Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Marehemu hayati magufuli alikuwa kiongozi nzuri pia alikuwa na changamoto zake hivyo yatupasa tuchukue mazuri yake na changamoto zake tuzirekebishe pia ,tusitake kusahau mazuri yake wadau ,kumbukeni kabla hajaingia madarakani jpm urasimu kwenye nchi hii ulikuwa mkubwa, alivyoingia aliupunguza kwa kiasi kikubwa
 
Kwa JPM hawa jamaa walikuwa kimya hata wakishughulikiwa maana walikuwa wanajua jamaa ana mafile yao...ukileta fyoko unapanda kisutu na uhujumu uchumi + money laundering..wengine walikufa kimyakimya kwa pressure na malazi nyemelezi... Lengo la JPM ilikuwa kurudisha fedha za umma na nyingine zijenge nchi ila wahusika wabaki mtaani tu na shughuli zao japo ukileta fyoko unaadhibiwa..

Lao kuna watu wako tayari kumuunga mkono hata mhalifu eti kwasababu kaisema serikali, na wahalifu nao wamepata pakujifichia, wakigundua nyendo zao na mafile yako mezani wanaanza kubwabwaja dhidi ya Serikali wakijua kabisa kuna support ya watu wanaowaza kushika dola kwa kutegemea dola ishambuliwe..
 
Hii nchi ina wapumbavu wengi sana, ambao ukicheka nao utapata lawama sana tena hao hao wapumbavu ndio watakaokulalamikia...

JK alikuwa fair sana, alikuwa muungwana sana na very diplomatic, lakini pumbavu zilimpanda kichwani mpaka kumuita dhaifu mara ooooh rais gani anachekacheka....Naye alitambua hilo kama Taifa sasa linahitaji Rais Mkali akamleta mwamba JPM...
 
Huo mstari wa kwaza nafikiri ndio wewe.
 
Wahenga walinena 'ukicheka cheka na Mbwa …utaingia nae msikitini…'
 
Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa at the expense ya kunyima watu uhuru wa kujieleza au kuua watu hovyo...alileta maendeleo ya vitu.kujenga maflyover.kununua mandege bila strategic management plans..kujenga mabarabara..but then akawanyima watu uhuru wa kutoa maoni yao..alijifanya yeye ndio kila kitu mtu wa mihemuko na uungu mtu..we are glad utukufu wa MUNGU MKUU ulijionyesha
 
Ya Sabaya mlibisha Mwisho Wa siku Mahakamani Ikawa Revealed.

Mbowe Gaidi Yako wapi?

Risasi alizopigwa Lissu? Kesi iko wapi? Assume zile Risasi angekuwa alipigwa Sabaya Leo Kesi Ingekuwa Wapi?

Mtu hawezi kuwa Mjinga akasema Tuuu ya Moyoni…. Hata kama akiyakuza sana wakati wa kuongea Bado haiondoi Uhalali wa Ujumbe wakeee

Amini kuna Kitu…..
 
Yalichomwa na wanakijiji wenye hasira baada ya mwingira kuexpand kwenye eneo lenye mgogoro buffer zone, na walinzi wake wakamuua mwanakijiji kwa risasi

Hatua gani walichukuliwa hao wanakijiji kama kweli ni wanakijiji, maana hakuna ruhusa kujichukulia sheria mkononi.
 
Ndio anaongea sasa hv….apige kimya au la sivyo tutamuweka kwenye kundi la wahuni..#kataawahuni

La Lissu je? Zile CCTV Camera Ziko Wapi? Na Taarifa zilitolewa au hazikutolewa?

Sembuse Askofu? Tunajua mwisho wa Hili IGP atasema nini Maana tumezoea
 
Sio wewe uwe objectives kwenye mambo kuliko kutumia mihemko Hadi sehemu yenye uhalisia wa mambo

Hebu weka huo uhalisia wa mambo ili nione hiyo objectivity yako.
 

 
La Lissu je? Zile CCTV Camera Ziko Wapi? Na Taarifa zilitolewa au hazikutolewa?

Sembuse Askofu? Tunajua mwisho wa Hili IGP atasema nini Maana tumezoea
Ile issue ya Lissu "wahuni" waliicheza kiprofessional sana kuhakikisha tukio zima linawaaminisha watu uhusika wa serikali ya JPM.
-saa saba MCHANA,
eneo liwe la serikali linalolindwa na CCTV camera,
ondoeni Camera zote na walinzi pia.
Hakikisheni indicators zote zipoint serikali ya JPM kuhusika.

Halafu baada ya tukio shinikiza Interpol waje wafanye uchunguzi.
"Wahuni" wamefanikiwa kuwaaminisha wengi (including Lisu mwenyewe) kuwa JPM ndiye aliyetaka kumuua.
Lakini hata kama kweli JPM angetaka kumuua Lisu, hivi kwa intelligence ya kawaida ndo angefanya kijinga vile?

Yaani wafanye kweupe vile huku wakihakikisha indicators zote zioneshe serikali inahusika?
Hakuna serikali ya kijinga hivo Tanzania.
Na Samia alishawaambia "serikali ya Tz haiwezi kufanya tukio kizembe vile".
 
Kwani dhalimu wenu aliekuwa anafanya hayo si alishakufa na sasa mnapumua?

Mind you. Deep state haijafa. Na kuna wanaodai kuwa huenda ilimshughulikia hata mwendazake.
 
Tatizo la mambo ya gizani huko hakuna mwenye monopoly ya ushenzi. Inadaiwa pia kuna watemi waliomzimisha mwendazake huko huko gizani.

Bila shaka umesikia stori ya wapigania legacy wanaohangaika kutaka kuileta hiyo kesi kwenye mwanga!
 

Mmmmmmh
 
Wajivunia ushetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…