Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Hiyo ni technical retreat....he just lost a battle, Malasusa should prepare for a full scale war
Hakuna Cha Battle Wala Beto!!!

Ni vyema sana watu wa Mungu kukaa pamoja Kwa Amani na Upendo.

KANISA la Mungu hakuna njia za maandamano kupata Suluhu.

Shetani ameshindwa, watu wamesameheana hadharani.

What a wonderful day. Amen
 
Kwenye mambo ya Mungu suruhu ni muhimu badala ya kutafuta mshinddi.Nyie wahandishi uchwara ndio mlimponza Mch.Kimaro.Si vema unapotafuta kuchochea baada ya muafaka huu.
 
Walidhani atakuwa kama Ananja
 

Hata ungeambiwa sababu bado ungebisha na kukataa. Halafu Kimaro haleti wokovu Bali Yesu Kristo.
 
WOKOVU umeingia KKKT, Baraza la MAFARISAYO na MASADUKAYO limesarenda, Mziki wa Yesu mwanadamu hauwezi , Bango la jana, magari yashawekwa chata na kanisa lilikuwa limebaki jengo bila washirika,

Acha uongo kanisa gani halina watu. Mbona kila jumapili tunafanya ibada?. Mmeaibika na njama zenu ovu. Kimaro kaomba msamaha kasamehewa, wewe unaleta ushabiki.
 
KIMARO akirudi na mambo yake ya WALOKOLE wa TAG mambo ya kunena kwa lugha, kuombea wagonjwa, zaka, upako, ukiri tunamfukuza aende akaungane nao, sisi tunataka liturujia yetu n misingi ya kilutheri
Misingi ya kilutheri tuliyoiboresha kutoka Roman Katoliki au siyo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…