Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Wachungaji wa siku hizi sijui wamekuwaje, anajua madhara na faida ya kile anachokiongea kweli huyu?
Eti hajajenga reli na flyover, anampiga dongo JPM wazi wazi kwa miradi inayomtambulisha, ngoja tusubili kwenda kufugia kuku kwenye jengo la kanisa lake pale Mwenge.
 
Cha kusikitisha ni kuwa "nyomi" haijawahi kuwa kigezi cha ushindi:cfs---lyatonga, Ngoyai et cetera
Unadhani Meko hajui hizi historia za Mrema, Slaa na Ngoyai?

Anajua the truth behind votes ndio maana yuko so obsessed na 'nyomi' za upinzani.
 
Shetani hajawahi mshinda Mungu cc Erythrocyte
 
the man has spiritual power within...ni unabii umetendeke kwa Lissu.
 
Kuna dalili ya mtu kulambishwa lolo 🤣🤣🤣 soon
 
Mungu akimchagua mtu, hakuna mwanadamu anayeweza kumwangamiza. Halafu mtu akichaguliwa na Mungu lazima atafanyiwa kila aina ya ubaya kutaka kumwangamiza. Sauli aliyekuwa mfalme alianza kumuwinda Daudi kwa kutumia majeshi yake na mara kadha Sauli alimkosa Daudi kwa kumrushia mkuki na kumpiga mshale.

Hata Yusufu kwa kuwa alichaguliwa na Mungu ndugu zake walimtupa kwenye shimo refu lakini Mungu alimuokoa hivyo akamfanya kuwa waziri wa Misri. Danieli alitupwa kwenye tundu la simba wenye njaa ila Mungu alimlinda akatoka salama na akawa kiongozi mkuu katika nchi ya Babeli. Mtu akichaguliwa na Mungu hawezi kuzuiliwa na mwanadamu
 
ngoja tuone
 
Naona Mwingira hajajifunza kwa akina Gwajima na Kakobe. Pole sana askofu.
 
Sasa hapa wachaga wa watu wanatokea wapi.
Au kwa kuwa wachaga ni kabila LA watu waliofanikiwa sana ndo mana chuki
 
Wakuu, kuna Sauti zimeanza kuongezeka hadharani Kwa sasahivi, watu wanaopasa Sauti wameanza kuongezeka na Jana ameunga tella Mchungaji mwiingira.

Akiwa kanisani kwake Jana mahubiri yalikuwa ni juuu Ya ushindi wa lisu anahoji kuwa mtu ulieshindwa kumuua Kwa risasi 16 utamshindaje kwenye kura? Unajua kiukweli lisu anaenda kushinda Uchaguzi huuu kimzaha mzaha hivi hivi lisu anaenda kuwa mshindi na hata huo wizi unaopangwa utayeyuka Kama risasi zilivyo yeyuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…