata leo!
 
Aisee..!!! Hongera kwa aina hii ya busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…