Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Kwani Lissu alitaka kuuwawa kwa lipi?
 

Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 60ml, sasa naomba unipe IDADI YA WATU KUMI tu ambao wameuawa ktk utawala wa JPM
 
Hivi unadhani kikwete leo akifa ataoga matusi kama aliyooga huyo shetani?

Mkapa alikufa... Watu wa pemba si uliwaona walivokuwa?

Huku Bongo alitukanwa kama alivyotukanwa huyo mungu wenu?

Uliona lile nyomi lililojitokeza kumuaga na kuomboleza kifo cha mpendwa wao Magufuli kila msafara wake ulipokuwa ukipita..!???

Mmezeshwa na kukaririshwa pumba tu
 
Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 60ml, sasa naomba unipe IDADI YA WATU KUMI tu ambao wameuawa ktk utawala wa JPM
Ben saane alilalamika sana kutafutwa na kutakakuuliwa akatekwa akauliwa ni serikali ya jiwe,. Mawazo alikuwa kiongozi wa chadema alipigwa mapanga akafarikiri ndani ya uongozi W jiwe, wapo wengi sana wengine siwajui majina yao, waliotekwa na kufungwa kwenye viroba na kuuliwa wakatupwa baharini waliuwawa kwemye uongozi wa jiwe hayo malalamiko yote watu waliyasema lákni hakuna alilolifanyia kazi kwasbabau alikuwa anabariki hayo. Kwa vile watu walikuwa hawana pakulalamika na wakasikilizwa mioyo yao wakaielekeza KWA Mungu mwisho jiwe ameshakuwa mifupa miboviu isiyonathamani hat ya senti moja.
 
Kwahiyo kama magu hakuwa dhaifu ndio atumie Urais wake kwa kuteka,kuuwa,kutukuna watu, kufilisi watu,kuvunjia watu makaazi yao n.k?

Ndio katiba ilivyomuelekeza afanye hvyo?

Magu alikuwa mshenzi.

Kama ulibomolewa makazi yako kinyume na sheria basi nenda mahakamani haki yako itapatikana, ila kama ulijenga kinyume na sheria ya ardhi na makazi NAKUPA POLE mkuu

Kutokujua sheria hakuna excuse
 
Hayo ni madhambi yake... Unaonaje ukifungua uzi nayo tutayadiscuss.

Ila kuyaleta hapa ni kujustify madhambi aliyofanyiwa na Shetani.
Napinga ukatili na uonevu wowote, ila hata yeye ana weakness zake mkuu.
 
Uliona lile nyomi lililojitokeza kumuaga na kuomboleza kifo cha mpendwa wao Magufuli kila msafara wake ulipokuwa ukipita..!???

Mmezeshwa na kukaririshwa pumba tu
Habari za nyomi ziache...

Akina Stallin walishajaza nyomi na enzi hizo hakukuwa hata na mitandao ya kijamii....

Mimi sijaongelea habari ya Nyomi.

Kwanini jamaa yenu atukanwe baada ya kufa?

Mkapa alikufa, Je alitukanwa kama Magu?
 
Napinga ukatili na uonevu wowote, ila hata yeye ana weakness zake mkuu.
Kama anayoyazungumza ni kweli yamemtokea then then tusimpuuze.

Pia naye tumuhukumu kwa mabaya yake.
 
Ni watu wangapi wanaukwepa huo mkono wa serikali ?

Tena agents hawa weusi ambao wanafanya mistakes kibao kwenye operation zao

Kama Mungu hajaamua hakuna atakayekufa hata muwatumie mossad etc ndiomna Lissu hakufa.
 

Kama umeshindwa kutaja watu angalau KUMI tu kati ya Watanzania 60ml (ambao ni sawa na 0.00000017% ya Tz total population) waliouliwa utawala wa Magu basi huna HOJA bali una VIOJA

Tafuta mwingne wa kudebate nae, siwezi bishana na mtu asiye na data bali kukaririshwa na kumezeshwa pumba na mashudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…