Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Kama wakati wa Magufuli waliufyata basi Waendelee kuufyata wamuache Mama afanye anavyojua. Akiwahitaji Kwa ushauri atawauliza..
Vidomodomo na kiherehere cha kushauri. Wangefanya wakati wa Magufuli..kama wanajua Sana kushauri
... duh! Kibanga ulipoteaga kabisa humu JF!Uposahihi ndugu yangu.
Kifo Cha HerodeKifo sio kuchapwa, wala kifo sio adhabu toka kwa Mungu. Kifo ni ahadi
Jiulize wewe unakufa lini
Asante sana kwa video❤🙏Ni kweli tupu. Mpendwa msikilize pia huyu
Hao wanakiwa wakachukue Ile selo waliokuwa wamefungiwa Mashekhe wa UamshoOle Sabaaya/Makonda/Cyprian Musiba,
Tulizeni mizuka yenu, kesho mtarudi humu na matusi yenu,Nadhani ni wakati watanzania tunatakiwa kushikamana kuliko wakati wowote,way forward inahitaji commitment ya hali ya juu ya uongozi.
Ni wakati wa kuponyana majeraha na kusameheana hatimae tukubali kwenda pamoja kama taifa. Taifa la vipande vipande,bila kuleta umoja tutarudi nyuma mail 100 zaidi.
Ngoja tumsikilize rais baada ya kuapishwa,itatupa mwanga wa kule tuendako.
All the best mama Samia new president of Tanzania.
Simjui
Mlificha Ugonjwa wa Magufuli, mkamzushia Lowasa. Mungu kawaumbua.Mlipokua mnamtembeza Lowasa kwenye kampeni akuwa hawezi kusimama wala kuongea sawasawa mlifikiri ugonjwa wake ulikua unatibika? Au mara hii umeshasahau?
Mambo na mipango ya mungu mwachieni Mungu.
Magufuli kafanya aliyopangiwa na Mungu wake amemaliza na amemaliza kazi
Hakuna anayemtegemea mwanadamu, tunafuata maagizo ya MunguYeremia 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Uliona ukifichwa wapi huo ugonjwa? Nyie mlivyokosa huruma kumpandisha jukwaani Lowasa asiyeweza kutembea sawasawa kisa uchu wa madaraka iliwasaidia nini.Mlificha Ugonjwa wa Magufuli, mkamzushia Lowasa. Mungu kawaumbua.
Hilo liwe somo kwenu!
Barikiwa sana na sasa wanachadema ndipo wataona umuhimu wake. Nakupa mwezi mmoja tu.Asante sana kwa video❤🙏
Uliona ukifichwa wapi huo ugonjwa? Nyie mlivyokosa huruma kumpandisha jukwaani Lowasa asiyeweza kutembea sawasawa kisa uchu wa madaraka iliwasaidia nini.
Kifo sio kuumbuka, kifo ni ahadi. Na kila mtu ana siku yake
Hata mimi nitakufa na hata wewe unayefurahia wengine kufa utakufa vilevile
Wacha Samia Suluhu Hassan aendelee kuinyoosha nchi, tutaelewana tuuBarikiwa sana na sasa wanachadema ndipo wataona umuhimu wake. Nakupa mwezi mmoja tu.