Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya sabini na themanini Mwalimu Nyerere alikuwa akiwasomba Wasukuma na kuwapeleka Zanzibar kwa maelfu unafikiri vizazi vyao vinataka kujitenga?Pande zile kwenye Muungano wanakuwa Wazanzibari (wamoja). Wana mtazamo mmoja.
Hakuna watu wasiopigania Tanganyika kama warabu wa dp wordHakuna watu wanapigania Tanganyika kama warundi...
The irony of it😅
Sasa kwanini wewe ulikubali kuzaa na Askofu wakati ukijua kuwa wewe sio mke wake wa ndoa?Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Dawa ni Zanzibar iwe mkoa wa Tz kama ilivyo mikoa mingine, au kila mtu achukue njia yakeHv Kuna ugumu gani wa kuformulate hili jambo kwamba tuungane ktk hili na hili na mengn kila mtu ajitegemeee
Jiwe hakuuza hata Ekari moja ya nchiAmefufuka baada ya kufyata mkia kwa Jiwe🤣
Warudi kwao tuNusu ya Wazanzibari ni Wazanzibara.
Yaah Jiwe ana mazuri yakeJiwe hakuuza hata Ekari moja ya nchi
IBARA 4 (2) ya mkataba huu inasema endapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa mali zake? Mkataba wa aina hii ni kichaa peke yake anayeweza kuushabikia.Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Hakuna mwenye Zanzibar wote wahamiaji akhui.Warudi kwao tu
Qumerniner weweAskofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Kwani wewe ndiye mama wa mtoto ? Mambo ya watu waachie wenyeweAskofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Hakuna jipya.Safari hii kazi wanayo, wakisema ni upepo tu, matokeo yake ndio kila wengi wanazidi kuibuka kadri siku zinavyosogea..
Ni nani mwenye uwezo na mamlaka ya ulinzi wa rasilimali za taifa zaidi ya Rais endapo (bandari) zinaporwa, maana huyu tuliye naye ndio hivyo tena.IBARA 4 (2) ya mkataba huu inasema endapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa mali zake? Mkataba wa aina hii ni kichaa peke yake anayeweza kuushabikia.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ambaye umeumbwa kukubali kila jambo, tufafanulie kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo kwenye mkataba tukuelewe, pia Tueleze kwa Nini DP World wamiliki bandari zote za baharini , maziwa na nchi kavu kwa kipindi kisicho na ukomo?Hakuna aliyeshindwa kujibu hoja za lissu au yeyote Yule, sema kina lissu na co akili zao zimeshajityuni kukataa tu chochote kinachofanywa na serikali watu kama hawa hata upige zeze na kinubi, imba mapambio yote hawawezi wakaelewa make wameamua kukataa tu bila sababu yoyote ya maana.