babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Hicho kiingereza anachoongea kama kinyaturu cha kwao huko porini kiingereza gani?ukimsikiliza vizuri hata hiyo lugha ya malkia anababatiza tu.Umepatia, na huko ujerumani itabidi kwanza ajifunze kijerumani. Asifikiri wazungu wa mataifa mengine wote wanashobokea Kiingereza anachoringia kwa wabongo.
Corona imetibiwa kwa nyungu tangawizi limau huku mungu akiwa nyuma yake, kule Italy mungu yupo lakini walikufa kwa kukosa nyungu na dawa zilizopo Tanzania, ujinga wa kitoto unao wewe kwa kufikiri mtu aache kujihami dhidi ya unyama wako kisa eti ana kesi haramu za kubambikiwa kienyeji, mungu anakuona una Akili za kitoto kudhani mungu hutibu bila mgonjwa kuanza na dawa kisha mungu husimama na dawa kuhakikisha inatibuUjanja wa kitoto, anakwepa kesi zake.
Karma inamtembelea baada ya kunajisi jina la Mungu na corona.
Huo upumbavu uonevu wa kishetani na kishamba ndiyo uliwakosesha kura CCM ndipo mkaamua kuiba kura kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani maana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM kwa kuwa na watu wajinga kama weweYan kumuua Tundulisu serikal ndio iangaike kiasa icho Tundulisu Ana Nini cha kumlinda
Kama kwel ccm iliba kura basi walio ibiwa wasinge kubali dhulma ila kwakua wengi wameridhika na matokeo basi watu waka Wakana Tundulisu na genge lakeHuo upumbavu uonevu wa kishetani na kishamba ndiyo uliwakosesha kura CCM ndipo mkaamua kuiba kura kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani maana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM kwa kuwa na watu wajinga kama wewe
Hizo propaganda za kishamba bakieni nazo huko kolomije na chato Tambueni kuwa watanzania siyo wajinga kama nyinyiKitendo cha Tundu Lissu kukimbilia ubalozini kuomba hifadhi ni mipango ya kukimbia kesi aliyotakiwa kufika leo mahakamani.
Maandamano yalipangwa tarehe 2 lakini nyinyi tarehe 1 siku moja kabla mkaenda kuwakamata viongozi wa chadema na ACT hapo nani muoga? Huo ni kuwa CCM waliogopa wakatumia Polisiccm kuwakamata viongozi na kusambaza vitisho Nchi nzimaKama kwel ccm iliba kura basi walio ibiwa wasinge kubali dhulma ila kwakua wengi wameridhika na matokeo basi watu waka Wakana Tundulisu na genge lake
Yeye mwenyewe ndio anajionaa kumbe ugoko mtupu. Jamaa bado ni limbukeni sana.Hicho kiingereza anachoongea kama kinyaturu cha kwao huko porini kiingereza gani?ukimsikiliza vizuri hata hiyo lugha ya malkia anababatiza tu.
Yan muuaji anataka kukuua anakupigia na sim kabisa kama point ilio fanya uo ubaloz wa ujeruman umpe hifadh ni huu basi Hao wazungu huenda ni wazungu Rangi tu ila akil ni gongowazi
Mbona humu jukwaani tumeanza kuongea pumba? Hivi mtu akiuawa na majambazi huwa biashara inaishia hapo kwa sababu hakuna mtu wa kutoa ushahidi? Mbona tumeshuka sana kwenye viwango vya fikra pevu na yakinifu?Mshauri TL aache usanii!
Anataka ku-buy time na kupumbaza Watanzania, wakati huu akitafakari cha kufanya baada ya kushindwa kwa kishindo kikuu katika uchaguzi uliopita, ambao aliaminishwa kuwa angeibuka na ushindi mkubwa.
Na kutapatapa huku kunaashiria hamu na matamanio yake ya kukimbia nchi, kabla ya Mamlaka za kisheria nchini hazijaanza kushughulikia kadhia ya kushambuliwa kwake kwa risasi kule Dodoma, shauri ambalo liliachwa pending kwa vile shahidi mkuu aliyeshuhudia tukio hilo, ambaye ni dereva wake, akisita kuisaidia polisi na kuendelea kufichwa au kujificha.
