Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

Bado tuna safari ndefu Kama Taifa,tunabishana Sasa kiti cha rais kuingizwa kanisani.

Petty issues ndio mambo yetu hayo.
 
Ni tabia ya Watanzania kuacha kuongelea mambo ya msingi na hoja na kujikita katika viroja.

Katika kukumbuka maisha ya Nyerere ningetegemea mazungumzo kuhusu mambo ya msingi kama vile siasa ya ujamaa aliyoifuata Nyerere imelisaidia nini au kulididimiza vipi taifa.

Ila kibongobongo hatuwezi fikra tunduizi na dhahania.

Tunataka kuongelea kitu kinachoonekana tu, kama kiti cha rais.
 
Bado tuna safari ndefu Kama Taifa,tunabishana Sasa kiti cha rais kuingizwa kanisani.

Petty issues ndio mambo yetu hayo.
Hii siyo petty issue, kwa mtu wa fikra ndogo, anaona ni petty issue. Kumtukuza mwanadamu kama hivi hakuishii hapa, kunakwenda mpaka katika maisha ya siasa ya kuwa juu ya sheria na hivyo kutoza tozo kinyume cha utaratibu, maana tozo zinatozwa unapompa mtu huduma. Kwa vile mmemtukuza kama Mungu na hivyo kuwa juu ya sheria, utukufu huu unakwenda kuwa nguzo ya matendo yake yote. sasa amekuwa juu ya kanisa katoliki! Tisis not a petty issue it goes to thew root of our lives! if not livelihood!
 
Sawasawa genius,acha tuendelee kujadili kiti Cha rais.
 
Bado tuna safari ndefu Kama Taifa,tunabishana Sasa kiti cha rais kuingizwa kanisani.

Petty issues ndio mambo yetu hayo.
Mkuu, wakati naandika comment yangu iliyopo chini ya hii comment yako, nilikuwa sijaiona comment yako.

Inaonekana wote tulikuwa tunaandika pamoja.

Lakini maudhui yetu yamefanana.

Nimeona tatizo lile lile uliloliona wewe.
 
Hii siyo petty issue, kwa mtu wa fikra ndogo, anaona ni petty issue. Kumtukuza mwanadamu kama hivi hakuishii hapa, kunakwenda mpaka katika maisha ya siasa ya kuwa juu ya sheria na hivyo kutoza tozo kinyume cha utaratibu, maana tozo zinatozwa unapompa mtu huduma. Kwa vile mmemtukuza kama Mungu na hivyo kuwa juu ya sheria, utukufu huu unakwenda kuwa nguzo ya matendo yake yote. sasa amekuwa juu ya kanisa katoliki! Tisis not a petty issue it goes to thew root of our lives! if not livelihood!
Mchukulie rais kama mlemavu.

Cheo chake kizito mpaka kinamlemaza.

Ana itifaki kemkem, anazozitaka na asizozitaka.

Nina hakika kuna itifaki nyingi za usalama rais hazitaki, lakini inambidi azifuate.

Sasa, ikiwa hivyo, unaweza kumkatalia mlemavu kuingia na wheelchair kanisani kwa sababu mlemavu kuingia na wheelchair ni kumtukuza?

We are arguing about the merit of a ceremonial chair being allowed in a house of ceremony, in the middle of a ceremony.

How absurd!
 
Watanzania wengi ni watu wanaoweza kukubali kuibiwa kura mtu akachukua urais isivyo halali, halafu akachukua mic altare kanisani na kujiweka juu katika mimbari ya kanisa.

Akazuia mikutano ya kisiasa inayokubalika kikatiba. Akapiga risasi wapinzani.

Halafu wakakataa rais kuingia na kiti chake kanisani.

A very peculiar bunch.
 
Sasa, ikiwa hivyo, unaweza kumkatalia mlemavu kuingia na wheelchair kanisani kwa sababu mlemavu kuingia na wheelchair ni kumtukuza?
Kwenye sheria wanasema this case is distinguishable from the one quoted!
 
Safiii Sana maana Bavichaaaa na Chadema walikuwa wamebeba Kama ajenda yao baada ya chama Chao kukosa muelekeo na dira na kuishia kupuuzwa na Watanzania.

