Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

Baada ya hapa harutomuamin tena
Askofu huyu alipewa mgao wa milioni 80 na Rugemalira enzi zileee.

Hana sifa za uaskofu huyu. Ni mlamba viatu wa watawala na mlamba rushwa mkubwa.
 
Kiti cha urais hakipashwi kuletwa kanisani!
Unatetea "utukufu" wa Rais /mwanadamu mbele ya utukufu wa Mungu! Hapa umepotoka kiasi kikubwa. mambo mengine jinyamazie! Umekengeuka!
Hilo linalojiita kanisa katoliki halina uhusiano na Mungu.Ni utawala wa kidunia kama zilivyotawala zingine.Wao hushirikiana na watawala kuwapumbaza wanadamu na Kisha kuwabaka,kuwanajisi,kuwaibia nk .Katika mapinduzi ya Ufaransa 1789,hawa waliangukiwa na kitu kizito .Wao na mabwanyenye washirika wao,walichinjwa kama kuku.
 
Mambo mengine ni utashi tu wa mtu mwenyewe.

Kama mhusika angekuwa reasonable enough angekataa huo utaratibu wa kuwekewa likiti kuubwa ndani ya Nyumba ya Mungu.

Kwakua amejikuza na kutaka kujilinganisha na anayetoa mamlaka.

Mamlaka ya juu itashuhulika na utawala wake.
 
Askofu huyu alipewa mgao wa milioni 80 na Rugemalira enzi zileee.

Hana sifa za uaskofu huyu. Ni mlamba viatu wa watawala na mlamba rushwa mkubwa.

Zero na ndio tatizo wa Watu wapumbavu, hawana heshima na nguvu ya Hoja . Unatafuta ushindi kwa kuhamisha hoja. Ukweli ni Ukweli haujalishi msemaji msikilizaji msomaji au watu kama wewe.
 
We askofu !Acha kutetea UJINGA!

Mama anahofu juu ya jambo fulani ambalo mimi na wewe hatulijui!!

Na hofu yake inazidisha hofu zaidi KWA wenye akili timamu kuliko wajinga!

Kuanzia msumbiji kwenye wine,hadi kanisani ni dhahiri shahiri mama haamini Mtu kamwe!!

Usalama wake wa hicho anachokiogopa ni kuachia kinachowindwa na wawindaji wake!!

MAMA ANAHOFU!NDICHO NINACHOJIFUNZA MIMI!!
 
Kilaini acha siasa zako, Yesu alipokuwa akiingia kwenye ibada hakutaka wala kuomba apewe nafasi ya kipekee. Sasa kati ya Yesu na Samia nani zaidi?
 
Zero na ndio tatizo wa Watu wapumbavu, hawana heshima na nguvu ya Hoja . Unatafuta ushindi kwa kuhamisha hoja. Ukweli ni Ukweli haujalishi msemaji msikilizaji msomaji au watu kama wewe.
Mjinga umeoa kioja huku ukijipa moyo kuwa umetoa hoja.
 
First things first.

Kama kura zimeibiwa, na walioiba kura bado wako madarakani, Watanzania wote wanaoamini wameibiwa kura amekubali kuibiwa kura.

Vinginevyo wangewatoa hao walioiba kura.

Full stop.
 
First things first.

Kama kura zimeibiwa, na walioiba kura bado wako madarakani, Watanzania wote wanaoamini wameibiwa kura amekubali kuibiwa kura.

Vinginevyo wangewatoa hao walioiba kura.

Full stop.

Wanaoiba kura wana Backup ya vyombo vya dola, walioibiwa wameshika makali na sio kila mmoja anaweza kupambana kunakoweza kupelekea kupoteza uhai.
 
Haya ni maoni ya Kilaini siyo maoni ya Kanisa Katoliki.
 
Wanaoiba kura wana Backup ya vyombo vya dola, walioibiwa wameshika makali na sio kila mmoja anaweza kupambana kunakoweza kupelekea kupoteza uhai.
Sawa. Lakini sehemu zote walizofanya mabadiliko kwani waliofanya mabadiliko walikuwa na dola?
 
Ubarikiwe sana Baba Askofu Kilaini kwa kuweka mambo sawa. Humu jukwaani tunao vijana wengi hivyo mawazo yao bado yanakua na hata ule uzoefu wao kabla hawajachangia mada yoyote huwa una upungufu fulani.
 
Nyerere aliyekuwa mkatoliki kama lile kanisa lililofanya kumbukumbu ya misa yake, lilikuwa likimtengea benchi zima.

Katikati anakaa yeye, kulia na kushoto kwenye kona kabisa wanakaa walinzi wawili, hiyo ni mwaka 1984 pale Saint Joseph.

Rais Samia na Makamu wake wamekuwa waungwana sana kutumia viti na pembeni yao wakakubali kusimama pembeni ya waumini wengine.
 
Ajikwezae au ajipandishae juuu kwenye madhabahu ya Jehova hushuswaa,kanisa wameamua kufunika kombe tu wazee wavatkan wachora kwa darubini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…