Bado una hangover! Kula pilipili kichaa pombe uisambaratisheLa kikanisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado una hangover! Kula pilipili kichaa pombe uisambaratisheLa kikanisa!
MbegeBado una hangover! Kula pilipili kichaa pombe uisambaratishe
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote
Askofu Malasusa amemtangazia msamaha
Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo
Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi
Source Upendo Tv
Umeshapiga macholo!😂😂😂😂😂La kikanisa!
Ni sahihi pia kosa la kuchochea vurugu na uasi kanisani. Hekima hakuwa nayo kabisa.Ameomba msamaha kwa makosa yepi? Ni muhimu ili waliokua wanamfuata wajue. Kwa maoni yangu Kimaro alikua akienda kinyume na mafunzo ya kilutheri. Sisi walutheri ibada zetu zinaongozwa na liturgia yetu yenye msingi wa mafunzo ya martin luther. Waluther original hatupendi mifumo na style za kipentekoste 'kilokole' kochosha waomini kwa makelele na concepts za imani za mtu binafsi badala ya zile za kanisa.
Au Machame kwa Askofu mkuu Shoo!Haya wampangie majukumu mengine huko Kyaka Kagera na anayemtaka amfate huko.
😆Umeshapiga macholo!😂😂😂😂😂
Hasa wewe uache ushabikiMchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote
Askofu Malasusa amemtangazia msamaha
Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo
Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi
Source Upendo Tv
Sasa kama kawanyima mapato huoni kuwa hilo ni kosa. Kwani ni kanisa lake binafsi? KKKT ni taasisi na Kimaro ni mwajiriwa. Akikiuka taratibu ni lazima aonywe au aadhibiwe. Ondoka na ushabiki wako kanjanja hapa. Ndio kishaomba msamaha, jinyonge sasa.Msamaha kwa kosa lipi kuwanyima mapato yatokanayo na kigango cha kijitonyama au. Huo ni unafki at its best na katika uislam moja ya kitu kitakachokunyima mbingu ni Unafki na imeandikwa
Ufipa st yote kimyaaa!Hasa wewe uache ushabiki
Msamaha kwa kosa lipi kuwanyima mapato yatokanayo na kigango cha kijitonyama au. Huo ni unafki at its best na katika uislam moja ya kitu kitakachokunyima mbingu ni Unafki na imeandikwa