Nimewaambia humu kuwa Rais wa nchi siyo Sawa na Rais wa Bendi ya Mziki, ulinzi na usalama wa Rais wa nchi Ni kipaombele na muhimu kuliko kitu kingine au mtu mwingine yeyote yule hapa nchini, usalama wa Rais ndio utulivu wa Taifa letu.
Uko sahihi kabisa.
 
Kwenye sheria wanasema this case is distinguishable from the one quoted!
Ndiyo maana na mimi nikaanza kwa kutoa parallel zinazoonesha the two cases have similar characteristics.

Ulemavu ni mzigo. Urais ni mzigo.

Waswahili wanasema ukubwa gunia la chawa.

Sasa, mnampa rais gunia la chawa, halafu hata toroli la kumsaidia kulibeba gunia mnataka kumnyima?

Inaonekana jamii yetu haina huruma kwa walemavu .

Walemavu wa kiasili na walemavu wa kujitakia.
 
Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali.

Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo yake binafsi.

Kwa sababu ya unyenyekevu wa viongozi wetu, kiti cha Rais kilikuwa kumebanwa kati ya mabenchi amezungukwa na masista na watu wengine. Kikawaida ingebidi sehemu moja ya kanisa benchi ziondolewe na kipangwe kiti chake rasmi na wapambe wake.

Hiyo ndiyo protocol halisi ya Mkuu wa Nchi anayekuja rasmi kwa dhifa ya kitaifa kama Rais wetu alivyokuja kwa kumbukumbu ya kitaifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hiyo si heshima kwake bali kwa nchi. Hewala si utumwa, tukikosa heshima kwa viongozi wetu tutakosa heshima hata nyumbani mwetu.

Tunatoa shukrani nyingi kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine wa Taifa kuungana nasi katika ibada ya kumwombea Baba wa Taifa. Ni jambo jema sana.

Hata kanisani tunaheshimu siyo mtu binafsi lakini nafasi yake anayoishika. Kwa mfano Kardinali akiwa yeye haongozi ibada hakai pembeni na maaskofu wengine bali anapewa kiti maalumu kwa heshima yake. Unashukuru wat wa Itifaki ya Ikulu waliotuazima viti walau tukatoa heshima hiyo ndogo kwa mgeni wetu maalumu wa siku hiyo.

Ndugu zangu nimeona nitoe maelezo hayo kwa sababu niliona hoja inakua bila kutazama protocol za kanisa na heshima zake. Vile vile hakuna katazo kiti Fulani kisiingie kanisani ndiyo sababu unaona hata viti vya plastic vinavyotumika sehemu nyingine vinawekwa kanisani watu wakiwa wengi.

Nachukua fursa hii kuwashukuru waamini wa Bukoba Kanisa Kuu na parokia Jirani kwa kuungana nasi kwa wingi kumwombea Baba wa taifa. Mungu awabariki.

Askofu Method Kilaini
Fr. Kitima wa CHADEMA atapinga
 
Labda tungemuuliza huyo Baba Askofu ni lini alimchagua huyo Kiongozi anayemsema? Nijuavyo mimi Viongozi wa watu huchaguliwa hata Papa mwenyewe hupigiwa kura!
Samia alichaguliwa na wananch.
Alikuwa mgombea mwenza wa JPM.
So maswali yako ya kitoto kamuulize JPM
 
Ukikaribishwa unakuja na taratibu zako??
Ukimkaribisha Mgeni lazima umwandalie mazingira atakayoyapenda. Ndo maana unasikia Mgeni njoo mwenyeji wafaidike. Hivyo Kanisa ndilo liliandaa kiti. Kama angekuja kusali kama wakristo wengine, kanisa lisingekileta. Umeelewa au bado una swali
 
Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali.

Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo yake binafsi.

Kwa sababu ya unyenyekevu wa viongozi wetu, kiti cha Rais kilikuwa kumebanwa kati ya mabenchi amezungukwa na masista na watu wengine. Kikawaida ingebidi sehemu moja ya kanisa benchi ziondolewe na kipangwe kiti chake rasmi na wapambe wake.

