Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Tunasoma Neno lake na kujua nini Mungu anataka. Mungu anakataza ushoga ambao huyo askofu wenu mwamakula ni wakala, ndio maana hata Sodoma na Goroma aliwateketeza, kwasababu ya ufirauni anaouwakilisha huyo kimbaumbau.We
We unajua mungu anataka nini! Umeenda kuongea na mungu au unamjua. Kama mungu mungu mwenyewe anataka ndoa za mashoga we utajuaje. Tumuache mungu fikra za binadamu siyo za mungu.wengi tunafanya speculations tu hakuna mwenye uhakika na anavyovisali