Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Mungu ni mwema. Ikiwapendeza viongozi wa KKKT tunaomba wamlete Mchungaji Kimaro kwenye usharika wa Mpombwe, Kalambo mkoani Rukwa.
 
Kijitonyama wakati wa Mchungaji Hiza ndio Katibu mkuu wa CCM mzee Makamba alikuwa anakuja kuabudu na kuchukua ile mistari ya Biblia

Kijitonyama imejitambua kitambo sana kabla hawajahamia akina Macha!
Hivi kwenye hilo Kanisa la Kiinjili La Kikatoliki Tanzania, kuna maaskofu kutoka makabila mengine mbali ya wachaga na wanyakyusa ?
 
🙄🤣
 
Huko ulaya kwa kutumia liturgy hiyo hiyo wameamua kuruhusu wachungaji mashoga na kufungisha ndoa za kishoga Chief. Stuka mi nilifikir unasema kabadili mafundisho ya kikristo kumbe ni utaratibu wa liturgy bure kabisa.
 
Kanisa ni moja. Na Dayosisi ni moja ...kwani rais anapoongea na. Wazee wa dar es salaam haimaanishi wazee wa dodoma haiwahusu.
Hivyo askofu popote alipo ana kuwa na mamlaka kamili .
Kwani wafungwa wote wa keko,ukonga au segerea wamefanya makosa sehemu hiyo hiyo au mkoa wa dsm pekee.
 
Kanisa ni moja. Na Dayosisi ni moja ...kwani rais anapoongea na. Wazee wa dar es salaam haimaanishi wazee wa dodoma haiwahusu.
Hivyo askofu popote alipo ana kuwa na mamlaka kamili .
Kwani wafungwa wote wa keko,ukonga au segerea wamefanya makosa sehemu hiyo hiyo au mkoa wa dsm pekee.
 
Akumbuke alisoma.yeye Ila cheti na wakfu wa kuwa mchungaji ni Mali ya kanisa kwa mujibu wa kiapo..kimaro sio mjinga kaangalia kinachofuata baadae.
Hayo maoni ni rahisi mno km angekua. Amesomea makanisa ya kilokole
 
NILIJUA KAJIUZULU NIAGIZE MBUZI KAHAWAA
 
Mungu ni mwema sana sana.

Wanasiasa wangeiga huu mfano nchi yetu isingegeuka heka heka.

Hongereni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri kwa kumuaibisha shetani.


Sisi wapentekoste kila kukicha tunaanzisha makanisa kwa sababu eneo la UTII tumelifanya kama anasa yaani ni ngumu sana amani kuwepo huku kwa sababu ya dhambi ya kutaka ukubwa
 
Kuomba radhi ni kuaibishwa.
Kiburi ndii kilimfanya shetani kifukizwa
Kuomba radhi ni jambo la kawaida kabisa unapokosea .ndio maana ndoa zimekuwa hazidumu siku hizi sababu ya kiburi Cha kutokukubali makosa na kuomba radhi
Wanafunzi shuleni wanejawa na kiburi kwa walimu walikosea hawataki kuambiwa
Watoto hawawatii wazazi Wala wakubwa zao kwa sababu tu hawako tayari kukiri makosa
Tufundishe watoto wetu kuomba radhi Kila wanapokoaea
Hawatakuja kuona shida ukubwani
 
PhD Gani
Na huku ana cheti feki Cha form four
 
Huu mgogoro namna ulivyoanza na namna ulivyomalizika, unaanza kuleta taswira tofauti kabisa na pia kuleta maswali mengi zaidi kuliko majibu. Naona sasa Siasa zinataka kuhamia kwenye nyumba za Ibada. Ikumbukwe kuwa kuna waumini walilazimika kuandamana kutokana na mgogoro huu.
 
Sio Kimaro alipaswa kumsamehe Malasusa kweli?!
 
Hivi kosa lake ni lipi? Kwani waumini kumshabikia mchungaji wao ni kosa? Nawe askofu fanya yako ushabikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…