Bila shaka kukimbilia ubalozini , ni karata mojawapo ya kufanikisha azama yake, akijua kuwa asingeweza kwenda nje ya nchi kwa njia za kawaida bila serikali kumzuia na kumtaka kwanza ashirikiane na vyombo vyake kushughulikiwa kadhia ya kushambuliwa kwake, ili sheria ichukue mkondo wake.
Asiwe na hofu za kusadikika kwani Watanzania wanamhitaji zaidi akiwa hai, na hakuna anayemhitaji akiwa mfu!...Ndio maana ushirikiano wake unahitajika sana wakati huu kuliko wakati mwingine, katika kutegua kitendawili cha kushambuliwa kwake.
Kuna wasomali wa kitoka Arusha wakishafika ulaya wanadai wanatoka Mogadishu alimradi tu wapewe ukimbizi. Hawana tofauti na huyo jamaa yako, uzushi kibao...amesema waliopigia simu ni watu ambao hawakubaliani na waliopanga kumuua.
Kuna wasomali wa kitoka Arusha wakishafika ulaya wanadai wanatoka Mogadishu alimradi tu wapewe ukimbizi. Hawana tofauti na huyo jamaa yako, uzushi kibao.
Kwani kuna sheria inayoruhusu Tundu Lissu kushambuliwa? Hao hao waliompa ulinzi kisheria kipindi cha kampeni ndio walinzi wa watanzania wote. Yeye anawashutumu kuwa wanataka kumdhuru!..alirudi muda muda mchache kabla ya uchaguzi kwasababu sheria inalazimisha wagombea wa uchaguzi wapewe ulinzi.
..pia aliamini angeshinda uchaguzi, na kama ndoto yake ya kushinda Uraisi ingetimia basi angekuwa na ulinzi maisha yake yote.
..alihamasisha maandamano ya AMANI, hivyo alijali na alizingatia usalama wa aliowahamasisha kuandamana.
vilevile wakati wa kampeni alikuwa akiviasa vyombo vya ulinzi kutokutumia silaha zao dhdi ya wananchi pale watakapoamua kuandamana kwa AMANI.
Kwa nini asiombe huo ukimbizi kabla hajabwagwa vibaya kwenye uchaguzi?..kwa tukio lile la Sept 7, 2017 TL ana kila sababu ya kuomba ukimbizi.
..sidhani kama ni sahihi kumlaumu TL. Tuwalaumu waliomshambulia, na Polisi walioshindwa kuwakamata.
Kwani kuna sheria inayoruhusu Tundu Lissu kushambuliwa? Hao hao waliompa ulinzi kisheria kipindi cha kampeni ndio walinzi wa watanzania wote. Yeye anawashutumu kuwa wanataka kumdhuru!
Kwa nini asiombe huo ukimbizi kabla hajabwagwa vibaya kwenye uchaguzi?
Huwa haueleweki unaegemea mlengo upi, you seems like kishada!.Kuna wasomali wa kitoka Arusha wakishafika ulaya wanadai wanatoka Mogadishu alimradi tu wapewe ukimbizi. Hawana tofauti na huyo jamaa yako, uzushi kibao.
Jibu swali kwanza. Alipokuwa anazunguka nchi nzima akifanya kampeni alikuwa hayuko salama sio?..kwanini serikali haiwakamati waliomshambulia?
..hivi wewe ungekua Tundu Lissu ungejisikia uko salama hapa nchini?
Tatizo lako ni nini haswa?Huwa haueleweki unaegemea mlengo upi, you seems like kishada!.
Jibu swali kwanza. Alipokiwa anazinguka nchi nzima akifanya kampeni alikuwa hayuko salama sio?
Ni wazi una weweseka tu. Magirini ya Lisu yako wazi kabisa...kipindi cha kampeni alikuwa analindwa na Polisi.
..sasa hivi hana ulinzi wa Polisi, halafu ameanza kutishiwa maisha.
..Je, wewe ungekuwa Tundu Lissu ungechukua hatua gani kusalimisha maisha yako?