kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Ila Jafo katudhalilisha sana wanaume,yaani kazi nzito anapewa mwanamke wewe unabadilishiwa unapewa laini kweli.
Kinyumbani nikama;
Mama anatengeneza gari huku baba ananyeshea maua!! au
Mama anatengeneza shoti ya umeme huku baba anadeki!! au
Mama anajenga banda baba anafagia uwani!!! au
Mama anapambana na majambazi baba kajificha uvunguni mwakitanda anapiga yowe!!!
Ikosiku tutasema wanaume wakiwezeshwa wanaweza!!!