Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Ila Jafo katudhalilisha sana wanaume,yaani kazi nzito anapewa mwanamke wewe unabadilishiwa unapewa laini kweli.
Kinyumbani nikama;
Mama anatengeneza gari huku baba ananyeshea maua!! au
Mama anatengeneza shoti ya umeme huku baba anadeki!! au
Mama anajenga banda baba anafagia uwani!!! au
Mama anapambana na majambazi baba kajificha uvunguni mwakitanda anapiga yowe!!!
Ikosiku tutasema wanaume wakiwezeshwa wanaweza!!!
 
Samahani, hayo yanahusiana vipi na ufufuko? Ya kaisari tumwachie kaisari. Leo siku muhimu, pangua pangua ni kazi ya mama Samia si ya YESU. Leo tungeelezana habari za ufufuo.
Kwani aliyempangua JPM ni Gwajima au Shoo..?

Mungu humtumia mtu kuwaponya watu, usijefanya ujinga ukitegemea hakuna wakukutoa kwenye nafasi.. NO
 
Kwaiyo amchague Mbowe, Mnyika, Sugu wawe RC?

Naona akili zako ndogo uwakatae hao au achague wengine lakini awatoki nje ya CCM, aidha walipelekwa upinzani kwa kazi maalumu au watoke ndani ya CCM ndio wanapewa UONGOZI.

Na mama atabaki kuwa MWANACCM si vingine
Kwakuwa upo rohoni mwake utakuwa unajua
 
Kwaiyo amchague Mbowe, Mnyika, Sugu wawe RC?

Naona akili zako ndogo uwakatae hao au achague wengine lakini awatoki nje ya CCM, aidha walipelekwa upinzani kwa kazi maalumu au watoke ndani ya CCM ndio wanapewa UONGOZI.

Na mama atabaki kuwa MWANACCM si vingine
Kuwa muelewa na wewe...
Watakaoendana na Mama sio Jiwe.
 
Na kuna mahali Magu alikuwa Askofu?
Kuna tofauti kubwa kati yao.
Semeni yoote mpendavyo ila watanzania wanachofurahi ni kuwa watu hatari kama nyinyi MATAGA mmefurushwa kutoka kuta za jengo kuu
 
Mazezeta wa lumumba ni kiumbe wa ajabu sana wanasahau hata walichokiropoka sekunde mbili nyuma [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Umeonaeeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jidanganye hivyo hivyo, hata akibadilisha VIONGOZI atochagua nje ya CCM.
Ndani ya ccm bado watakuwepo watu wenye utu na ubinadamu ingawa walikuwa hawapendwi kwa kwa wanajitofautisha na wenye roho za kinyama.
 
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari./https://bit.ly/3sR1WwS

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.
Madhehebu mengi ya Tanzania yahubiri Siasa ,badala ya dini.Kweli wakoloni walikuja kwa njia ya dini.
 
Zama za kuitwa ikulu kwenda kushangaa tausi na kula visheti vya hiriki zilishapita. Mtaendelea kufinyangwa mpaka muujue uzalendo wa nchi hii.
Na sisi tutaendelea kuwaombea corona iwatafune na safari hii itaanza na wewe
 
Kifutu kama kifutu
EQPKxiuWoAEXNpd.jpg
 
Madhehebu mengi ya Tanzania yahubiri Siasa ,badala ya dini.Kweli wakoloni walikuja kwa njia ya dini.
Viongozi wadini sio raia..?

Hawafai kukemea mabaya..?

Unazijua AMRI 10 ZA MUNGU..?

Majinga, Mapambe ya Magu akili zenu tope tupu.
 
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari./https://bit.ly/3sR1WwS

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.

Askofu ndio Yesu mfufuka amekutuma ufanye kazi hiyo ya kutupa watu nje?
Yesu ambaye Ijumaa alimsamehe mwizi aliyetubu msalabani?
Ndio wapakwa mafuta wa bwana wa siku za leo
 
Kwani aliyempangua JPM ni Gwajima au Shoo..?

Mungu humtumia mtu kuwaponya watu, usijefanya ujinga ukitegemea hakuna wakukutoa kwenye nafasi.. NO

Ninachoongelea hapa ni mipaka na umuhimu wa siku husika ukilinganisha na mada.

Hakuna anayetaka kuwaona wanyanyua mabega wakiendelea kuwepo serikalini lakini yupo mwenye hiyo kazi na si Shoo.

YESU KAFUFUKA LEO, KWANN MADA IWE KAZI ZA SAMIA?
 
Jipeni tu moyo kwa hii half time rudini dakika 45 zilizobakia tuwanyooshe. Yote yalifanywa na Hayati yalikuwa chini ya mamlaka ya rais, CCM ndio chama tawala na ilani ni ile Ile.

Bwana ametoa, bwana ametwa eeh mungu umpe mpendwa wetu raha ya milele

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Na Mimi nashangaa Watu wanaodhani mambo yatabadilika vile wazaniavyo. Ni kweli kuna mambo yatabadilika ila utendaji kazi, uwajibikaji, kubana matumizi n.k mwendo ni ule ule
 
Back
Top Bottom