Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

Ni kweli tupu. Mpendwa msikilize pia huyu
 

Attachments

  • IMG_3100.MP4
    20.6 MB
Hivi Lissu hizo kejeli na dharau anazotoa atarudi Tz kweli na kuishi salama? Magu ana watu wengi wanaompenda wapo tayari kufanya lolote kutetea heshima yake, Lissu ajichunge sana, binadamu wote tutakufa ila ajue tu na yeye anatafutwa kwenye 18 saivi.
 
Kifo sio kuchapwa, wala kifo sio adhabu toka kwa Mungu. Kifo ni ahadi
Jiulize wewe unakufa lini
Kifo Cha Herode
Matendo Ya Mitume 12: 20 - 24

Herode alikuwa amekasirishwa sana na watu wa Tiro na Sidoni. Watu wa miji hiyo miwili wakaungana pamoja wakapeleka wajumbe wakaonane na Herode. Wajumbe hao wakapata kibali cha Blasto, mtumishi mwaminifu wa Mfalme Herode, ili waonane na mfalme kutaka amani kwa kuwa miji hiyo ilipata chakula chake kutoka katika milki ya mfalme. 21 Siku ya hao wajumbe kumwona mfalme ilipofika, Herode alivaa mavazi rasmi ya kifalme akaketi juu ya kiti chake cha enzi akaanza kutoa hotuba. 22 Alipokuwa akihutubu watu walimshangilia, wakapiga kelele wakisema, “Hii ni sauti ya Mungu! Sio sauti ya mwanadamu!” 23 Mara malaika wa Bwana akampiga Herode; akaliwa na funza akafa kwa sababu hakumpa Mungu utukufu. 24 Lakini neno la Mungu liliendelea kuenea na waamini wakaongezeka sana.
 
... shida ya elders wa nchi hii ambao wote ni CCM always hawaitazami Tanzania badala yake chama chao kwanza! Hapo ndipo tatizo la msingi lilipo.
 
Nadhani ni wakati watanzania tunatakiwa kushikamana kuliko wakati wowote,way forward inahitaji commitment ya hali ya juu ya uongozi.
Ni wakati wa kuponyana majeraha na kusameheana hatimae tukubali kwenda pamoja kama taifa. Taifa la vipande vipande,bila kuleta umoja tutarudi nyuma mail 100 zaidi.
Ngoja tumsikilize rais baada ya kuapishwa,itatupa mwanga wa kule tuendako.
All the best mama Samia new president of Tanzania.
Tulizeni mizuka yenu, kesho mtarudi humu na matusi yenu,
Mnavyotaka ninyi sio kama inavyotakiwa kuongozwa serikali.
Najua haitapita muda mtaanza kutaka kuandamana na kutaka kumtoa madarakani .
 
Wewe ni mmoja kati ya hawa wanaotaka kurudi Misri. Tulishatoka kule haturudi nyuma

Kutoka 16
"2 Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung'unikia Musa na Haruni, huko barani;
3 wana wa Israeli wakawaambia, Laiti tungalikufa kwa mkono wa Bwana katika nchi ya Misri, hapo tulipoketi karibu na zile sufuria za nyama, tulipokula vyakula hata kushiba; kwani mmetutoa huko na kututia katika bara hii, ili kutuua kwa njaa kusanyiko hili lote."

Magufuli ameondoka Samia ataendelea kutuongoza, ni mbele kwa mbele
 
Yeremia 17:5

BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
 
Mama Samia kashasema sera yake ni kazi na Bata. oyaa!!!
No stress mioyo ipowe Tusije tukawekewa betrii na sisi oyaa!! Oyaa!!
 
Mlipokua mnamtembeza Lowasa kwenye kampeni akuwa hawezi kusimama wala kuongea sawasawa mlifikiri ugonjwa wake ulikua unatibika? Au mara hii umeshasahau?

Mambo na mipango ya mungu mwachieni Mungu.

Magufuli kafanya aliyopangiwa na Mungu wake amemaliza na amemaliza kazi
Mlificha Ugonjwa wa Magufuli, mkamzushia Lowasa. Mungu kawaumbua.

Hilo liwe somo kwenu!
 
Yeremia 17:5

BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Hakuna anayemtegemea mwanadamu, tunafuata maagizo ya Mungu

Warumi13

1 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu.
2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.
3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu.
4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu.
5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
 
Mlificha Ugonjwa wa Magufuli, mkamzushia Lowasa. Mungu kawaumbua.

Hilo liwe somo kwenu!
Uliona ukifichwa wapi huo ugonjwa? Nyie mlivyokosa huruma kumpandisha jukwaani Lowasa asiyeweza kutembea sawasawa kisa uchu wa madaraka iliwasaidia nini.
Kifo sio kuumbuka, kifo ni ahadi. Na kila mtu ana siku yake

Hata mimi nitakufa na hata wewe unayefurahia wengine kufa utakufa vilevile
 
Uliona ukifichwa wapi huo ugonjwa? Nyie mlivyokosa huruma kumpandisha jukwaani Lowasa asiyeweza kutembea sawasawa kisa uchu wa madaraka iliwasaidia nini.
Kifo sio kuumbuka, kifo ni ahadi. Na kila mtu ana siku yake

Hata mimi nitakufa na hata wewe unayefurahia wengine kufa utakufa vilevile

Cc @Nape NAUYE
 
Back
Top Bottom