Hiyo ndiyo protocol halisi ya Mkuu wa Nchi anayekuja rasmi kwa dhifa ya kitaifa kama Rais wetu alivyokuja kwa kumbukumbu ya kitaifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hiyo si heshima kwake bali kwa nchi. Hewala si utumwa, tukikosa heshima kwa viongozi wetu tutakosa heshima hata nyumbani mwetu.

Tunatoa shukrani nyingi kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine wa Taifa kuungana nasi katika ibada ya kumwombea Baba wa Taifa. Ni jambo jema sana.

Hata kanisani tunaheshimu siyo mtu binafsi lakini nafasi yake anayoishika. Kwa mfano Kardinali akiwa yeye haongozi ibada hakai pembeni na maaskofu wengine bali anapewa kiti maalumu kwa heshima yake. Unashukuru wat wa Itifaki ya Ikulu waliotuazima viti walau tukatoa heshima hiyo ndogo kwa mgeni wetu maalumu wa siku hiyo.

Ndugu zangu nimeona nitoe maelezo hayo kwa sababu niliona hoja inakua bila kutazama protocol za kanisa na heshima zake. Vile vile hakuna katazo kiti Fulani kisiingie kanisani ndiyo sababu unaona hata viti vya plastic vinavyotumika sehemu nyingine vinawekwa kanisani watu wakiwa wengi.

Nachukua fursa hii kuwashukuru waamini wa Bukoba Kanisa Kuu na parokia Jirani kwa kuungana nasi kwa wingi kumwombea Baba wa taifa. Mungu awabariki.

Askofu Method Kilaini
Hawa mafia wanakuja na hoja za kijinga. Huo uaskofu na ukadinali wanapeana wenyewe. Mtu asiye na hadhi hapo na wa chini kabisa ni muumini wa kawaida ambaye siku zte ni nothing in the church hierarchy. Rais Samia kawaletea aibu kwa kuingia kanisani na kiti chake. Utter garbage!
 
Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali.

Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo yake binafsi.

Kwa sababu ya unyenyekevu wa viongozi wetu, kiti cha Rais kilikuwa kumebanwa kati ya mabenchi amezungukwa na masista na watu wengine. Kikawaida ingebidi sehemu moja ya kanisa benchi ziondolewe na kipangwe kiti chake rasmi na wapambe wake.

Hiyo ndiyo protocol halisi ya Mkuu wa Nchi anayekuja rasmi kwa dhifa ya kitaifa kama Rais wetu alivyokuja kwa kumbukumbu ya kitaifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hiyo si heshima kwake bali kwa nchi. Hewala si utumwa, tukikosa heshima kwa viongozi wetu tutakosa heshima hata nyumbani mwetu.

Tunatoa shukrani nyingi kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine wa Taifa kuungana nasi katika ibada ya kumwombea Baba wa Taifa. Ni jambo jema sana.

Hata kanisani tunaheshimu siyo mtu binafsi lakini nafasi yake anayoishika. Kwa mfano Kardinali akiwa yeye haongozi ibada hakai pembeni na maaskofu wengine bali anapewa kiti maalumu kwa heshima yake. Unashukuru wat wa Itifaki ya Ikulu waliotuazima viti walau tukatoa heshima hiyo ndogo kwa mgeni wetu maalumu wa siku hiyo.

Ndugu zangu nimeona nitoe maelezo hayo kwa sababu niliona hoja inakua bila kutazama protocol za kanisa na heshima zake. Vile vile hakuna katazo kiti Fulani kisiingie kanisani ndiyo sababu unaona hata viti vya plastic vinavyotumika sehemu nyingine vinawekwa kanisani watu wakiwa wengi.

Nachukua fursa hii kuwashukuru waamini wa Bukoba Kanisa Kuu na parokia Jirani kwa kuungana nasi kwa wingi kumwombea Baba wa taifa. Mungu awabariki.

Askofu Method Kilaini
Ina maana hizo protocols zimeanza kwa Samia? Mbona hatukuona JPM akiwekewa kiti chake pale St. Peters Oyster Bay? Au mwalimu Nyerere na Mkapa? Mara ngapi JPM tulimwona hata makanisa ya mikoani akikalia bench? Hapa Baba Askofu ametupiga changa la macho! Haya ameandika wapi nikamjibu mimi! Askofu asituone sisi ni majuha, tuna akili zetu bro!
 
Back
Top Bottom